Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,151
- 137,139
- Thread starter
- #61
Nitakuwa newyork
The big Apple baby
Nitakuwa newyork
Wanazingua hawa emu toa kapicha kuonesha uko state. Tunasubili kuwaona kwenye maandamanoNaishi wapi sasa?
Wanazingua hawa emu toa kapicha kuonesha uko state. Tunasubili kuwaona kwenye maandamano
Hùyo Mange mhamasishaji anaeishi huko nae hajui mtaa,siku wala saa la kuandamana huko U.S.A kutwa kuhimiza tuliamshe huku bongo tuvunjike miguu lenyewe linachezea madushelele ya wazungu tu.Zimebaki siku 10 [kama sijakosea] mpaka kufika ile siku ya siku, yaani ile siku ya “maandamano” dhidi ya Rais Magufuli.
Maandamano ambayo kwa ufahamu wangu yamepangwa kufanyika kitaifa na kimataifa [kwa Watanzania waliopo Ughaibuni].
Nakumbuka ililetwa taarifa humu kwamba kutakuwepo pia na maandamano nje ya nchi ambayo Watanzania waishio huko watashiriki.
Moja ya hizo nchi za nje ni Marekani. Watanzania waliopo Marekani watajikusanya na kwenda kuandamana huko Washington D.C.
Sina uhakika yatafanyika katika sehemu zipi huko D.C. lakini nadhani moja ya sehemu ni mbele/ nje ya ubalozi wa Tanzania na labda mbele ya White House.
Sasa ningependa kujua kama hayo maandamano ya huko Marekani bado yapo.
Kama yapo, yapo siku gani hasa. Tarehe 25 au 26?
Yatafanyikia wapi hasa? Mtaa, kiunga/ viunga?
Muda gani? Mratibu wake ni nani?
Watu watakutania wapi? Na kadhalika.
Kwa ufupi ningependa kupata taarifa zaidi.
Yakiwepo nami nitaenda na bango langu.
Mzee Mwanakijiji Kiranga Bufa na wengineo wabeba boksi nyie mnazo taarifa zaidi za hayo maandamano?
USA baby![]()
![]()
acha mbwembwe dogo usidhani kutumia I'd fake hatukujui, unaishi hapa bongo na umepigika kama walivyo wabongo wengine. we tuliza tigo yako home tuache kwenye uchungu na mabadiliko tuandamaneZimebaki siku 10 [kama sijakosea] mpaka kufika ile siku ya siku, yaani ile siku ya “maandamano” dhidi ya Rais Magufuli.
Maandamano ambayo kwa ufahamu wangu yamepangwa kufanyika kitaifa na kimataifa [kwa Watanzania waliopo Ughaibuni].
Nakumbuka ililetwa taarifa humu kwamba kutakuwepo pia na maandamano nje ya nchi ambayo Watanzania waishio huko watashiriki.
Moja ya hizo nchi za nje ni Marekani. Watanzania waliopo Marekani watajikusanya na kwenda kuandamana huko Washington D.C.
Sina uhakika yatafanyika katika sehemu zipi huko D.C. lakini nadhani moja ya sehemu ni mbele/ nje ya ubalozi wa Tanzania na labda mbele ya White House.
Sasa ningependa kujua kama hayo maandamano ya huko Marekani bado yapo.
Kama yapo, yapo siku gani hasa. Tarehe 25 au 26?
Yatafanyikia wapi hasa? Mtaa, kiunga/ viunga?
Muda gani? Mratibu wake ni nani?
Watu watakutania wapi? Na kadhalika.
Kwa ufupi ningependa kupata taarifa zaidi.
Yakiwepo nami nitaenda na bango langu.
Mzee Mwanakijiji Kiranga Bufa na wengineo wabeba boksi nyie mnazo taarifa zaidi za hayo maandamano?
USA baby![]()
![]()
acha mbwembwe dogo usidhani kutumia I'd fake hatukujui, unaishi hapa bongo na umepigika kama walivyo wabongo wengine. we tuliza tigo yako home tuache kwenye uchungu na mabadiliko tuandamane
Umeshtuka nini? Kuambiwa utulize Tigo yako home au nini tena NN?Aisee
Hayo ya ndani ya nyumba nitashiriki ....maandamano hayaepukiki hata wakituzuia tutaandamana ndani ya nyumba zetu

Umeshtuka nini? Kuambiwa utulize Tigo yako home au nini tena NN?
Huyo anaandaa gobole lake aende nalo kuwafyatulia watakaoandamana.nyani wewe ni mnafiki tu
Huyo anaandaa gobole lake aende nalo kuwafyatulia watakaoandamana.
Kenge sana huyu msukuma pori.
You can surely do that , idiot.Take some percocets....
You can surely do that , idiot.
Julius Magembe
Andamaneni tuKibali mange alishapata na alikiweka live kwenye page yake ya instagram maandamano tar 25 mi nitakuwepo pia Washington DC
Mimi ni mwadilifu; sipo katika kundi lako la wauaji.You don’t want no smoke with me, bitch.
Mimi ni mwadilifu; sipo katika kundi lako la wauaji.