Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,609
- 1,731
Kabula is too busy getting ready for her finals.
She ain’t got no time for that BS!
Mpe hongera, kama anahitaji tutorials/twisheni nipo standby
Kabula is too busy getting ready for her finals.
She ain’t got no time for that BS!
Mpe hongera, kama anahitaji tutorials/twisheni nipo standby
Hahaaaa thanks.
Huwa anaenda hapo kwa ajili hiyo Promotions North Alpharetta Mathansium | Mathnasium
wewe ni mnafikiZimebaki siku 10 [kama sijakosea] mpaka kufika ile siku ya siku...yaani ile siku ya “maandamano” dhidi ya rais Magufuli.
Maandamano ambayo kwa ufahamu wangu yamepangwa kufanyika kitaifa na kimataifa [kwa Watanzania waliopo ughaibuni].
Nakumbuka ililetwa taarifa humu kwamba kutakuwepo pia na maandamano nje ya nchi ambayo Watanzania waishio huko watashiriki.
Moja ya hizo nchi za nje ni Marekani. Watanzania waliopo Marekani watajikusanya na kwenda kuandamana huko Washington D.C.
Sina uhakika yatafanyika katika sehemu zipi huko D.C. lakini nadhani moja ya sehemu ni mbele/ nje ya ubalozi wa Tanzania na labda mbele ya White House.
Sasa ningependa kujua kama hayo maandamano ya huko Marekani bado yapo.
Kama yapo, yapo siku gani hasa. Tarehe 25 au 26?
Yatafanyikia wapi hasa? Mtaa, kiunga/ viunga?
Muda gani? Mratibu wake ni nani?
Watu watakutania wapi? Na kadhalika.
Kwa ufupi ningependa kupata taarifa zaidi.
Yakiwepo nami ntaenda na bango langu
Mzee Mwanakijiji Kiranga Bufa na wengineo wabeba boksi....nyie mnazo taarifa zaidi za hayo maandamano?
USA baby![]()
![]()
credibility yako imeshuka kama mvua za N.Y. wewe ni mnafikiKibali cha nini na kuomba kwa nani?
Safi, akija Ivy, naomba idhini ya kumfanyia orientation
Wewe ulishaumbuliwa humu na ID yako ile hauko 'Marekani' wala 'USA'
Kiboko yako lusungoOh yeah?
Kwa hiyo niko wapi sasa?
Mnachekesha mno nyie watu!
Ndo maana nawadharau kabisa.
Tarehe 26042018 itapita tu kama UKUTA kwani watanzania ni wapenda amani.
Maden ya watu umeshalipa??Sisi tuliopo North Korea maandamano yatakuwepo wapi Pyongyang?
Wewe upo Mbezi sasa na Yule uliyempa details zako anakutisha umebaki popo kamanda Ngabu hujulikani ndege au mnyamaKibali cha nini na kuomba kwa nani?
Ndio maana wanapigwa 1.5 trillion lakini wao wanaunga mkono juhudi hizo. Acha uone 2017/18 itakuwa 2.1 trillionTarehe 26042018 itapita tu kama UKUTA kwani watanzania ni wapenda amani.
Nyani siamini kama utaenda kuandamana, nahisi umetumwa kumdhuru Mange Kimambi
Kibali mange alishapata na alikiweka live kwenye page yake ya instagram maandamano tar 25 mi nitakuwepo pia Washington DCVipi wameshaomba kibali?