Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,154
- 137,162
- Thread starter
- #101
We njoo tu na gobole lako. Utanikuta front huko DC.
Una hamu na gobole langu?
We njoo tu na gobole lako. Utanikuta front huko DC.
Nyani ngabu ulisahaulika kwenye Payroll? Au unaona siku za mlipaji wako zinaelekea kuzimu?Zimebaki siku 10 [kama sijakosea] mpaka kufika ile siku ya siku, yaani ile siku ya “maandamano” dhidi ya Rais Magufuli.
Maandamano ambayo kwa ufahamu wangu yamepangwa kufanyika kitaifa na kimataifa [kwa Watanzania waliopo Ughaibuni].
Nakumbuka ililetwa taarifa humu kwamba kutakuwepo pia na maandamano nje ya nchi ambayo Watanzania waishio huko watashiriki.
Moja ya hizo nchi za nje ni Marekani. Watanzania waliopo Marekani watajikusanya na kwenda kuandamana huko Washington D.C.
Sina uhakika yatafanyika katika sehemu zipi huko D.C. lakini nadhani moja ya sehemu ni mbele/ nje ya ubalozi wa Tanzania na labda mbele ya White House.
Sasa ningependa kujua kama hayo maandamano ya huko Marekani bado yapo.
Kama yapo, yapo siku gani hasa. Tarehe 25 au 26?
Yatafanyikia wapi hasa? Mtaa, kiunga/ viunga?
Muda gani? Mratibu wake ni nani?
Watu watakutania wapi? Na kadhalika.
Kwa ufupi ningependa kupata taarifa zaidi.
Yakiwepo nami nitaenda na bango langu.
Mzee Mwanakijiji Kiranga Bufa na wengineo wabeba boksi nyie mnazo taarifa zaidi za hayo maandamano?
USA baby![]()
![]()
Nyani ngabu ulisahaulika kwenye Payroll? Au unaona siku za mlipaji wako zinaelekea kuzimu?
Hilo hilo linalokata kona kutoka angani hadi stendi ya daladala?Una hamu na gobole langu?
Hilo hilo linalokata kona kutoka angani hadi stendi ya daladala?
Nimecheka kwa nguvu[HASHTAG]#Bring[/HASHTAG] back our 1.5trillion /tsh
Litakuwa bango langu.

Zimebaki siku 10 [kama sijakosea] mpaka kufika ile siku ya siku, yaani ile siku ya “maandamano” dhidi ya Rais Magufuli.
Maandamano ambayo kwa ufahamu wangu yamepangwa kufanyika kitaifa na kimataifa [kwa Watanzania waliopo Ughaibuni].
Nakumbuka ililetwa taarifa humu kwamba kutakuwepo pia na maandamano nje ya nchi ambayo Watanzania waishio huko watashiriki.
Moja ya hizo nchi za nje ni Marekani. Watanzania waliopo Marekani watajikusanya na kwenda kuandamana huko Washington D.C.
Sina uhakika yatafanyika katika sehemu zipi huko D.C. lakini nadhani moja ya sehemu ni mbele/ nje ya ubalozi wa Tanzania na labda mbele ya White House.
Sasa ningependa kujua kama hayo maandamano ya huko Marekani bado yapo.
Kama yapo, yapo siku gani hasa. Tarehe 25 au 26?
Yatafanyikia wapi hasa? Mtaa, kiunga/ viunga?
Muda gani? Mratibu wake ni nani?
Watu watakutania wapi? Na kadhalika.
Kwa ufupi ningependa kupata taarifa zaidi.
Yakiwepo nami nitaenda na bango langu.
Mzee Mwanakijiji Kiranga Bufa na wengineo wabeba boksi nyie mnazo taarifa zaidi za hayo maandamano?
USA baby![]()
![]()
Utaenda kuandamana wapi? D.C.?
Sisi tuliopo North Korea maandamano yatakuwepo wapi Pyongyang?
Afuuu kuna MTU anasema wanaolia vyuma kukaza walizowea hera za diri sasa 1.5t sijuii ni hera za msaadaa kutoka mbingunJamaa wamepiga mpunga mrefu sana TRA kumbe ilikua inatukamua kwa manufaa ya watu wachache wanatupiga.
Kwani ulillinunua kwa ajili ya nini?Unataka gobole langu likufanye nini?
Kwani ulillinunua kwa ajili ya nini?
Sasa unauliza nini? Kenge!Kwa ajili yako...
Sasa unauliza nini? Kenge!
UTAKUA UMETAMANI TK LA MUWEKEZAJI NINI?.na tuliopo rwanda ruksa kuandamana?