chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,885
- 29,674
Habari wakuu,.
Ninataka kubadilisha Jina langu kwenye akaunti yangu ya Facebook nimeshindwa.
Maelekezo ninayopewa na Facebook hayanisaidii kufanikisha kubadili Jina.
Kwa anayefahamu namna ya kubadili Jina tafadhali nahitaji msaada wako.
Natanguliza shukrani,..