kwa wataalamu wa mambo ya simu

kwa wataalamu wa mambo ya simu

tata mvoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
534
Reaction score
81
Habari wakuu kwa muda mrefu nimekuwa nikitumia simu yangu aina ya NOKIA 5130 ExpressMusic,ila hivi karibuni imeanza matatizo nikiingia net inazimika na kuwaka pia hata nikiwa nacheza game naweza cheza kwa dakika kama 2 hivi then ina-stuck then inazimika halafu inawaka yenyewe.Je,hapa tatizo ni nini? Pia kama kuna fundi mzuri humu jamvini ani-pm ili nimpelekee anitengenezee maana yaninyima raha ati!
 
yah zinafanya sana hizo simu nakushauri update firmware ya simu
 
hamna haja ya hela, tafuta computer na cable ya simu (usb) download kwenye compture nokia updater then connect simu na hiyo soft then itascan automatic itadetect inataka ku updatiwa then update
 
jaribu setting restore all setting itakuomba security ingiza 12345 kama umebadilisha weka .then toa memory card uiformat na kama umeinstall application remove zote .ukimaliza set internet manual angalia. Ikitataa kama upo dar fika nayo agrey kwa masudi macho mzungu 10000
 
kwanza jaribu kuhard reset kama alivosuggest wanatamani but kwanza kumbuka kuremove memory card this important usisahau turemove mem card na pia kama unaweza kufanya back up fanya o copy contacts zote za kwenye sime ziende kwny simcard then.. Weka code hi *#7780# then weka security key default 12345 itazima na ikiwaka itakuwa imeclear evrthing and like new! Maybe this wud help.
 
Back
Top Bottom