Kwa wataalam wa sheria masaada unahitajika

Awaambie hao police uchwara kwamba anaenda kushitak kwa OCD au RPC.
Halafu aende dukani kuomba risiti, kama anakumbuka tarehe au mwezi watamuangalizia ktk kumbukumbu, aende na ID ili wafananishe majina.
 
Awaambie hao police uchwara kwamba anaenda kushitak kwa OCD au RPC.
Halafu aende dukani kuomba risiti, kama anakumbuka tarehe au mwezi watamuangalizia ktk kumbukumbu, aende na ID ili wafananishe majina.
Huu ushauri mzuri Sana maana jamaa anasema hawakutaka hata kumsikiliza polisi wote walikuwa upande wa demu wakati hawana uhakika na mashtaka ya demu
 
Imani kubwa itakuwa ya huyo demu, jamaa alikuwa anauza mali ya wizi kwa kujua au kutokujua.

Aachane nayo, police ya tz itamfilisi,
 
Imani kubwa itakuwa ya huyo demu, jamaa alikuwa anauza mali ya wizi kwa kujua au kutokujua.

Aachane nayo, police ya tz itamfilisi,
Simu ilikuwa mpya tunavyoinunua yani full box na Kila kitu kinacho patikana kwenye simu mpya kilikuwepo yani ilikuwa mpya kabiiiisa. Shida Tu Jamaa anasema katika kuhama hama makazi mara huku mara kule akapoteza box pamoja na risiti ya simu.
 
Mbona rahisi hilo polisi wanalimaliza mapema, waandike barua kujua namba iliyotumia hiyo simu muda fulani watajua nani mkweli
Wazo zuri, inamaana hiyo barua waandike kwenda wapi
 
Na wasi wasi huyo demu anaitwa tapeli ,Ali maarufu kama kapesa wazee na mabibi wa madeal mjini wao wanaweka tego tu. Ili wakupige pesa
 
Hapo hakuna haja ya risti hio kesi ni rahisi sana police wana kitengo cha Cyber wana trace sim card ipi imetangulia kutumika kwenye hio simu kati ya huyo jamaa yako na ya demu case closed
Nitamshauri jamaa awaambie polisi hicho kitengo cha cybe kifanye kazi yake. Na vipi hapo ikitambulika demu alikuwa anajaribu kumtapeli jamaa kisa hana risiti je mshkaji anaweza kumfungulia huyo dem mashtaka ya udhalilishaji? Maana jamaa anasema alibebwa juujuu kama mwizi toka mtaani kwao hadi kituo cha polisi anasema ilikuwa ni aibu kubwa sana kwake pale mtaani anapoishi.
 
Sasa mchizi simu hajaiba tulienda Mimi na yeye kununua shida hapo ni risiti, sasa dukani wanaweza kubaki na kopi ya risiti yenye emai namba za Ile simu au ndiyo demu anakula njama na hao polisi na mchizi ataingizwa chaka!!!!?
Huyo bitch kashawapanga askari na kibunda apo lazima mchizi atakula za macho kama ana uwezo acheki wakili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom