Hilo gwanda lake nalo kapewa na akina aliAdaiwi?Kwanza Kikwete kawapigia gwanda la Bluu, huyu mtu ananimaliza jamani.
Hapo anamwambia Lissu, usijali, tupo pamoja.
Hapa Rais Kikwete alikuwa anamwambia Mh Lissu nini?
![]()
Aaaaaaaa, Mkuu Faiza, kumbe nanyi mnahusudisha maganda?...lol... no pun intended, just kockingKwanza Kikwete kawapigia gwanda la Bluu, huyu mtu ananimaliza jamani.
Hapo anamwambia Lissu, usijali, tupo pamoja.
Hapa Rais Kikwete alikuwa anamwambia Mh Lissu nini?
![]()
Freemasons? hujakosea..hiyo hand shake siyo ile ya wale jamaa?