Mlenge
R I P
- Oct 31, 2006
- 2,125
- 2,318
Kwa wasomao PCB au utabibu.
Wapo wengine hawajui waje kuwa mabingwa wa nini: kasomee masikio!
89.7% ya vijana siku hizi wanavaa "earphone" spika za masikioni kutwa kuchwao. Japo wao ni vijana, masikio yao yana maileji nyingi kuwazidi umri. Yatakapojibu madaktari wa masikio mtakuwa bize sana kuokoa jahazi.
Mshan'fahamu?