Pamoja na wananchi kukaa kimya kwa muda mrefu na kumwacha Mh Hamad Rashid kujitia kuwa yeye ndiyo msafi kuliko wengine wote asifikiri kuwa watu hawamjui tamaa yake inayomshinda Fisi, Bwana Hamad amekuwa na tabia ya ubinafsi wa kutisha kuliko ule anao usema kwa wenzake na hata hufikia kudhuru na kuumiza watu anapotaka jambo lake litimie, Bwana Hamad uroho wake hauwezi lingaanishwa na yoyote hapa nchini kwa sisi tunaomjua narudia hufikia kudhuru hadi kuumiza iwapo anataka matakwa yake yakamilike, wananchi wanafahamu wakati akiwa yeye na wabunge majority hakukumbuka kubadilisha kanunu za bunge sababu alipenda uheshimiwa na marupurupu ya mkuu wa kambi ya upinzani choyo chake hataki kuona mwingine yupo juu yake, lakini hii leo siyo issue.
nilitaka mumuelewa Hamadi kama afuatavyo Hamadi leo hii ni mkurugenzi wa kampuni ya TALKTEL COMMUNICATIONS LTD lakini mnajua aliipataje nafasi ya ukurugenzi wakati yeye si mwasisi wa kampuni hii , Mpwa wa Hamadi aliingia talktel kama partner through local partners kwa mapenzi ya undugu alimwita Hamadi kuingia mule ndani kwa ajili ya influence ya kiserikali na kusaidia mambo fulani fulani ya PR na wakubwa lakini ilikuwa wameingiza jini baada ya hamadi kupewa kiti mle ndani alianza kuwashawishi local partner waasi ili waweze kupora hiyo kampuni kwani share alizokuwa nazo mpwa wake aliona hazitoshi alitaka zaidi nataka kuelezea ni jinsi gani asivyolidhika aliwashawishi local partner wagomee shares walizonazo lakini wale wamarekani walikataa walipokataa Bwana hamadi alianza kuwatesa na kuwafungulia kesi kila siku na kuwapeleka immigration na kuwasiliana na polisi ili wakimbie nchi mbinu za kizamani kabisa hakuangalia hata heshima ya nchi kwa wageni yeye aliona masilahi yake tu mbele ni mtu hatari kwelikweli alivuruga kampuni na mipango yake yote hadi watu wenye idea ya mradi wakasambaratika na kubakia ombaomba hapa mjini lakini yeye akiwa amebakia na kampuni hapa mjini kampuni hii hivi sasa ina operate kutokea ofisini kwake kule maeneo ya lugalo golf club ambapo mheshimiwa anaishi humohumo huyu ndiyo MH .Hamad Rashidi Aanewaambia wenzake wabinafsi wakati wakiwa wamesimama mbele ya haki, na jua huyu bwana ni mbishi lakini akibisha haya tutaweka ushahidi mwingi wa kutosha na jinsi alivyohusika uporaji wa kampuni bwana huyu hakuishia kuwafukuza investors tu, leo hii katika kundi lao la local shareholders wapatao 8 waliopora kampuni ameishakorofishana na wote wamebaki wachache nasikia hata mpwawe aliemkaribisha naye katimka leo hii yeye ndiyo mwenyekiti wa Talktel communication ltd shame on you Hamadi. Aibu zako ni kubwa kitaifa na kimataifa unaweza kupora kampuni lakini siyo haki ya watanzania wote iliyopo kihalali kwa ajili ya kutimiza matakwa yako wenye nchi hii hawatakukubalia wewe ni chui ndani ya ngozi ya kondoo .
NAOMBA KUWAKILISHA
Sasa huku mmevuka mipaka!Wakati akiwa CCM aliwahi kuwa naibu waziri ktk serikali ya muungano, kwa kutumia nafasi yake alipora mke wa mtu hapo ilala sharif shamba.
Kanuni moja ambayo Hamadi ameisahau ni kambi ya wabunge wa muafaka. Mambo ya madhambi yake labda ameshatubu, lakini hili la kutumiwa kuvunja upinzani amekwisha. At least Kafulula na Cheyo wanakitu cha kuzungumza lakini sio CUF. Tena napendekeza mazungumzo ya Muafaka yaletwe kwenye muungano ili wakamilike. Kwanini hawakumpa uwaziri huyu.
Sasa huku mmevuka mipaka!
Hivi mie sielewi au kamusi yangu inanidanganya? jamani hizi hoja nadhani zimekaa kishabiki zaidi. Chadema ni chama cha upinzani lakini wao hawakutaka kuwashirikisha wapinzani kama UDP, TLP na NCCR Mageuzi kama kweli wao hawana nia mbaya ya kuuvunja upinzani nadhani wangewashirikisha hao na kuwaweka kando CUF hapo ningeiona dhamira ya kuudumisha upinzani.
Naheshimu dhamira ya CDM kutaka kufanya kazi peke yao na wala sikuona ubaya wowote ila sifurahii mnavyo present mada wenye kufikiri wakichambua mada zenu wanaanza kushuku dhamara za CDM can we grow up and post useful and analyzed posts/threads?