Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,104
- 55,514
Maisha ni magumu kwa asiyelima na kufuga, anayetegemea apate shilingi mia ndio iwe unga, kitunguu, nyanya n.k
Kama una lima na kufuga, tayari unakuwa na uhakika wa chakula pamoja na hela za ziada; na hii itakuletea utulivu wa nafsi na kujiamini bila kumtegemea mtu.
Kwa wale wasiolima na kutegemea mishahara tu, ndio wanao ona maisha ni magumu.
Majungu, fitna, na chuki za hapa na pale, zinatokana na kutokulima pamoja na kufuga.
Je ni kweli ama si kweli?