Kwa wastani unatumia shilingi ngapi kwa mwaka kununua mapenzi?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,579
44,826
Angalia phonebook yako una namba za wapenzi(marafiki) wangapi ambao anytime unaweza kuwaita ukawagonga na kuwapa minimum 15,000/=.

Binafsi mimi ninao mademu 13 ambao kwa wastani ndani ya mwaka naweza kuwagonga kila mmoja mara 10 sawa na mizagamuoano 130 ambayo mara nyingi nawapa 15,000/= plus guest house 15,000/= na hapo lazima nilewe maana nikiwa sober sitaki mademu so ili nilewe mpaka zishuke juu katika kichwa lazima niwe nimespend 30,000 na zaidi kuna chipsi na nyama hapo so jumla ni 70,000/= kwa hiyo mara mizagamuano 130 jumla ni 9,100,000/=

Nambie wewe una mademu wangapi ambao wako ready anytime pesa yako tu nikwambie unatumia shingapi ngononi, ila watu wa dar uswazi nyie kidogo mna kaunafuu maana mpaka mademu wa 3,000 mnao kibao sio huku mikoani inayokua wameshajua bei elekezi ni 10,000
 
Hao malaya wote unaweza wapiga chini ukachukua mpenzi mmoja au wawili wenye sifa zote. Na ukatumia nusu ya gharama kwa mwaka
Ndo nilichokuwa nakifikiri tatizo sasa kuna mda ukilewa alafu shemeji wako hao wawili wanazingua so itabidi sasa utafute raia yoyote available
 
angalia phonebook yako una namba za wapenzi(marafiki) wangapi ambao anytime unaweza kuwaita ukawagonga na kuwapa minimum 15,000/=.binafsi mimi ninao mademu 13 ambao kwa wastani ndani ya mwaka naweza kuwagonga kila mmoja mara 10 sawa na mizagamuoano 130 ambayo mara nyingi nawapa 15,000/= plus guest house 15,000/= na hapo lazima nilewe maana nikiwa sober sitaki mademu so ili nilewe mpaka zishuke juu katika kichwa lazima niwe nimespend 30,000 na zaidi kuna chipsi na nyama hapo so jumla ni 70,000/= kwa hiyo mara mizagamuano 130 jumla ni 9,100,000/=...



Nambie wewe una mademu wangapi ambao wako ready anytime pesa yako tu nikwambie unatumia shingapi ngononi..ila watu wa dar uswazi nyie kidogo mna kaunafuu maana mpaka mademu wa 3,000 mnao kibao sio huku mikoani inayokua wameshajua bei elekezi ni 10,000
Mkuu fanya upunguze, una Wastani wa kwenda Lodge siku 11 kwa kila mwezi. Tufanye minimum kila ukiingia huko unakaa masaa 5 tu kila siku uliyoenda. Means kwa mwezi unatumia Masaa 55 sawa na siku 2 na Masaa 7 kufanya zinaa.
Kwa mwaka unatumia masaa 55×12=660/24=siku 27.5 unazitumia kwa zinaaa.
Hapa ni kwenye michepuko tu bado hesabu za Mkeo nyumbani hazipo. Wanaume tunakufa mapema na visa vingi sana aysee
 
Back
Top Bottom