zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
....Habari zenu kwa ujumla.
.....Nimekuja na swali kwa watani zangu wasambaa ,nachouliza nini hufuatwa baada ya goroli 7 kutoka.........
.......na je hizo goroli zisipo toka sabaa unakuwa katika wakati gani.....
........
CC; JF WING TANGA