SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Nashindwa hata kusema... Hebu Check hao wakaka wooote in blue... alafu fananisha na mkaka wa mwisho kabisa.... Can you see the difference??
mwalimu,tatizo nyingine sijui ndo usharobaro,inakuwa wamezidi bana! a man shld look manly,hii mambo ya kuvaa blouse and leave no imaginations inapunguza dhana nzima (siisemi,lol). kuna vitu vimezidi,mara viatu vya pink na nano,kha!
if i were to label them it will go like this
1-okay
2-gay
3-manly
4-gayish
5-almost gay
6-just dumb
7-a man
<br />mara ya ngapi wavae? siku hizi nguo dukani shurti uulize kama ya jinsia gani,hukawii kununua shati la kiume.manake shurti darts nne mbele, nne nyuma! na kufuli siku hizi zipo za bikini za kiume,kha!
ha haaa
nilijua wanawake wote mtashangaa nimetaja pea saba...
Unaona?
Hata hao wao wenye majukumu still wanaspend zaidi
while wanawake pea saba ni ndogo mno
kwa wanaume pea saba labda ndo maximum..
U see my point?????
Umenikumbusha zamani mashati ya kike ndio yaliyokuwa na back dart. Enzi hizo mwanaume akivaa shati lenye back dart shuleni ulikuwa unachekwa kama nini. Lakini siku hizi mashati wanaume back dart mtindo mmoja.

mkwe we acha tu! Wanatuingilia pamba zetu. Lol!
Step son wako akivaa hvyo namtiririsha.
Mbona town wengi tu...lol... acha ukorofi bana....
Baada ya kupikicha macho na kuangalia kwa umakini...huyo mwenye red pants nahisi mwana si rizki.
gee
what happens to 'benefits of the doubts'???
Ni lazima wanaume wote wa lift some weight
just to look ok????
He he he
Wakikosa warembo watajibeba! Mtu hujijui uko na mwanamme au mwanamke mwenzio!
Maana lipstick na kutinda nyusi pia tayari!
<br />heeh! kutiririsha ndo nini? usie ukaniulia mwanangu kwa presha bibi weye! ila kweli wakati mwingine utadhani mkaka kavaa blouse ya dadake!
Umenikumbusha zamani mashati ya kike ndio yaliyokuwa na back dart. Enzi hizo mwanaume akivaa shati lenye back dart shuleni ulikuwa unachekwa kama nini. Lakini siku hizi mashati wanaume back dart mtindo mmoja.
Dart haikuondolei uanaume wako na wewe! Vaa tu :]
No Comment....lol...
na siku hizi ukiona face scrub yako haipo bafuni inabidi umuulize mume/bf! Kha!
usisahau mashati ya pink yenye maua ya njano! manake zamani ilikua ukiona hata color tu unajua hili la kike! sasa sarawili hizi za suti ambazo ni tite kama jeans tight ndo utadhani tunashindana ma-hips! nshachoka mie!
mkwe itabidi nikuletee kamusi. Tatizo umeishi sana china hata kiswahili kinakusumbua.
Mkwe unavijua vipedo.