Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

ni kujikaza tu ukiguswa panapouma
Mi pia vinanikutaga
Hujanikuta nikinuna wanaoponda vikorea
Tatizo wakorea hawapo serious muda mwingine, mfano kuna series inaitwa lawless lawyer, mtu kachukua risasi kwenda kummaliza adui yake amefika kamnyooshea bastola maneno mengii huku anatetemeka mpaka mwisho wa siku akatekwa yeye kwenda kuuwawa.

Mtu anayelipa kisasi kwa watesi wake kwenye muvi za kikorea mwisho lazima auwawe au akamatwe na polisi( hollwood mwisho itaoneka mlipa kisasi yupo zake nchi za mbali anakula bata)

Komedi nyingi: hata muvi iwe serious vipi komedi zitakuwepo tuu

Dèmu mmoja kugombewa na watu wawili, yani kila muvi ya kikorea lazima itokee hali ya hivo.

Jina seoul lazima litajwe kila muvi kama ilivyo bongo movie kila aliyepo kijijini akienda mjini kuanza maisha lazima aonekana anashuka Ubungo Dar es salaam

Hao jamaa nchi yao ni tajiri , hata mtu awe maskini ila anamiliki gari kali
 
Vitu vingi kwenye drama/movies/play and sort of vinareflect jamii husika...
Yani kuna vitu huwez kuviachanisha sababu ni maigizo

Mfano wahindi na masongi songi
Ile feel ukitazama movie za britain ni tofauti na marekani au spain

Yan tuvitu tudogo tukiwa displayed unaweza tofautisha taifa moja na lingine labda iwe ni ambalo tamaduni zinaingiliana, na kama ni mdau utaona utofauti pia.

Sijui umetizama genre ngapi za kikorea lakin kuna vitu umehighlight sio matokeo ya jumla mf. Hiyo kisasi, umetizama Narco saint? Why her, Moneyflower?

Sio vitu vingine ni obvoius yani kama wakorea na kutumia white truck of doom, izo comedy ukiingia kwa variety ndo mbavu zinauma kwa sisi wengine.

Khantwe umeona povu langu
 
unamjibu wa nini mtu ameongea pumba tupu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Karibu kwenye ulimwengu wa variety
Kuna vitu mimi sitaki kabisa kugusa wacha tu nimuachie Numbisa maana nitachanganyikiwa. Nilisema sitaki kabisa kufuatilia muziki ila wiki mbili hizi niko obsessed na bts najiona kidogokidogo naanza kuingia kwenye kpop bila kupenda, hata drama nimepunguza kuangalia nakesha insta kuangalia reels

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya kumuona jung kwenye uzinduzi wa world cup nikaanza kukesha you tube kufatilia music wa kundi zima nikajiwahi kabla sijawa addicted zaidi. Nipo zangu ndani ya family dramas

na mimi nilianzia hapohapo japo siku za nyuma nilikuwa nawaangalia hapa na pale. Halafu mimi hata sio mpenzi wa football jamani kama sio uchawi ni nini

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kuna vitu mimi sitaki kabisa kugusa wacha tu nimuachie Numbisa maana nitachanganyikiwa. Nilisema sitaki kabisa kufuatilia muziki ila wiki mbili hizi niko obsessed na bts najiona kidogokidogo naanza kuingia kwenye kpop bila kupenda, hata drama nimepunguza kuangalia nakesha insta kuangalia reels

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

Nami ndo kilichonitokea saivi ongoing hazinitesi maana nashusha variety si mchezo

Hiyo miziki ndo najionea huruma hahaha
Naweza kaa eti naimba vikorea tena za 80’90’s
 
Back
Top Bottom