Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hivi kwanini alafu inasifiwa balaa nataman nifike hiyo climax ya ubora ila haifiki

Ni kama Mr Queen kila nikitazama ep ya kwanza sielew na haiishi, nikiinigia humu inasifiwa nikaona isiwe tabu nikaanzia ep ya 3 huko aah mbona tukaenda sawa
Humu aliyezingua ni main actor Rowoon mwamba ndie kaua utamu.

Sijawahi kubali aina ya uingizaji wake akiongozwa na yule jamaa wa Crowned Clown.

Wanauingizaji siupendi.

Huyo huyo actress wa King Affection aliua Attorney Woo sababu waliendana vibe na Actor.

Naamini angekua jamaa mwingine kwenye King Affection ingefika mbali.

Sometimes actresses ndio wana impact kubwa kuliko actors

Hebu angalia Shin Hye Sun wa Mr. Queen aliua pale, Na Angel last mission.

Hawa actors sometimes michosho tu kama wanaforce kuigiza.

Wachache wako natural.
 
Duh descendants of the sun sio kali? Mimi niliipenda kwa kweli
Hongera me sikuikubali kabisa. Hasa wakati wanaongea na foreigner wakorea wanaact safi wakiwa wakorea kwa wakorea, foreigner wakiingia inakua kama Bongo movie kuforce force.

By the way maoni yangu, nilitamani descendants of the sun isingehusisha foreigner ingekua balaa.

Ukute hata wanaogopa kuwa wakali kwa foreigner kumpa kipodo kama wanavyopeana wao kwa wao.
 
Hata sijaelewa ulichozungumza
 
Humu aliyezingua ni main actor Rowoon mwamba ndie kaua utamu.

Sijawahi kubali aina ya uingizaji wake akiongozwa na yule jamaa wa Crowned Clown.

Wanauingizaji siupendi.

Huyo huyo actress wa King Affection aliua Attorney Woo sababu waliendana vibe na Actor.

Naamini angekua jamaa mwingine kwenye King Affection ingefika mbali.

Sometimes actresses ndio wana impact kubwa kuliko actors

Hebu angalia Shin Hye Sun wa Mr. Queen aliua pale, Na Angel last mission.

Hawa actors sometimes michosho tu kama wanaforce kuigiza.

Wachache wako natural.
Actor yupi? Kwa vibe gani hasa? Mimi ukiniuliza kitu ninachokumbuka kwa yule actor hata sikumbuki. Yule alikuwa anamsindikiza tu main actress
 
Behind every star ni nzuri tatizo yule gay anaboa sana mule kujishebedua khaaa.

May i help you nzuri hasa inavyohusu masuala ya funeral house japo wameongeza mbwembwe kidogo
 
Wameanza nao...maana mimi nimezoea kwenye kdama hata akiwepo gay anakuwa kawaida tu...mpaka aseme mwenyewe ndio utajua ni gay
 
Humu aliyezingua ni main actor Rowoon mwamba ndie kaua utamu.

Sijawahi kubali aina ya uingizaji wake akiongozwa na yule jamaa wa Crowned Clown.

Wanauingizaji siupendi.

Huyo huyo actress wa King Affection aliua Attorney Woo sababu waliendana vibe na Actor.

Naamini angekua jamaa mwingine kwenye King Affection ingefika mbali.

Sometimes actresses ndio wana impact kubwa kuliko actors

Hebu angalia Shin Hye Sun wa Mr. Queen aliua pale, Na Angel last mission.

Hawa actors sometimes michosho tu kama wanaforce kuigiza.

Wachache wako natural.

Kweli Rawoon humu alikua hana confidence yani aliplay very low

Ila huwa namkubali, yule wa clowned clown kiboko ila ana bahati na project kali kali so najikuta namtizama

Woo youn woo ni bonge la actress sio tu kwenye extraordinary kuna ile do you like bruhms, stove league zote uhusika wake una impact kwangu
 
Back
Top Bottom