Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

siku ya jana (Ijumaa) Netflix wameachia drama inayoitwa D.P (Deserter Pursuit), maudhui yake ni ya kijeshi na inajaribu kuzungumzia maisha ya kikundi maalum kinachopewa mission ya kuwatafuta raia wote wanaokimbia jeshini.
imebeba jumla ya episode 6, lead actor ni jung hae in.
Hao wakufunzi wanavyopenda sifa, nilifikiri ni huku kwetu tu ndio kuna huu ujinga wa kuoneana

Zimeachiwa kwa pamoja au ndio mwendo wa kusubirishana
 
1630177277901.png

True friends are never apart, maybe in distance but never in heart. - Helen Keller
 
kutoka tarehe 31/12/2020 hadi tarehe 30/08/2021 ya uvumilivu,
wazee wa zamani waliwahi kunena maneno yafuatayo
mstahamilivu hula mbivu, baadae wakajitokeza wabishi wengine wakasema mstahamilivu huishia kula kibovu.
sijui nitaishia kwenye kundi lipi kati ya hayo mawili
==================
Lovers of the Red Sky drama
Hong Chun Gi (kim yoo jung) ni msichana mchoraji aliyeishi nyakati za utawala wa Joseon, alizaliwa akiwa na tatizo la kutokuona lakini baadae kimiiujiza tatizo hilo likaondoka (nimesoma sehemu na ndivyo walivyoandika).

Ha ram (Ahn Hyo Seop ) ni kijana aliyezaliwa na tatizo la kutokuona, licha ya kukabiliwa na tatizo hilo lakini hakuweza kuachana na ndoto yake ya kuwa mtaalamu wa elimu ya kutafsiri nyota.

Lovers of the Red Sky chimbuko lake ni novel inayokwenda kwa jina kama hilo na imeandikwa na muandishi mashuhuri anayeitwa Jung Eun Gwol, huyu muandishi pia aliwahi kuandika novel nyenginezo ambazo pia baadae ziligeuzwa kuwa ni hadithi ya dramas, novel hizo ni Sungkyunkwan Scandal na The Moon Embracing the Sun.

Muandishi wa hii drama anaitwa Ha Eun ambaye pia ameandika melo is my nature drama.
Director wa hii drama anaitwa Jang Tae Yoo, mwenyewe anasema kupitia drama hii utavuta kumbukumbu za kiuzoefu zilikwisha kupitia pindi ulipoangalia drama tatu zifuatazo ambazo zote alizisimamia yeye.

  • utakutana na uliwengu wa fantasy melodrama nature kama ulivyoshuhudia kupitia my love from another star drama.
  • vita ya kisiasa kama ulivyoshuhudia kupitia tree with deep roots drama
  • ulimwengu wa sanaa ya uchoraji kama ulivyoshuhudia kupitia painter of the winds drama

====================
 
"Sang Do" hii ni moja kati ya series kali kati ya ambazo nimewahi kuziona, ITOSHE kusema ni series kali. Zile dhana tunazojifunza huko Vyuo vya walavi kuwa Mjasiliamali ni Risk taker, Restless, sijui anajua ku spot opportunities, anabadili shida kuwa fursa, sijui Ups and downs,, yote utayakuta humu ndani.
Dadeki hii series ya Sang do na Hur Jun zimefanya hadi nione Mr Sunshine ni series mbovu na sidhani kama nitaimalizia.
images (4).jpeg
 
View attachment 1917730
Hii lazima niicheki ngoja nimalizei love on rooftop
 
Tafuta Pia Undercover Na Beyond Evil.
nakusalimu kwa jina la makolo kolo (jezi za waarabu zilizojaa matangazo ya msiba kama yale yanayotangazwa radio 1)
wewe nijibu kelele ziendelee

hivi wewe ndiye yule unayevaa miwani, unayefanya kazi kwenye ile ya hospitali ya wanawake inayoitwa Ewha Womans University Seoul Hospital au Yulje Medical Center kwa jina la drama ile?
kwa sababu naona majina yenu yanalingana

=================
nilipomaliza kuiangalia mouse drama nikasema ok acha nihamie beyond of evil nikiwa na matumaini ya kwamba nakwenda kukutana na hadithi nzuri ya kihalifu, kimbembe ni vile ilivyomalizika kwa episode 2 ndipo kumenifanya hiyo drama niiweke kiporo, kwa jinsi ilivyomaliza hiyo episode imeniwacha na wasiwasi juu ya mrejeo wa kile nilichokishuhudia ndani ya mouse.

eti lead actor anahangaika mchana wa kutwa kumtafuta predator (muuaji) kumbe yeye mwenyewe ndiye muuaji.

beyond evil mwishoni mwa episode 2 nayo imetuonyesha sura ya muigizaji mkuu akipanga vidole vya binti aliyekwisha uliwa (nikabaki na mshangao),
tafadhali musinisimulie kinachoendelea
 
Kwa upande wangu ipo poa sana. Ndo huwa naitumia
juzi zantel walinionjesha ofa kwa kunizawadia kifurushi nilichokinunua baada ya saa 1 kupita (walinitumia ujumbe juu ya uwepo wa ofa hiyo).
nilinunua gb 3 kwa shilingi 2000 baadae wakanipa tena gb 3 baada saa 1 kupita, furaha ilioje kwa mlevi wa series na mapocho pocho mengineo (alah! nina gb 6 mfukoni)

ujinga ulivyonijaa nilifikiri ile ofa ni ya kuendelea, now kila nikinunua kifurushi sipati bonus.
mzee wa risk takers sikomi mwaka huu (nimegeuka fisi)
teh teh teh
 
😂😂😂😂😂😂😂😂dae una vituko. Mie nimeganda kwa airtel walipo nipo nao kwa night bundle hope hawatabadili watatutesa sana
juzi zantel walinionjesha ofa kwa kunizawadia kifurushi nilichokinunua baada ya saa 1 kupita (walinitumia ujumbe juu ya uwepo wa ofa hiyo).
nilinunua gb 3 kwa shilingi 2000 baadae wakanipa tena gb 3 baada saa 1 kupita, furaha ilioje kwa mlevi wa series na mapocho pocho mengineo (alah! nina gb 6 mfukoni)

ujinga ulivyonijaa nilifikiri ile ofa ni ya kuendelea, now kila nikinunua kifurushi sipati bonus.
mzee wa risk takers sikomi mwaka huu (nimegeuka fisi)
teh teh teh
 
nakusalimu kwa jina la makolo kolo (jezi za waarabu zilizojaa matangazo ya msiba kama yale yanayotangazwa radio 1)
wewe nijibu kelele ziendelee

hivi wewe ndiye yule unayevaa miwani, unayefanya kazi kwenye ile ya hospitali ya wanawake inayoitwa Ewha Womans University Seoul Hospital au Yulje Medical Center kwa jina la drama ile?
kwa sababu naona majina yenu yanalingana

=================
nilipomaliza kuiangalia mouse drama nikasema ok acha nihamie beyond of evil nikiwa na matumaini ya kwamba nakwenda kukutana na hadithi nzuri ya kihalifu, kimbembe ni vile ilivyomalizika kwa episode 2 ndipo kumenifanya hiyo drama niiweke kiporo, kwa jinsi ilivyomaliza hiyo episode imeniwacha na wasiwasi juu ya mrejeo wa kile nilichokishuhudia ndani ya mouse.

eti lead actor anahangaika mchana wa kutwa kumtafuta predator (muuaji) kumbe yeye mwenyewe ndiye muuaji.

beyond evil mwishoni mwa episode 2 nayo imetuonyesha sura ya muigizaji mkuu akipanga vidole vya binti aliyekwisha uliwa (nikabaki na mshangao),
tafadhali musinisimulie kinachoendelea
Nilijua Utanisahau 네가 자기야.
보고싶다.

Jezi Zetu Ni Kati Ya Jezi Nzuri Kwa Msimu Huu, Kataa Uone! Ila We Unaipenda Sana Sema Ndo Ivyo.

Mi Ni Yule Wa Yulje,Japo Wakati Nabadirisha Niliangalia Sana Nature (Mi Ni Mpenzi Wa World Nature).

Beyond Evil Nipo Episode Ya 2 Sijaendelea Nayo Maana Najiona Nina Viporo Vingi, Ila Ilipata Viewers Wengi Na Kua Popular Ndomna Ikanisukuma Kuitafuta.
 
Hii lazima niicheki ngoja nimalizei love on rooftop
Hiyo, on rooftop inahusiana na nini?.

Mie bado nipo episode ya 33/50( Sang Do), hii tabia ya kufuatilia series za miaka ya zamani wewe Daemusin ndie uliyeniambukiza mara baada ya kunipa recommendation ya The Age of warriors( 2003), Wang gun( 2000-2002). Kisha nianza kunogewa zaidi nilipoitafuta Dae jang geum( 2003), Damo( 2003), Emperor of sea( 2004), Yi san( 2006), The Great King Sejong( 2008). Na sasa nipo kwenye Hur Jun(1999-2000) na Sang do(2001-2002). Endapo nitazimaliza nitatafuta zingine japo changamoto kubwa huku( miaka hii ya zamani) baadhi ya Series kali hazina subtitles.
Kuna mtu atakwambia hapendi kuangalia series za zamani sababu ya quality, lkn kwa mtu apendaye story nzuri huku ndo kwao.

👇 pichani ni muhuni wenu huyu nipo naye kwenye Hur Jun na Sang do, kote ni mzee Wa Fitna. Kiukweli anaziweza fitna huyu mwamba.
images (8).jpeg
 
Back
Top Bottom