Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Aaah hizi series za kikorea zishanikataga stimu tangu enzi za jumong

Wamevaa mavazi ya kuonesha kijijini nikajua hapa mkono utaochezwa humu ni zaidi ya taichi. Mwisho wa siku naona wanarukaruka tu na mashuka yao
 
Nakuunga mkono.
Aaah hizi series za kikorea zishanikataga stimu tangu enzi za jumong

Wamevaa mavazi ya kuonesha kijijini nikajua hapa mkono utaochezwa humu ni zaidi ya taichi. Mwisho wa siku naona wanarukaruka tu na mashuka yao
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 eti mashuka yao
Aaah hizi series za kikorea zishanikataga stimu tangu enzi za jumong

Wamevaa mavazi ya kuonesha kijijini nikajua hapa mkono utaochezwa humu ni zaidi ya taichi. Mwisho wa siku naona wanarukaruka tu na mashuka yao
 
  1. ulishawahi kuiangalia stove league: kama bado kaa chini, sahau kila kitu kuhusiana na marry me now, iangalie hii project then utakapomaliza tuma maombi ya nafasi ya mtendaji mkuu kwenye klabu ya Yanga au Arsenal , natumai hutoyumbishwa kama alivyo jamaa wa humu ndani.....(telegram inapatikana)
  2. signal: ipo vizuri, ondoa stress pindi unapohitaji kuiangalia, ni criminal drama...kuna device fulani ya kimawasiliano (mfano wa radio call) inawaunganisha kwa pamoja wanadamu wawili walio kwenye muda tofauti(kama time travel)....ilikuwa ni moja kati ya drama bora kwa mwaka 2015... kuna possibility ya kutengenezwa season 2 inshaallah, muandishi wa hii project ni mwanamama fulani(genius) ambaye pia ameandika kingdom, sign, phantom na 3 days. (telegram inapatikana)
  3. life: medical drama, pande mbili zinapotofautiana kifikra kuhusiana na swala zima la uendeshwaji wa hospitali, upande wa madaktari na upande wa raisi wa hospitali (huduma bora , huduma na utengenezaji wa mapato)....ameandika mwanamama fulani ambaye pia ameandika secret forest season 1 and 2....telegram ipo
  4. money flower: humpendi sana jang hyuk lakini itafute kwa lazima hii project, hutojutia.....akili ya mtu mmoja inavyotawala fikra za familia nzima (chaebol)...telegram ipo
  5. when the camellia blooms: sina cha kuielezea, itafute ukiwa na muda...telegram ipo
Una ubaguzi siku hz kwamba post yangu hukuiona😏😁......mweeeeh ila Asante kupitia hii post nimepata what I wanted.
 
ndio nimeipitia hiyo taarifa muda huu

walichokifanya kwenye hizo tuzo ni kutoa zawadi ya tone la furaha kwa kila upande ili kujenga taswira ya kuwepo ushindani

nitatoa mfano:
kang ha neul ameshinda tuzo ya best actor kupitia hiyo drama, kwa nini gong hyo jin asishinde tuzo ya best actress haliyakuwa yeye ndiye muhusika mkuu aliyezungumzwa zaidi ndani ya hiyo drama (single mother camellia na mgahawa wake)?

best drama ni stove league lakini namgoog min hajapewa tuzo hata ya best actor

best actress:
wameamua kumpa tuzo mwanamama kim hee ae kupitia drama ya the world of the married couple, si kwamba hastahili lakini ninavyojiaminisha kiupande wangu angelistahili zaidi tuzo hiyo kama wangeliamua kuipa tuzo ya grand prize project yake (the world of the married).

by the way, wameshindwa vipi kuwapa heshima wanadada wote wawili kwa kuwapa tuzo ya best actress, sidhani kama ni jambo geni kupata washindi wawili kwenye category moja hususani kwenye sanaa ya wakorea.

grand prize ni tuzo kubwa zaidi
Tumewaza Pamoja.

Baada ya Kuona Wamempa Ha Neul Best Actor Nikasema Hata Best Director Angetoka Kwenye Drama Hii Na Ata Best Drama Ingechukua.

Kama Ulivyoandika Itakua Wamefanya Ivyo Ili Kutowavunja Moyo.
 
Back
Top Bottom