Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Tangia naanza kuangalia K-dramaz hizi ndizo nimebahatka kuzioma...
-JUMONG
-EMPEROR OF THE SEA
-THE LAND OF WIND
-THE SLAVE HUNTERS
-EMPRESS KI
-GU FAMILY BOOK
-JOSEON GUNMAN
-KIM SOO ROO
-SWALLOW THE SUN
-GIANT
-49 DAYS
-INSPIRING GENERATION
-BRIDAL MASK
-GHOST
-GOLDEN CROSS
-TEMPTATION OF AN ANGEL
-HEARTLESS CITY
-BOYS OVER FLOWER
-PERSONAL TEST
-FAITH
-TRIANGLE
-ARROW ON THE BOW STRING
-A MAN CALLED GOD
-PAINTER OF WIND
-CITY HUNTER
-..........

nyingine nimezisahau.....
Na sasa naangalia The night Watchman....

Em taja ulizoziona na ww....
 
Tangia naanza kuangalia K-dramaz hizi ndizo nimebahatka kuzioma...
-JUMONG
-EMPEROR OF THE SEA
-THE LAND OF WIND
-THE SLAVE HUNTERS
-EMPRESS KI
-GU FAMILY BOOK
-JOSEON GUNMAN
-KIM SOO ROO
-SWALLOW THE SUN
-GIANT
-49 DAYS
-INSPIRING GENERATION
-BRIDAL MASK
-GHOST
-GOLDEN CROSS
-TEMPTATION OF AN ANGEL
-HEARTLESS CITY
-BOYS OVER FLOWER
-PERSONAL TEST
-FAITH
-TRIANGLE
-ARROW ON THE BOW STRING
-A MAN CALLED GOD
-PAINTER OF WIND
-CITY HUNTER
-..........
nyingine nimezisahau.....
Na sasa naangalia The night Watchman....
Em taja ulizoziona na ww....
tafuta the masters sun na yenyewe iko vizuri bila kusahau the heirs
 
Tangia naanza kuangalia K-dramaz hizi ndizo nimebahatka kuzioma...
-JUMONG
-EMPEROR OF THE SEA
-THE LAND OF WIND
-THE SLAVE HUNTERS
-EMPRESS KI
-GU FAMILY BOOK
-JOSEON GUNMAN
-KIM SOO ROO
-SWALLOW THE SUN
-GIANT
-49 DAYS
-INSPIRING GENERATION
-BRIDAL MASK
-GHOST
-GOLDEN CROSS
-TEMPTATION OF AN ANGEL
-HEARTLESS CITY
-BOYS OVER FLOWER
-PERSONAL TEST
-FAITH
-TRIANGLE
-ARROW ON THE BOW STRING
-A MAN CALLED GOD
-PAINTER OF WIND
-CITY HUNTER
-..........

nyingine nimezisahau.....
Na sasa naangalia The night Watchman....

Em taja ulizoziona na ww....

Nimepata bahati ya kuziona
Jumong
Emperor of the sea
A man called God
Crime squad
Lobbyist
Giant
East of eden
Iljimae
Return of iljimae
Warriors baek dong soo
Bridal mask
Bad guy
Fugitive plan B
Gu family book
Iris
Queen of ambition
Swallow the sun
My girl friend is gummiho
City hunter
Faith
Doctor stranger
Nyengine nimezisahau mkuu

Upande wa movie zao nimeziona 2 tu
I saw the devil
Art of seduce
 
mi nmeona
cofee prnce
the heir
my gf is gumiho
i miss you
gentlemans dignty
my lov from the star
......kiss
boys b4 flowers
personal taste na nyngne nyng mnooo bcoz wana lov story nzur mnoo
 
Wadau kama kuna mtu anafahamu websites nzuri za kudownload hizi series aweke hapa jukwaa. Kama itakuwa na sifa zifuatazo itakuwa poa sana
1.full episodes download with english subtitles, kuna nyingine zinakuwa na parts sio nzuri zinachelewesha
2.Free download, no payment or registration requirements
Mimi naifahamu moja yenye sifa hizo nayo ni DramaFire.com | Free Korean Drama and Asian Shows with English Subtitles
 
Wadau kama kuna mtu anafahamu websites nzuri za kudownload hizi series aweke hapa jukwaa. Kama itakuwa na sifa zifuatazo itakuwa poa sana
1.full episodes download with english subtitles, kuna nyingine zinakuwa na parts sio nzuri zinachelewesha
2.Free download, no payment or registration requirements
Mimi naifahamu moja yenye sifa hizo nayo ni DramaFire.com | Free Korean Drama and Asian Shows with English Subtitles


hiyo hapo na yenyewe iko vizuri japokuwa haina drama nyingi

http://sensen.tv/
 
Nimepata bahati ya kuziona
Jumong
Emperor of the sea
A man called God
Crime squad
Lobbyist
Giant
East of eden
Iljimae
Return of iljimae
Warriors baek dong soo
Bridal mask
Bad guy
Fugitive plan B
Gu family book
Iris
Queen of ambition
Swallow the sun
My girl friend is gummiho
City hunter
Faith
Doctor stranger
Nyengine nimezisahau mkuu

Upande wa movie zao nimeziona 2 tu
I saw the devil
Art of seduce

Uko vizuri dogo ila nimekuzidi maana nimeangalia nyingi hadi sizikumbuki vizuri majina.
Ila umepotea sana Abou Saydou
 
Last edited by a moderator:
Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas....karibu katika thread hii....tupate ku share....kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.

TUAMBIANE:
-Ipi ni drama yako bora ya kila wakat kwako....

-Ni ya aina gan(wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')

-Nini kinakuvutia sana katka Hyo Drama...

PIA:
-Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wakike na baadhi ya drama alizoigiza.

-Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako.

-Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona.

-Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakat mgumu kuipata....(unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)

PIA TUMIA THREAD HII KUFAHAMISHANA KUHUSU DRAMA MPYA ZILIZOTOKA AU UNAYOHISI NI NZURI ILA HAIJAPATA UMAARUFU SANA!!

Karibu Tujumuike!
SARAGHAE!! KUMOOYO!!

Mimi ni mpenzi wa Korean drama sana, zaidi ya sana.
Haya ngoja nikujibu kama ifuatavyo..
1.Drama yangu bora ya kila wakati ni Jumong.
2.Ni ya kijijini
3.Kilichonivutia ni jinsi wahusika walivyoweza kuuvaa uhusika wao kisawasawa hadi wakaniteka kimawazo nikasahau kwamba wanaigiza nikadhani ni tukio la kweli.Nilihuzunika sana baba yake Jumong (Haemossou) alivyouawa na wafuasi wa Daeso hadi nililia kiukweli.

Msanii wangu bora wa kiume ni Il Guk Sung (Jumong) na wa kike ni Deokman

Sexiest actor ni Lee Min Ho (city hunter mtoto,au Gun Pyo)
Sexiest actress ni Myung Wol the Spy (nimelisahau jina lake)

Drama ya kwanza ni Jumong.

Drama ninayoitafuta sana ni personal taste aliyoicheza Lee Min Ho.Nimeitafuta sana hadi nakaribia kukata tamaa.
 
Back
Top Bottom