Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Frozen Flower,

Yani mpaka leo sijaelewa ilikuaje Wakorea wakaigiza hiyo series na ikakubaliwa,

Wakati kuna series waliicancel na ilikua ya wanawake.
Mkuu mi mwenyewe nilibaki nimeduwaa,Mpaka leo sielewi waliiruhusu vipi harafu ipo tu unaipata kiurahisi kabisaa,lakini nasikia yule dada kalipwa pesa nyingi sana kucheza zile sehemu.
 
Mkuu nichek 0787489392 tubadilishane madin kama hautakuwa nayo niliyonayo hapo chn
 

Attachments

  • 1477674587067.jpg
    38.5 KB · Views: 67
  • 1477674618054.jpg
    39.9 KB · Views: 70
Mkuu nichek 0787489392 tubadilishane madin kama hautakuwa nayo hapo chn
 
song il gook haihitaji drama nyingi kujua kama jamaa ni fundi chek emperor of the sea,jumong utaelewa namaanisha nini ila huyu bwana mdogo choi soo jang inahitaji mpenzi wa drama na kumuangalia kwa muda mrefu ili kujua kujua ukali wake. ata hyo martial arts mnayo yazungumzia ukiangalia mapigano ya song il gook katika jumong na emperor of the sea alipoigiza kama pirates utakubali show zake. ukiachana na uhandsome general appearance ya choi soo jang ni mtu mmoja wa kawaida ambae anafanya uigizaji ila kwa song il gook mim naamin ni uwezo wake bnafsi wa maisha yake halisi wa kila siku. kwa sis wapenzi wa korea drama za kijijin zenye fighting za kutosha song il gook katuanguasha ila ukitoka mzigo wake lazima ukae. thats why watu tunafanya kuziludia emperor of the sea, kingdom of wind na jumong ili tu kama mmenielewa lakin
 
mungu wa korean drama anakuona kwa kutuongopea sifikirii kama umeangalia angalau thuluthi ya korean drama
Nitajie ambayo unahisi sijaona? Nikupe mbinu ya kuzimaliza! Nenda kwa dramafire.com wao wamezipost kuanzia herufi A mpaka Z hivyo anza kuangalia kwa kuanzia herufu A within a year utamaliza mbona! Sasa mimi nimeanza ziangalia 2013 mpk leo unadhan nimefikia wap? Na mimi huu ndo ulev wangu! Muda wote naokuwa free kazi yangu ni drama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…