Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Na huku kwa eunseom mambo yanapamba moto. Hii drama sijui kwanini wengine hawajaielewa wakati ni moto wa kuotea mbali. Ya 17 tagon ndio atajitangaza king naona
Eti jamani
Mimi ilivyotoka hi season 3 ndo nikaanza lakini Natamani isiishie 18. Na hii ingeenda Hadi Mia mi ningekomaa nayo maana mpaka naiota dah
 
Huku General Wang Gun ameshakuwa tishio 90/200.
Drama ya The book of collection
nipo epi 21/50. Kaibuka muhuni anaitwa
Yin Sun sin( Admiral Yi)
Screenshot_20190922-123233.png

Nimemshuhudia kwenye Vita ya Okpo He's really phantom of the Ocean
wacha tuendelee ndo kwanza kaibuka.

Kwako Daemusin
 
Hi guys
I'm exhausted!
Hapa nilipo nimeangalia mamuvi ya kizungu mengiii adi nikakifiwa nikahamia kwenye Animations nazo nimeangalia nyingi zile nilizopanga nitizame namaliza wiki hii ya kesho.

Sasa sitaki tena muvi wala animation yoyote kutoka Hollywood..nahamia Korea.
Nataka mnipatie series zenye kusisimua hasa.. ziwe za mapenzi,Intelligence,Historical,Comedy,family etc.. ila ziwe nzuri kweli kweli.

NB. Siangalii muvi online wala kupakua kwenye simu (Hua nanunua).. so jitahidini mniambie series kali haswa sio nitoe pesa afu nianze kujutia pesa angu.

Thanks
 
1.Sky castle.
2. The K2
3. Waikiki
4. Athenna
5. Oh my Venus
6. A man from another star.
7. 3 Days.
8. The heirs
9. Moon lovers.
 
1.Sky castle.
2. The K2
3. Waikiki
4. Athenna
5. Oh my Venus
6. A man from another star.
7. 3 Days.
8. The heirs
9. Moon lovers.
10. The moon embracing the sun
11. Goblin
12. Healer
13. Fated to love you
14. Bridal mask
15. Slave hunters
16. Shine or go crazy
17. Rooftop prince
18. Angry mom
19. Faith
20. Legend of the blue sea
21. Empress Ki
22. Secret garden
23. Worrier baek dong soo
24. Suspicious partner
25. Iljimae
 
Hizi zote nineziona...
Ongeza listi nyingine
Uko vizuri

You are my destiny
Innocent Man
Sungkyukwan scandal
Something in the rain
One spring night
Personal taste
I hear your voice
Its okay that's love
That winter the wind blows
Encounter
Love in the moonlight
Secretary kim
Dong yi
My daughter is gumiho
Big
Giant
She was pretty
Kill me heal me
Secret
Arang and the magistrate
Gu family book
Scholar who walks the night
Gunman in joseon
Diary of a night watchman

Hapo unakuta zote umeona
 
Wapenzi wa arthdal chronicles wakorea walichotufanyia sijapenda kabisa
Ipoje mkuu? kuna mtu ananishawishi sn niangalie, last drama kuangalia ilkua last empress' sikuvutiwa nayo kabsa

huwa napenda historical dramas nlzozchek nkazielewa ni Jumong,Iljimae,six fly dragon,hwajung na ya town niliielewa city hunter tu, nw npo na doctor prisoner

ktu kbaya kuhusu korea drama zna addiction, zile ost zake na ile lugha itakufanya kutotaman kuangalia movies au series zngne
 
Back
Top Bottom