M Z A N Z I B A R I
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 21,699
- 117,148
hivi comment yangu niliandika upumbavu iyo siku?Hahahaha! Wote Itakua Nimabaharia!
Kumbe Unapitaga Uko, Kuna Siku nilikua Napitia Uzi Mmoja Ivyi Nikaona Comment Yako Nilibaki Kucheka Tu.
Mpindue tu.kama nitakavyompindua mimi huyo niliemuota ndoto yangu ya asubuhi
Itabidi Maana Si Uchu Huu Wa Kuijua Ndoto.itabidi tukamfukue sheikh yahya atupe tafsiri sahihi ya ndoto.
anatokea familia ya mboga 1000.Mpindue tu.
Mpindue tu.anatokea familia ya mboga 1000.
pia nimpindue?
Wala Yakawaida tu lkn siunajua Maneno Yako.hivi comment yangu niliandika upumbavu iyo siku?
hahahahaaaaaa
usinione nipo kimya bado nafikiria cha kukujibu na huenda jibu langu kwa njia ya maandishi likachukua muda mrefuMpindue tu.
Hmm! Haya Nasubili Hayo Maandishiusinione nipo kimya bado nafikiria cha kukujibu na huenda jibu langu kwa njia ya maandishi likachukua muda mrefu
ngoja nianze na jibu hili kwanza then pengine mwaka ujao inshaallah nitawasilisha jibu la maandishi rasmi
ndoto imenifanya nikumbuke ujinga wa kuchelewa kwangu mpaka eunseom amekuja kuniibia.
kumbe anayeotwa alikwisha nifungulia milango zamani ila sikuwa nafahamu hilo.
anyeong
naombeni msaada jamani mwenzenu nijue nikitaka download hizi drama kwa urahisi nafanyajeHmm! Haya Nasubili Hayo Maandishi
Tumia uc browserKWA WANAOJUA JINSI YA KUDOWNLOAD KOREAN DRAMA JAMANI NAOMBA ANIEFUNDISHE
Asante Numbisa nipo naugulia maumivu ya bando langu,maana sikujua kama ingekua simple kiasi hiki.Tumia uc browser
Ingia google andika daebakdrama.com ingia humo tafuta movie uitakayo click utaona maneno click download fata hatua utaweza
Ukiikosa drama uitakayo humo ingia kissassian au dramanice search drama kisha click download chagua rapidvideo utadownload vizuri
Katka kuangalia season kwang sijawah kuona season kali kama hyo, na nmehangaika sana kutafuta zaid ya hyo mpaka sasa ni sawa na chinese drama season kali kama God of war.Kama umeiona series ya six flying dragons nielezee kidogo
Nielezee kidogo hiyo six flying dragons inahusu nini?Katka kuangalia season kwang sijawah kuona season kali kama hyo, na nmehangaika sana kutafuta zaid ya hyo mpaka sasa ni sawa na chinese drama season kali kama God of war.
Asante Numbisa nipo naugulia maumivu ya bando langu,maana sikujua kama ingekua simple kiasi hiki.
Nawaza pa kupata external kubwa hapa maana usiku wa leo TOBOA NIGHT nitalitumia ipasavyo..
ππππ
Toboa ni TTCL hao wanakupa GB 10 kwa 1000 kuanzia saa tano usiku..Nice pia kuna dramacool9.co hata mie nilishawahi kupoteza bando pale dramania ilipogoma na harakati za kutafuta mbadala wake.
Hio toboa night ni ofa ya mtandao gani?
Halotel 1500 GB 10 kuanzia 0000hrsToboa ni TTCL hao wanakupa GB 10 kwa 1000 kuanzia saa tano usiku..
watanikoma yani