Kwa maana kwamba imeshindikana kupata link?Nunua cd/dvd
ππππKwa maana kwamba imeshindikana kupata link?
Korean wakishailisha maneno ya kiswahili kwangu ni sawa na supu iliyotiwa Nazi!!
Ndio
Wazee,
Kuna Muvi kali kama IRIS au design na hiyo?
Napendaga actio, thriller and crime movie au za kintelijensi...
Nisaidien
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi kama Raia wa Gogryeo niliyezaliwa Yodongsong tunajivunia Emperor wetu wa kwanza Dam doek.hili neno akulaani lina maana gani huko upande wa pili?
kwetu sisi maana yake ni pesa au utajiri.
kama maandishi yangu yalivuka mipaka nakuomba radhi ila na wewe unadhani huyu Khantwe anaweza kuangalia drama yenye episode 60 bila ya kuiba mchumba?
ngoja tumuulize amefika episode ya ngapi tokea aweke nia ya kutaka kuifuatilia queen seondeok.
umemuonaje mfalme gwanggaeto?
ahsante Mungu kwa kumuondoa go damdeok duniani akiwa bado na umri wa miaka 38, kwa balaa alilokuwa nalo kama angelifikisha miaka 60 huenda angelitembeza kipigo mpaka huku kwetu kwa waarabu koko.
pengine leo hii damushin angelikuwa ni uzao wa general komu wa goguryeo.
Daahhh Lee Bang Jee wa kwenye Six Flying Dragon ni hatari but Bidam wa kwenye Queen Sendeok ni hatari pia hatarTumalize Utata Bidam rang Vs Dang sae(Lee bang ji)
Gukseon Muno vs Chuk sagwa
Chilsuk vs Giltae mi
nipe mshindi hapo.
'Jukbang' Huyo Mzee Namkubali Sana. Anafahamika Kama Lee Moon-Sik. Ameigiza Pia Drama Kama Vile Empress Ki, Rooftop Prince. Kwa Vichekesho Vyake HuweziChoka Kumtizama!Jamani jamani Khantwe achana na Bidam
Wewe chagua kati ya Archeon au Kim Yushin
Japo Bidam alinikera sana kwa kukosa imani juu ya Deokman iliyopelekea adanganywe kirahisi ila bado ni my favorite ktk hii series pendwa.
Ila Mishil kiboko jamani, halafu kazuriiiiii na ana akiliiii dah. Sio kwa kuichanganya kule mibaba, alijua kuutumia uzuri wake haswaaa.
Mimi yule kaka yake mjingamjinga ananiachaga hoi
Hakuna drama ambayo nimewahi kuvunjika mbavu kama hii kwenye scene za comedy
Jukbang na Godo niliwapenda sana.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwa Kipindi Cha Goguryeo, Mfalme Bora Wa Kipindi Hicho Anaweza Kuwa Ni Gwanggaeto Ukimtoa Jumong Ambaye Ndiye Baba Wa Taifa Hilo. Lakini Ukija Kipindi Cha Joseon, Sejong The Great Anasimama Kama Mfalme Bora Zaidi Wa Muda Wote Katika Joseon Dynasty!yes upo sahihi, mwili wa lee tae gon ulikuwa ni zawadi tosha ya kumfanya aweze kuutendea haki uhusika wa mfalme gwanggaeto.
ukiniuliza ni muigizaji gani aliyenivutia mule ndani basi jibu langu ni kim jung hwa.
drama ilikuwa na episode takribani 90 lakini cha kushangaza tumeonyeshwa upande mmoja tu wa maisha ya damdeok akiwa kama ni mtawala wa goguryeo nao ni upande wa harakati zake za kuitanua kingdom yake mpaka kuwa empereror.
je raia wa goguryeo walifaidika vipi na kampeni zake za vita zisizokwisha?
kama tunavyofahamu unaweza ukawa na himaya kubwa kama ilivyo Tanzania lakini raia wako wakakosa huduma muhimu za kila siku, cha ajabu sijawahi kukutana na historia ya gwanggaeto inayoangazia hali halisi ya maisha kwa raia wake, vita inataka
maandalizi ya ya chakula na mtoaji chakula cha jeshi ni raia wa kawaida kwa sababu ndiye mlimaji mkuu kwa msaada wa land owner.
utawala wake wa ndani ulikuwaje kwa wale ambao walikuwa na mawazo tofauti na yakwake?
ndio maana kiupande wangu SEJONG anabaki kuwa mfalme bora kwa sababu utawala wake ulielemea pande zote.
kwa mara ya kwanza nimeamua nijinukuu mwenyewe ili kurudisha kumbukumbu ya maneno niliyoyazungumza siku ya February 19 kwa saa za kitanzania ambayo ilikuwa ni sawa na february 20 kwa saa za korea.mukinichagua niwe balozi wa nyumba 10 wa korean drama club nitawaleteeni BTS uwanja wa CCM kirumba
BTS wanakwenda kuushangaza ulimwengu na vilivyomo ndani yake.
BTS watasababisha show iwe repeatition kwa wale watakaokosa tiketi,naamini siku ya kwanza ya mauzo ya tiketi zitamalizwa zote
muda huu kwenye mitandao stori kubwa ni BTS.
zamani nilikuwa ni mpenzi mkubwa sana wa martial arts kiasi ambacho nilifika hatua ya kuacha kuangalia drama za mjini hususani zile zenye maudhui ya rom- comedy.Tumalize Utata Bidam rang Vs Dang sae(Lee bang ji)
Gukseon Muno vs Chuk sagwa
Chilsuk vs Giltae mi
nipe mshindi hapo.
niwe mkweli kama watatafutwa wanadamu 100 wasiopenda kutafuta maarifa kupitia fasihi ya uandishi basi nitashika nafasi ya pili kutoka juu,na uvivu wangu katika kufuatilia kwangu kote historia ya maisha ya mfalme gwanggaeto nimejifunza ya kwamba maisha yake yameelezewa zaidi upande mmoja tu ambao ni wa kampeni zake za kijeshi.Kwa Kipindi Cha Goguryeo, Mfalme Bora Wa Kipindi Hicho Anaweza Kuwa Ni Gwanggaeto Ukimtoa Jumong Ambaye Ndiye Baba Wa Taifa Hilo. Lakini Ukija Kipindi Cha Joseon, Sejong The Great Anasimama Kama Mfalme Bora Zaidi Wa Muda Wote Katika Joseon Dynasty!
Wakati ni mjenzi bora wa Mabadiliko kuanzia kwa binadamu mpka mazingira yanayowazungua watu hao, ndiyo maana katika evolution of man, Nyani walikuwa wanatumia miguu minne na walipata chakula kupitia miti, Lakini kutokana na Mabadiliko ya Nyakati Nyani walilazimika kubadili mtindo wao wa maisha kwani mazingira yao yaliwataka wawe hivyo sababu wakati ulibadilisha Climate kutoka Equatorial to Savana Glass land maana yake miti ili anza kuwa adhimu hivyo walilazimika kusimama ili wapate riziki. Kama ungalienda mwanzoni ukawauliza nyani kama wanapenda kusimama na kutembea kwa miguu miwili ili wapate riziki bila shaka jibu lao lingekuwa hapana.niwe mkweli kama watatafutwa wanadamu 100 wasiopenda kutafuta maarifa kupitia fasihi ya uandishi basi nitashika nafasi ya pili kutoka juu,na uvivu wangu katika kufuatilia kwangu kote historia ya maisha ya mfalme gwanggaeto nimejifunza ya kwamba maisha yake yameelezewa zaidi upande mmoja tu ambao ni wa kampeni zake za kijeshi.
kwa mukhtadha huu nitaendelea kuamini ya kwamba ubora wa gwanggaeto unapimwa zaidi na mafanikio yake ya kijeshi kuliko siasa yake ya ndani ukilinganisha na mfalme sejong licha ya kwamba watu hawa wawili wametawala karne tofauti.
- kama gwanggaetto alikuwa ni kiongozi bora wa kupigiwa mfano mbona historia yake haituonyeshi harakati zake za siasa ya ndani ya nchi kama sejong?
- ukiondoa upanuzi wa kingdom yake mpaka kuwa emperor ni mafanikio yepi mengine ya kukumbukwa aliyoyakamilisha nyakati za utawala wake ambayo wewe umebahatika kujifunza?
- historia ya mfalme sejong ipo wazi kuanzia harakati zake za kuhakikisha nchi yake inaongozwa kidemokrasia mpaka kampeni zake za kijeshi dhidi ya japan, sasa kwa nini upande wa gwanggaeto historia yake haionyeshi harakati hizo?
kwa dunia hii ya sasa hivi kama atawekwa sejong na gwanggaeto utamchagua kiongozi yupi?
- chini ya sejong joseon kwa mara ya kwanza walitumia kalenda yao
- aliwapa nafasi watu wenye vipaji haijalishi ni watumwa, mfano jang young sil, combination ya sejong na genius jang young sil waliifanya joseon iwe nchi imara kwa kila nyanja.
- chini ya sejong joseon aliweza kupromoted research za kiuchumi, sayansi, astronomy, musical nakadhalika
- chini ya sejong joseon waliweza kuwa na ramani yenye kuonyesha mipaka ya nchi
- chini ya sejong joseon walifanikiwa kutengeneza ala za muziki na hatimaye joseon kuwa na muziki wao kwa msaada wa scholar park na jang youngsil
- ugunduzi wa lugha ya kikorea licha ya wapinzani wake kumpinga hadharani lakini alijibizana nao kwa hoja.
- tanzania tulishangaa mwalimu nyerere kwa matendo yake ya kuweka mijadala huru na baadhi wapinzani wa sera zake, sejong alifanya hayo mnamo karne ya 14, alikuwa na uwezo wa kuwachinja wapinzani wake kama alivyofanya baba yake lakini aliona nchi inapaswa iongozwe huku pakiwepo haki ya kutoa mawazo na kuwepo kiunganishi kati ya kiongozi na watumishi. alifikia kumpa nafasi hwang hui awe waziri mkuu wake licha ya kuwa mwanzoni jamaa alikuwa anamuunga mkono kaka yake arithi madaraka.
kwa ardhi ya goguryeo ilivyokuwa ni ya milima naamini kampeni za kijeshi za mara kwa mara hazikuwafurahisha wananchi wa goguryeo ila hawakuwa la kufanya.