Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.

Tuambiane;

- Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?

- Ni ya aina gani? (Wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')

-Nini kinakuvutia sana katika hiyo Drama?

Pia:

- Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wa kike na baadhi ya drama alizoigiza?

- Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako?

- Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona?

- Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakati mgumu kuipata? (Unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)

*Pia tumia thread hii kufahamishana kuhusu drama mpya zilizotoka au unayohisi ni nzuri ila haijapata umaarufu sana!!

Karibu tujumuike! Saraghae! Kumooyo!!

=========

Baadhi ya Links za Dramas mbali mbali za Korea...;

Be Strong Geum Soon

Princess Ja Myung Go

THREE DAYS (2014)

Swallow the Sun

Jumong

King Guenchoggo

=====

Links za ku-download drama za Kikorea;

- Watch Drama Online | Korean Drama | Japanese Drama | Taiwanese Drama | Hong Kong Drama | Chinese Drama
- GoodDrama.Net

======

Updated: Kwa mjadala na kubadilishana uzoefu kuhusu series za jumla za movies mbalimbali, za zamani na mpya, Unaweza pia kufuatilia UZI HUU hapa Series (Special thread)
..

Kazi kwako.. Enjoy!
aisee hujaiweka empress chinchun.........

hujaweka dong yi..........

hakuna movies zinatumia akili kama hizo!
 
No mwendo wa CD/DVD tu. Ukitaka ya kudownload utaangaika sana bill ya mafanikio.
Mmoja kati ya wahusika ktk series hi ninayemkubali ni mkuu wa ngome ya Ansiseong general yang manchun.

1542904112772.png

GENERAL YANG MANCHUN
shujaa wa ansiseong aliyekuwa na tamaa ndogo mno ya madaraka nyakati zileeeee za goguryeo kingdom.
kuna sehemu fulani niliwahi kusoma inasemekana kipindi general yeon gaesomun anafanya mapinduzi ya kumuondoa mfalme wa 27 wa goguryeo na baadae kumweka mfalme bojang huku yeye akijipa cheo cha kiongozi mwenye mamlaka makubwa ya nchi zaidi ya mfalme alijikuta akitofautiana kimawazo na yang manchun.

yang manchun hakufarahishwa na kitendo alichokifanya general yeon gaesomun na hata yeon na yeye hakufarahishwa na kitendo cha yang manchun kukataa kutoa ushirikiano kwenye mapinduzi, hivyo basi mashujaa hao wawili wakawa hawana mahusiano mazuri. stori zinadai yeon gae somun mara nyingi alitamani kumvunja nguvu yang manchun lakini alishindwa jaribio lake na mwisho wa siku yeon gae somun akaona solution ni kuendelea kumwacha yang manchun aendelee kuwa bwana ngome za liaodong ili kuepusha vita ya wenyewe kwa wenyewe ambayo ingelizidi kuiathiri goguryeo dhidi ya kampeni ya kujilinda na Tang China na Shilla.

kuna movie wameitengeneza korea mwaka huu inaitwa the great battle au Ansi Fortress na inajaribu kuzungumzia vita iliyodumu kwa takribani siku 88 kati ya goguryeo na Tang kwenye ngome zile za Ansi zilizokuwa zikiongozwa na Yang Manchun mwaka 645.

jo/ zo in sung = yang manchun general
nam joo hyuk = sa mool​

kwa sisi parasites acha tuendelee kungojea mpaka iwekwe kwenye free websites.
  • The Great Battle” Becomes 2nd Most-Watched Korean Film Of 2018 In Less Than A Month
  • On October 6, the film hit 5 million moviegoers in just 18 days since its premiere on September 19
1542903486935.png
 
wahudumu wa humu ndani naomba munitayarishie chupa 50 za soju tafadhali, nataka nilewe mpaka nitapike korosho za bwana amunike wa lesotho.
halafu pia naomba mara hii munichagulie nyinyi wadau drama za kuangalia hata kama ziwe zimeshapita na wakati, ni matumaini yangu sitakutana na balaa nililolishuhudia kwenye thread ya wapenzi wa series.
heheheheheeeeee niliomba websites ya kuangalia series mpaka leo ni mwezi wa pili sijapatiwa mpaka nikaingia mzigoni mwenyewe.
mhhhhhhhh kweli binadamu tunatofautiana.
wala musiogope jamani hakuna mtu aliyeangalia drama nzuri zote za wakorea.
acha leo nifunguke kabla ulevi haujatoka, niwe mkweli sijawahi kuziangalia drama zifuatazo japokuwa zinasifiwa na kila mdau
  • dong yi : hahahahahahaaaa munajuwa kwa nini sikuchangia comment zilizokuwa zinaisifia hii drama zikiongozwa na huyu ahjumma mtarajiwa miaka 30 ijayo XYZ,ni kwa sababu sikumbuki hata kama nilifika episode ya 5 ndio maana nikaufyata kimya.
  • jewel in the palace : hii hata siifahamu hata inavyoanza, kwani hizi drama tunajibia mtihani?
  • drama zote za ji sung ukiondoa the innocent defendant.
  • drama zote za ji chang wook ukiondoa K2.
kama mutashindwa ni bora niende kwa mchungaji au shekhe aniombee nipumzike kuangalia drama japo kwa wiki mbili (shetani wangu wa likizo amerudi tena).
namimi nahitaji kuona raha ya kujisikia kama anavyojisikia bibi yenu mtarajiwa.
  1. terius behind me drama = imeshamaliza
  2. the beauty inside drama = imeshamaliza
  3. room no 9 = itamaliza jumapili.
  4. where star land = huenda ikamaliza jumatatu
  5. bad papa = huenda ikamaliza jumanne.
kama mutashindwa kuniwekea japo drama 15 kwa kila mtu ili nichague nitahama mtaa wenu.
povu naruhusu siku ya leo.
ujumbe wa leo
Damushin hajawahi kuwa serious
 
View attachment 942899

Bogoshipseyo
 
  • dong yi : hahahahahahaaaa munajuwa kwa nini sikuchangia comment zilizokuwa zinaisifia hii drama zikiongozwa na huyu ahjumma mtarajiwa miaka 30 ijayo Nifah ,ni kwa sababu sikumbuki hata kama nilifika episode ya 5 ndio maana nikaufyata.
  • jewel in the palace : hii hata siifahamu hata inavyoanza, kwani hizi drama tunajibia mtihani?
  • drama zote za ji sung ukiondoa the innocent defendant.
  • drama zote za ji chang wook ukiondoa K2.
kama mutashindwa ni bora niende kwa mchungaji au shekhe aniombee nipumzike kuangalia drama japo kwa wiki mbili (shetani wangu wa likizo amerudi tena).
namimi nahitaji kuona raha ya kujisikia kama anavyojisikia bibi yenu mtarajiwa.
  1. terius behind me drama = imeshamaliza
  2. the beauty inside drama = imeshamaliza
  3. room no 9 = itamaliza jumapili.
  4. where star land = huenda ikamaliza jumatatu
  5. bad papa = huenda ikamaliza jumanne.
kama mutashindwa kuniwekea japo drama 15 kwa kila mtu ili nichague nitahama mtaa wenu.
povu naruhusu siku ya leo.
ujumbe wa leo
Damushin hajawahi kuwa serious
Love kim bon, go are rin, joon-joon twin = terius behind me drama.

Kipindi Kile Naanza Angalia Dong Yi Nakumbuka Nilikuambia Na Majibu Yako Yalikuwa Kuwa ''Inaeile Stori Ya Taratibu Sana Ila Nzuri'' Nakumbuka Ulinijibu Hivyi, Kumbe Ulikuwa Unachagizaa tuu! Muone Vile
 
Seoul 1945
heheheheheheeeeee naona umeamua rasmi kuanzisha zoezi.
seoul 1945 nilifika episode ya 5 nikashuhudia kifo cha msichana mdogo park shin hye kipindi hicho, lakini website ilikuwa inazingua.
hapa nilipo pana free internet ngoja niendeleze japo episode 5 nyengine kama itawezekana.
hii drama nilidhamiria niiangalie yote ili nifahamu kiundani zaidi kilichopelekea vita ya wenyewe kwa wenyewe nchini korea.
jamani wajapani walikuwa ni watemi sana.
halafu umenifanya niikumbuke drama inayoitwa comrades itanibidi niitafute muda huu nayo inazungumzia vita ya korea.
ahsante brother kwa kuanzisha zoezi yeyote atakayeshindwa kuendeleza zoezi atakutana na ignore.

shetani wangu leo ameniambia ili niweze kuacha kuangalia drama itanibidi kwanza nibonyeze kitufe cha ignore member humu ndani.
sijui hili zoezi nilianze muda gani.
:mad::mad::p:cool:;):):eek:
utani wenye ukweli ndani yake.
 
Kipindi Kile Naanza Angalia Dong Yi Nakumbuka Nilikuambia Na Majibu Yako Yalikuwa Kuwa ''Inaeile Stori Ya Taratibu Sana Ila Nzuri'' Nakumbuka Ulinijibu Hivyi, Kumbe Ulikuwa Unachagizaa tuu! Muone Vile
sikutaka kukuvunja moyo wako my friend.
kwani dong yi na kaka yake wanakuwa wakubwa episode ya ngapi kama una kumbu kumbu?
kwa sababu nakumbuka niliachana nayo wameshakuwa wakubwa.
 
THE LAST EMPRESS
kuna yeyote humu ndani aliyebahatika kuiangalia hii drama ambayo imeanza jumatano kupitia shirika la SBS?
jang nara pamoja na choi jin hyuk sunbaenim wamekutana tena kwa mara nyengine baada ya fated to love you drama.

kwa kiswahili changu ni kwamba hii drama inajaribu kuonesha maisha ya kisasa nchini korea lakini mfumo wa uongozi wa nchi hiyo ni wa kifalme kama ilivyokuwa nyakati za joseon (constitutional monarchy)
kuna musical actress ambaye jina lake ni min yoo ra ambaye baadae anakuwa ni mke wa mfalme lee hyuk. Maisha yake ndani ya familia ya kifalme yanakuja kuwa ndivyo sivyo baada ya kushutumiwa kuhusika na mauaji ya queen dowager.
je ni kipi kitatokezea ndani a familia hiyo kiukweli binafsi sifahamu ila nimeanza kuona dalili ya love triangle na mapemaaaa.

wang shik (choi jin hyuk) anaelekea kupokonywa tonge mdomoni na mfalme lee hyuk episode mbili za mwanzoni na huko mbeleni baada ya wang shik kufanyiwa mabadiliko ya sura nimeota atakuja kumchukua mke wa mfalme ambaye atakuwa ni jang nara.

mfalme atachukua maamuzi gani atakapogundua mke wake anatembea na mlinzi wake?
wang shik atalipiza kisasi baada ya kuuliwa mama yake mzazi na mfalme kwa ajali ya gari?

je yule binti aliyeamua kuvunja mahusiano na wang shik atajisikiaje pindi atakapogundua jamaa kabadilisha sura na amekuja kulipa kisasi kisiri ndani ya royal family
wenyewe wanadai anayechinja kwa upanga basi na yeye atakufa kwa upanga.
1542991065390.png

  1. Watch The Last Empress Episode 1 online at Dramanice
  2. Watch The Last Empress Episode 2 online at Dramanice
 
View attachment 944105
  1. Watch The Last Empress Episode 1 online at Dramanice
  2. Watch The Last Empress Episode 2 online at Dramanice
Nilitka Angalia Ila nilikuwa Nasubiri Kauli Yako.
 
Weekend nipo na:-

Time

Where stars land

Your house helper

Heart surgeons

Weekend ijayo

The beauty inside

Familiar wife

The third charm

The player

Oooh nikimaliza hizi ntaongeza list ila najua ushamaliza zote hizi. Nishtue ipi hapo haifai nisije unguza MB bure
wahudumu wa humu ndani naomba munitayarishie chupa 50 za soju tafadhali, nataka nilewe mpaka nitapike korosho za bwana amunike wa lesotho.
halafu pia naomba mara hii munichagulie nyinyi wadau drama za kuangalia hata kama ziwe zimeshapita na wakati, ni matumaini yangu sitakutana na balaa nililolishuhudia kwenye thread ya wapenzi wa series.
heheheheheeeeee niliomba websites ya kuangalia series mpaka leo ni mwezi wa pili sijapatiwa mpaka nikaingia mzigoni mwenyewe.
mhhhhhhhh kweli binadamu tunatofautiana.
wala musiogope jamani hakuna mtu aliyeangalia drama nzuri zote za wakorea.
acha leo nifunguke kabla ulevi haujatoka, niwe mkweli sijawahi kuziangalia drama zifuatazo japokuwa zinasifiwa na kila mdau
  • dong yi : hahahahahahaaaa munajuwa kwa nini sikuchangia comment zilizokuwa zinaisifia hii drama zikiongozwa na huyu ahjumma mtarajiwa miaka 30 ijayo XYZ,ni kwa sababu sikumbuki hata kama nilifika episode ya 5 ndio maana nikaufyata kimya.
  • jewel in the palace : hii hata siifahamu hata inavyoanza, kwani hizi drama tunajibia mtihani?
  • drama zote za ji sung ukiondoa the innocent defendant.
  • drama zote za ji chang wook ukiondoa K2.
kama mutashindwa ni bora niende kwa mchungaji au shekhe aniombee nipumzike kuangalia drama japo kwa wiki mbili (shetani wangu wa likizo amerudi tena).
namimi nahitaji kuona raha ya kujisikia kama anavyojisikia bibi yenu mtarajiwa.
  1. terius behind me drama = imeshamaliza
  2. the beauty inside drama = imeshamaliza
  3. room no 9 = itamaliza jumapili.
  4. where star land = huenda ikamaliza jumatatu
  5. bad papa = huenda ikamaliza jumanne.
kama mutashindwa kuniwekea japo drama 15 kwa kila mtu ili nichague nitahama mtaa wenu.
povu naruhusu siku ya leo.
ujumbe wa leo
Damushin hajawahi kuwa serious
 
Weekend nipo na:-

Time

Where stars land

Your house helper

Heart surgeons

Weekend ijayo

The beauty inside

Familiar wife

The third charm

The player

Oooh nikimaliza hizi ntaongeza list ila najua ushamaliza zote hizi. Nishtue ipi hapo haifai nisije unguza MB bure
  1. your house helper huenda itakukera, aigooo nimesahau kumbe numbisa ni msichana basi huenda pia itakufurahisha kwa sababu wanawake wengi munatamani muwe na wanaume wenye tabia za huyo jamaa atakayesaidia kazi za ndani ila mimi ilinishinda.
  2. heart surgeon,third charm,the player zote hizi niliamua kuachana nazo kwa sababu niliona itakuwa ni ujinga kufuatilia drama saba kwa mwezi mmoja. hivyo basi niliamua kuzifuatilia the beauty inside,bad papa,where star land pamoja na teius behind me.Halafu kuna ugonjwa unanisumbua siku hizi drama ikipita muda wake naitelekeza mpaka nafsi yangu iwe na morali ya kuitafuta tena.
  3. familiar wife niliachana nayo episode 3, mimi si mshabiki mkubwa wa Ji Sung sunbaenim ndio maana nikaitia kwenye dustbin.
  4. Time drama sijaiangalia.
 
Aigoooo drama mbaya kwangu ni ile slow tena inayozingua kwenye kiss scenes ila Time naona story ipo vizuri.

1. Aah kama anasaidia kazi tuu mwanzo mwisho bila story ya kueleweka itaniboa sana.

2. Ongoing movie kwangu mwiko,mateso yake makubwa ila mara moja moja huwa najikuta nimeangukia humo nabaki kuvumilia tu hayo mateso ya kuisubiria. Hizo ulizozitaja karibia zote bado sijaangalia woooi christmass itakua bomba sana. Starehe yangu kubwa korean movies na uchokozi kule cerebrity forum

3. Huwa sifatilii majina halisi ya korean actors wala mambo yao maana nikishawafahamu tu kiundan ladha ya movie inaharibika. Ndo maana siifagikii bongo movie wamejianika sana mpaka mtu unaona filamu zao maigizo matupu

  1. your house helper huenda itakukera, aigooo nimesahau kumbe numbisa ni msichana basi huenda pia itakufurahisha kwa sababu wanawake wengi munatamani muwe na wanaume wenye tabia za huyo jamaa atakayesaidia kazi za ndani ila mimi ilinishinda.
  2. heart surgeon,third charm,the player zote hizi niliamua kuachana nazo kwa sababu niliona itakuwa ni ujinga kufuatilia drama saba kwa mwezi mmoja. hivyo basi niliamua kuzifuatilia the beauty inside,bad papa,where star land pamoja na teius behind me.Halafu kuna ugonjwa unanisumbua siku hizi drama ikipita muda wake naitelekeza mpaka nafsi yangu iwe na morali ya kuitafuta tena.
  3. familiar wife niliachana nayo episode 3, mimi si mshabiki mkubwa wa Ji Sung sunbaenim ndio maana nikaitia kwenye dustbin.
  4. Time drama sijaiangalia.
 
View attachment 942899

GENERAL YANG MANCHUN
shujaa wa ansiseong aliyekuwa na tamaa ndogo mno ya madaraka nyakati zileeeee za goguryeo kingdom.
kuna sehemu fulani niliwahi kusoma inasemekana kipindi general yeon gaesomun anafanya mapinduzi ya kumuondoa mfalme wa 27 wa goguryeo na baadae kumweka mfalme bojang huku yeye akijipa cheo cha kiongozi mwenye mamlaka makubwa ya nchi zaidi ya mfalme alijikuta akitofautiana kimawazo na yang manchun.

yang manchun hakufarahishwa na kitendo alichokifanya general yeon gaesomun na hata yeon na yeye hakufarahishwa na kitendo cha yang manchun kukataa kutoa ushirikiano kwenye mapinduzi, hivyo basi mashujaa hao wawili wakawa hawana mahusiano mazuri. stori zinadai yeon gae somun mara nyingi alitamani kumvunja nguvu yang manchun lakini alishindwa jaribio lake na mwisho wa siku yeon gae somun akaona solution ni kuendelea kumwacha yang manchun aendelee kuwa bwana ngome za liaodong ili kuepusha vita ya wenyewe kwa wenyewe ambayo ingelizidi kuiathiri goguryeo dhidi ya kampeni ya kujilinda na Tang China na Shilla.

kuna movie wameitengeneza korea mwaka huu inaitwa the great battle au Ansi Fortress na inajaribu kuzungumzia vita iliyodumu kwa takribani siku 88 kati ya goguryeo na Tang kwenye ngome zile za Ansi zilizokuwa zikiongozwa na Yang Manchun mwaka 645.

jo/ zo in sung = yang manchun general
nam joo hyuk = sa mool​

kwa sisi parasites acha tuendelee kungojea mpaka iwekwe kwenye free websites.
  • The Great Battle” Becomes 2nd Most-Watched Korean Film Of 2018 In Less Than A Month
  • On October 6, the film hit 5 million moviegoers in just 18 days since its premiere on September 19
Msaada link au site gani niishushe
 
Back
Top Bottom