Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

1200616_1365095260234_full.jpg

heri ya kuzaliwa iwe juu yake pamoja na baraka teleeeee
mwanadada im yoona
Birthdate: May 30, 1990
Member of K-pop group "Girls' Generation".
Drama Series
king in loves
k2
love rain
cinderella man
Movies
confidential assignments
Awards
Uyu Nishampiku Tayari.

Jal Isseoseoyo?
 
EMPRESS KI or EMPRESS GI LIFE.

main-qimg-b70dba227f020fa4c6535ecfa3ff9a26.webp

Ana Majina Mengi Sana Yuan Walimfahamu Kwa Jina La Oljei Khutuk (Ili Jina Nilakimongol,Waliamua Kumbatiza kutokana na Umaarufu Wake), Lady Ki, Ki Nyang, Royal Consort Ki, na Mengineyo kama Jamii ya Mongol Walivyombariki, (Hii Nafasi Amecheza Ha Ji Woon kwenye Empress ki),.

main-qimg-f0a53a19876f4ce728267d676657c7d6.webp

Kazaliwa Mwaka 1315 ( Yaani Apa Ata Bibi Mzaa Bibi Mzaa Bibi Mzaa Bibi Na Kuendelea Sidhani Kama Walikuwa Wamezaliwa), Na Kupotea Mwaka 1370, Kwani Aijulikani Kama Alikufa au Kama Alikufa Aijulikani Alikufa Kwa Mazingira Gani Ila Historia Inasema Alipotea Mara Baada ya Mumewe Ambaye Anajulikana Kwa Jina La Toghon Temur Khan kwa Jina Maarufu Au Hye Jong ( Hii Nafasi Kacheza Jichangwook kwenye Drama ya Empress ki) Kufariki Mwaka 1370.

Amezaliwa Koryeo au Goryeo Sa Ivi Inajulikana Kama Korea, Akiwa Ni Mtoto Wa Kike Pekee Baba Yake Anafahamika Kwa Jina La Ki Ja-o (Nafasi Hii Kacheza Kim Myung Soo) na Alikuwa Na Kaka Pia Alieitwa Gi Cheol au Ki Chul, Japo Inasemekana Alikuwa na Makaka Wengine Ila Uyu Ndo alikuwa Anafahamika Sana.

Maisha Aloishi Koryeo Yalikuwa Yachini Sana Au Yakifukara Sana Na Alikuwa Miongoni mwa Mabinti Waliochukuliwa kama Slave Kwa Ajili Ya Kwenda kuwa Concubines Wa Mfalme Yuan (Ila Hii Naona Ilibadirisha Maisha Yake kiujumla),Alikuwa Ahitaji kuiacha Familia Yake nakwenda kuwa bidhaa ya Yuan Ila Alikuwa Hana Jinsi kwani walikuwa wanachukuliwa kwa Lazima,Baada ya kufika Yuan katika mji Wa Daidu Kwa Sasa Unaofahamika kama Beijing kwa Sa Ivi.

Aliiamua kuweka Utofauti Kati yake Na Wenzie, Ye Alikuwa Bora Zaidi Kwenye Kucheza,Kuongea,Kuimba Na Mashahiri, Na Apa Aliamua Kujitofautisha na Wenzie Ila Awe Bora Kwa Mfalme, Na Baada ya Kupata Msaada kutoka kwa Eunuch Go Yong Bo Ambae Alikuwa ndo Eunuch wa Mfalme na Inafahamika Uyu Bwana Bo Pia Naye Alitokea Koryeo, Alimsaidia kwa Vitu Vingi Sana Hasa kumuweka karibu na Mfalme Kumpangia Kazi Za Kwa Mfalme na Hata Kumpigia Debe.

Kidogo kidogo akaanza kumvutia Mfalme Na Mwishowe Kuwa kipenzi cha Mfalme Na Mfalme ambaye ni Toghon Akaamua Kuamisha Majeshi Kwa Ki na Kumuacha Mkewe wa Kipindi Kille Mkewe Alikuwa Banashiri Mtoto wa Guh - Kwan

tumblr_inline_p7jtmaWlzG1rckx2y_250.jpg

Tanasiri Alocheza Kama Banashiri,

Mwaka 1335, Banashiri Alinyongwa Kutokana Na Rebellion Aloifanya Kaka Yake Tanqish Ikapelekea Familia Yake Yote Kuuliwa, Hii Kidogo Ilimpa Uhai Ki Nakuona Sasa Ni Nafasi yake yakutawazwa na kuwa Empress Wa Yuan Ila Kitendo Hicho kilipigwa Vikali na Aliyekuwa Regent Muongolian Alotukuka Aneitwa Bayan, Kukataa Na Kutokubali kabisaa kwa Ki kuushika Ufalme Kwani yeye Alikuwa Ni Kijakazi na Ni Mkoryeo, Hitaji lake Lilifanikiwa kutokana Na Kipindi Icho alikuwa na Nguvu Sana, Na Kuamua Kumuweka Mtoto wa Dada yake anaenda kwa jina la Bayan Khutug Akawa Empress.

Mwaka 1339 Ki Alijifungua Mtoto Wa Kiume Anaenda kwa jina la Ayushiridari Aliienda kuwa Crown prince na Baada ya Baba yake Kufa alitwaa kiti cha baba yake Kabla ya Mongolian Yuan Dynasty Kutolewa na kuingia Ming Dynasty,

Mapigano Bado yaliendelea baina ya Ki Pamoja na Viongozi wa Yuan Hasa Bayan,

Mwaka 1940 Ki Alitwanza Na Kuwa Empress Baada ya Umauti Ulomkuta Regent Bayan pamoja na Mpwa wake Kuuliwa, Bayan Aliuliwa na Mtoto alomlea mwenyewe anaenda kwa Jina La Toghtogha Lakini Mpwa Wake aijulikani Alikufaje.
Na Ndani ya Uo Mwaka Lady Ki Alijipatia Kiti Chake Na Kuwa Kati Ya Empress Walopendeka Sana.

Alibadirisha Mfumo Mzima Wa Uvaaji Ndani ya Palace Alitengeneza Mitindo ya Nywele ya kwao na Aliiamrisha kila Binti Aweke Staili Hiyo, Akabadirisha Mfumo Mzima Wa Uongozi Na Kuwekaa Watu wa Alikozaliwa, Ichi Kitendo ndo kiliwafanya wanajamii wengi wa Mongolion Kumjia Juu,

Nchini Koryeo Alimsimika Baba Yake Mzee Ki Ja O Na Kuwa King na kumpa Nafasi Kaka Yake Ki chul Katika Uongozi Wa Yuan.Japo Historia Inadahi Walikuwa na Madaraka Mabaya Sna.
 
1.Jumong

2.The Great King: Kingwaeto (The Great Conqueror) ama Land of the wind.

3.A Man Called God

4.East of Eden.

5.Destiny To Love You

6.Emperor Of The Sea

7.Swallow The Sun

8.Baikije

9.Warrior Bak Do So

10.Bridal Mask

11.Wing Chun

12.La Re Vancha

13.Nine Tailed Fox
 
aminas noona unataka kunifanya nikipashe moto kiporo changu cha muda mrefu ambacho kinakaribia kuoza, mungu azidi kukubariki dada yangu kwa kunipa maarifa mapya asubuhi ya leo.
kumbe uyo empress ki amepitia changamoto nyingi kiasi hicho mpaka kufikia nafasi ya kuwa royal member kwenye ukoo wa mongolia.
lakini kwa mujibu wa stori ila sina uhakika ni kwamba jamii ya wakorea wengi wao hawavutiwi na historia ya empress ki kutokana na mambo aliyoyafanya wakati alipokuwa na cheo kwenye serikali ya YUAN.
Mongolia waliivamia goryeo kwenye vita iliodumu kwa miaka 30 na kufanikiwa kuyachukua maeneo mengi ya kaskazini na kuyafanya himaya yao.
kitendo cha kuwapa madaraka jamaa zake kwenye serikali ya yuan kilileta athari kubwa sana kwa serikali ya goryeo kwa sababu ilifika wakati kabila lao ndio lilikuwa na nguvu ya kufanya maamuzi kwenye serikali ya goryeo kwa kutumia nguvu ya yuan dynasty.
kaka yake aliwahi kufanya jaribio la kutaka kumuondoa madarakani mfalme lakini jaribio hilo lilishindikana na mfalme kuamua kulipa kisasi kwa kuangamiza koo ya GI.
empress ki akaamua kutuma wanajeshi wa mongolia ili wamuondoe madarakani mfalme gong min ambaye kwenye utawala wake alifanya jitihada kubwa sana ili kuinusuru goryeo isiendelee kutawaliwa na mongolia ila kabla ya jeshi halijafika korea wanajeshi watiifu waliwazuia mongolia kwenye border ya goryeo.
kivyovyote empress ki alitumia nguvu yake ili kuifanya familia yake iwe na nguvu ya utawala kwenye nchi ya goryeo kwa kutumia nguvu za utawala wa mongolia.
 
Ila empress ki ni series Kali sana
 
hivi ni mimi peke yangu ndiye ambaye nilikuwa sijui ya kwamba kwenye drama ya rebel thief who stole the peoples sound track tatu zimeimbwa na waigizaji wakuu.
hawa wakorea tuwaache waendelee kutuburudisha.
%EB%B0%B0%EC%9A%B0_%EA%B9%80%EC%83%81%EC%A4%91_%EC%9C%84%EB%84%88%EC%8A%A4%ED%86%A1%EA%B8%B0%EC%97%85_%EA%B4%91%EA%B3%A0_cf%EC%98%81%EC%83%81_5s.jpg

hii sound track ameimba mzee kim sang joong, hii sound track nilipokuwa naisikia ilikuwa inanifanya nitamani niwe miongoni mwa wafuasi wa mzee ahmogae.
its make me cry
 
chae soo bin na yeye ni shidaaaaa
garyung.
aji 3
Chae-Soo-bin-not-dating-no-boyfriend-and-not-married.jpg

Shining solo at the end of a dark road
A star named you
May I face you or face it?
I was hesitating for a while.

All around me is a shadow.
One and two disappear.
The wound heals and the rainy season stops
I was smiling in the mirror.

My heart that I did not even know
That person
Now,
I just will not let you go.

I'll say love.
You have two hands,
May I say love
This moment, the moment,

I had only been covered in fear
A lot of stories
Now it's getting cloudy
I just will not let you go.

I'll say love.
Two eyes to the same place
May I say love
Now that this breathing, breathing
 
aminas noona unataka kunifanya nikipashe moto kiporo changu cha muda mrefu ambacho kinakaribia kuoza, mungu azidi kukubariki dada yangu kwa kunipa maarifa mapya asubuhi ya leo.
kumbe uyo empress ki amepitia changamoto nyingi kiasi hicho mpaka kufikia nafasi ya kuwa royal member kwenye ukoo wa mongolia.
lakini kwa mujibu wa stori ila sina uhakika ni kwamba jamii ya wakorea wengi wao hawavutiwi na historia ya empress ki kutokana na mambo aliyoyafanya wakati alipokuwa na cheo kwenye serikali ya YUAN.
Mongolia waliivamia goryeo kwenye vita iliodumu kwa miaka 30 na kufanikiwa kuyachukua maeneo mengi ya kaskazini na kuyafanya himaya yao.
kitendo cha kuwapa madaraka jamaa zake kwenye serikali ya yuan kilileta athari kubwa sana kwa serikali ya goryeo kwa sababu ilifika wakati kabila lao ndio lilikuwa na nguvu ya kufanya maamuzi kwenye serikali ya goryeo kwa kutumia nguvu ya yuan dynasty.
kaka yake aliwahi kufanya jaribio la kutaka kumuondoa madarakani mfalme lakini jaribio hilo lilishindikana na mfalme kuamua kulipa kisasi kwa kuangamiza koo ya GI.
empress ki akaamua kutuma wanajeshi wa mongolia ili wamuondoe madarakani mfalme gong min ambaye kwenye utawala wake alifanya jitihada kubwa sana ili kuinusuru goryeo isiendelee kutawaliwa na mongolia ila kabla ya jeshi halijafika korea wanajeshi watiifu waliwazuia mongolia kwenye border ya goryeo.
kivyovyote empress ki alitumia nguvu yake ili kuifanya familia yake iwe na nguvu ya utawala kwenye nchi ya goryeo kwa kutumia nguvu za utawala wa mongolia.
Hahahahahha Gomawo Chinguya.

Sema Apo Bado Sijaimalizia Uko Mbele Kuna Vingi Vilivyotokea Kiukweli. Lakini licha ya Wagoryeo Kumchukia Ki Ni Alifanya Mengi sana Juu Yao Alibadirisha Mfumo Mzima Sana wa Uongozi Alivyokuwa Yuan.

Na Lile Jeshi alotuma Goryeo Ilikuwa Kwenda Kulipiza Kisasi Baada ya Kaka Zake Kuuliwa Lakini Alikufanikiwa Ndo Wakauliwa Njiani Na Hata Kwenye Drama Ilionyesha Pale ambapo empress ki anamuuliza yule Eunuch wake kuhusu lile jeshi lilovamiwa akiwemo Na Tal Tal Kuuliwa.

Sijuhi Lakini Nimetokea Kumpenda Sana Uyu Lady ki Na Kumuelewa Pia Alijitoa Sana Kutoka kwenye Servant, Concubines Mpka Royal Consort Mpaka Kwenye kuwa Empress Ni Alijitoa Sana.

Wakoryeo Au Wakorea Wamkumbuke Kwa Mema Yake Alijitahidi Kufanya Mengi Mazuri.
 
Mi Mwenyewe Nimeirudia Nilianza Tangu Wiki Ile, Ikanifanya Nianze Kumfatilia Uyu Mrembo wa Miaka Iyo.
 
Hahahahahha Gomawo Chinguya.

Sema Apo Bado Sijaimalizia Uko Mbele Kuna Vingi Vilivyotokea Kiukweli. Lakini licha ya Wagoryeo Kumchukia Ki Ni Alifanya Mengi sana Juu Yao Alibadirisha Mfumo Mzima Sana wa Uongozi Alivyokuwa Yuan.

Na Lile Jeshi alotuma Goryeo Ilikuwa Kwenda Kulipiza Kisasi Baada ya Kaka Zake Kuuliwa Lakini Alikufanikiwa Ndo Wakauliwa Njiani Na Hata Kwenye Drama Ilionyesha Pale ambapo empress ki anamuuliza yule Eunuch wake kuhusu lile jeshi lilovamiwa akiwemo Na Tal Tal Kuuliwa.

Sijuhi Lakini Nimetokea Kumpenda Sana Uyu Lady ki Na Kumuelewa Pia Alijitoa Sana Kutoka kwenye Servant, Concubines Mpka Royal Consort Mpaka Kwenye kuwa Empress Ni Alijitoa Sana.

Wakoryeo Au Wakorea Wamkumbuke Kwa Mema Yake Alijitahidi Kufanya Mengi Mazuri.
tatizo ni kwamba alikuwa ni pro yuan wakati mfalme gongmin alikuwa ni anti yuan.
ila yote historia yake ni fundisho tosha kwenye maisha yetu ya kila siku, haijalishi una dhiki zinazozidi mlima wa kilimanjaro basi weka imani ya kwamba siku moja shida zitakukimbia.
 
Kweli.
 
Back
Top Bottom