Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

kwi kwi kwi yaani nimehiari niiweke kiporo black drama kuliko because this is my first life, yule paka tu alikuwa ni burudani tosha kumuangalia. nashindwa kuelewa paka wa huku kwetu uswahilini wana roho mbaya kama binadamu
because-this-is-my-first-life-2017-cat-episode-1.jpg

Cats don't have a neocortex unlike humans. So they don't get bored or depressed even if they have the same food and do the same thing.
se hee amejaa nukuu kichwani mwake, hahahahaaaaaaaaaaa
Wenzetu Wanjua kutengeneza Vitu Yaani Paka katulia kabisaaa Mpaka Unamtamni Naye Sijuh Alikuwa na Script Yake!!!!
 
Msaada mwenye link ya ku download hizo Korean drama na movie zake zote anisaidie.
 
Itabidi umpe tahadhari mapema maana mlevi mwenzetu mkuu aminas kaonja glasi moja tu lakini hadi sasa nadhani atakuwa kashamaliza crate yote . Hahahahha!
Na nimepata taarifa wamiliki wa bar kwa mara ya kwanza wameamua kumfukuza mteja kwa kisingizio cha kuwa atawamalizia na viporo vyengine vya pombe vilivyohifadhiwa na walevi waliobobea kama Damushin.
 
oooooh daebak
Neo nuna chughahae
Hongera kwako kwa kumaliza kreti nzima.
Damushin Nimemaliza Hii drama Ni Daebak!!!!!
Hii drama Ni Balaaa..
Nilikuwa Naichukulia Poa..Ila Imenifanya Napoteza Radha ya Black...

Bo Mi Na Wan Seok Awa Watu Ni Weuu Nimecheka Mpaka Nikahisi Mbavu Zaachia Baada ya Wan Seok Kumkataa Bo Mi Ki OS NA Windows Daah!!!
Nimeimaliza kwa kujifunza vingi Sana Sana..
Nam Se Hee Uyu Kaka Ni Bae Ivi Korea Awa Ma Actor Utamchukua Na Kumuacha yupi...
Ji Ho,Soo Ji na Ho Rang Urafiki Wao Nimeupenda bure Etiiii Adi Raha Ni So Refreshing....

Bila Kumsahau Woori A k A Kitty Nahitaji Kama Huyu EMPTY
Bila Kumsahau Pia Baba Yao Ma Sang Go Kichaa Wa Vichaa
Nairate 10/10
 
A MAN CALLED GOD
ya mkali Juan Lee (Jumong) ndo drama ya kikorea ya kwanza kuangalia

imetumika akili nyingi na kubwa pale. Ina mafunzo mengi

City hunter nayo nzur na ina akili pia

Giant - hesabu na akili mingi sana ! kuiona tu episode zote 60 unakua huna tofauti na mhitimu wa degrii ya uchumi pale mliman udsm
 
Damushin sunbae,
Chingus: aminas, Khantwe, Rahabu, mjr95, UHURU JR

Kwa sasa mnaangalia drama zipi?

Hii ndio list yangu kwa sasa (nilipofikia):-
2 Cops: ep 4
Black: ep 15 (Hii ishaanza kutia uvivu)
Doubtful Victory: ep 4
Go.Back.Couple: ep 3
Meloholic: ep 7
Money Flower: ep 7
Nothing 2 Lose: ep 5
Revolutionary Love: ep 3
Secret Garden: ep 1
Temperature Of Love: ep 11
Untouchable: ep 2
While You Were Sleeping: ep 11
(Nimeamua nijikaze niiendeleze maana sunbae kaisifia kupitiliza)
Wise Prison Life: ep 1

Hapo ni mwendo wa ku-switch tu. Drama hii wakitia uvivu nai-pause naendeleza nyengine!
 
Back
Top Bottom