Unaangalia Couple Palace?Numbisa muonee huyu Gen Z anaspoil yote na website nnayopakua wanaeka j.pili
Jaman recom ya variety nyingine, uhakika si upo
Nilivyofunguka sio vyote utaviona kwa episode nimeongeza na mtazamo wangu juu ya situation kulingana na uzoefu wangumzee wa spoilers anafunguka tu hajali anapitiliza kuvuruga uhondo husika.
Saiv nimenasa kwenye family drama. Realities zimekaa kando hata mnazoangalia saiv sijazivuta
Nilivyofunguka sio vyote utaviona kwa episode nimeongeza na mtazamo wangu juu ya situation kulingana na uzoefu wangu
siku utakayokwenda kufanya interview ya kazi utavaa mapazia kama jumongi?Hahahaha!! mimi nikiona suti tu vaibu inapotea labda niirudia A man called God nitapata mzuka wa kucheki Wazee wa suti.
Ni kila Jumatano,wiki iliyopita Jumamosi zile ya 3 na 4 zilivuja bahati mbaya kabla ya siku husikaDisney+ utaratibu wao wa kuachia episodes za drama upoje?
ni wiki moja imepita bila ya muendelezo wa the impossible heir.
wiki ya kwanza waliachia episode 4.
Hao ni Disney+ na style yaokwa maana ni episode 2 kwa wiki.
kama nimekuelewa, kwa nini wasiige mfumo wa netflix
Nahisi umetizama nyingi kiasi kwamba unajua mwisho wake baada ya kutizama episode 1 tuSijui ndio kuzeeka, siku hizi sina mzuka wa kdrama kabisa. Mimi ni wa kuangalia drama moja miezi miwili kweli???
Nzuri kweli ila najikaza mana namhurumia yule main lead wa kiume anavyopelekeshwaQueen Of Tears
Dah ndio stress za kuangalia ongoing dramas sitaki kuamini na sad ending aisee
Ishu sio kuonewa,kama family members Hae In atadeal nao kuanzia sasaNzuri kweli ila najikaza mana namhurumia yule main lead wa kiume anavyopelekeshwa
Acha tuone itakuaje huko mbele
Mimi series za sad ending zinanikera mno,naombea tu hii isiwe na sad endingIshu sio kuonewa,kama family members Hae In atadeal nao kuanzia sasa
Tatizo kubwa ni wife kabakiza miezi 3 ya kuishi ugonjwa wake hauna uhakika wa kutibika.Now bond yao itakuwa imara kwa sababu Hae In kashajua kuwa Hyun Woo ndio mtu pekee anayemjali japo jamaa moyo na ubongo vinapingana.
Moyo unauma kuhusu hali ya wife ila akili inaweza negative kwamba wife akifa watakuwa wameachana tayari haina haja ya talaka
Tukirudi kwenye trailer kuna cut imenimaliza nguvu kabisa Hae In ameegamia begani mwa Hyun Woo hopelessly huku jamaa machozi yanamtoka
Sad ending hii ya kifo labda miujiza itokee
Hujazeeka rol modo ni kukinai mimi ndo maaana Sub yangu ni variety shows, nikichoka chokaSijui ndio kuzeeka, siku hizi sina mzuka wa kdrama kabisa. Mimi ni wa kuangalia drama moja miezi miwili kweli???
Hii ni real real spoiler ilitoka kabla hata maex wa Kwang Tae na Sang Jeong hawajafikaHujazeeka rol modo ni kukinai mimi ndo maaana Sub yangu ni variety shows, nikichoka choka
Kuna kipindi ni kama drama zilizopo haziridhishi baada ya two ep
Nilioona mimi had yu jung na chang jin wanarudiana, hyewon atamsubir dong jin kumbe kaenda kwa ex wakeHii ni real real spoiler ilitoka kabla hata maex wa Kwang Tae na Sang Jeong hawajafika
Imenimaliza nguvu
Marafiki wa Hwihyun wanatoa ubuyu hovyo i wish iwe wanawadanganya watuView attachment 2933616
Mimi hizo 2 nataka ziwe hivyo ila kutokuona Changjin na Yujung imenikata maini.Nilioona mimi had yu jung na chang jin wanarudiana, hyewon atamsubir dong jin kumbe kaenda kwa ex wake
Pamoja na yote nataka nione itafikiaje hapo