Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

talnam tumefunga ukurasa leo tumebahatika kusave couple 2 tu Changjin & Yujung na Minhyung & Sangjeong

Wengine no confusion Jongeun alimchangua Juwon akapigwa chini,Kwangtae akamchagua Seokyung akapigwa chini,Seokyung akajirudi kwa Juwon akapigwa chini,Juwon akaenda kwa Yujung akawa rejected na Yujung akampa another chance Changjin,wanadate hadi sasa.

Nilikuwa na imani tangu mwanzo na hii endgame
IMG_20240419_105132_273.jpg
 
talnam tumefunga ukurasa leo tumebahatika kusave couple 2 tu Changjin & Yujung na Minhyung & Sangjeong

Wengine no confusion Jongeun alimchangua Juwon akapigwa chini,Kwangtae akamchagua Seokyung akapigwa chini,Seokyung akajirudi kwa Juwon akapigwa chini,Juwon akaenda kwa Yujung akawa rejected na Yujung akampa another chance Changjin,wanadate hadi sasa.

Nilikuwa na imani tangu mwanzo na hii endgameView attachment 2968506
Asante kwa spoiler
Na dongjin na dahye ilikuaje
 
Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.

Tuambiane;

  • Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?
  • Ni ya aina gani? (Wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')
-Nini kinakuvutia sana katika hiyo Drama?

Pia:

  • Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wa kike na baadhi ya drama alizoigiza?
  • Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako?
  • Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona?
  • Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakati mgumu kuipata? (Unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)

*Pia tumia thread hii kufahamishana kuhusu drama mpya zilizotoka au unayohisi ni nzuri ila haijapata umaarufu sana!!

Karibu tujumuike! Saraghae! Kumooyo!!

=========

Baadhi ya Links za Dramas mbali mbali za Korea...;

Be Strong Geum Soon
Princess Ja Myung Go
THREE DAYS (2014)
Swallow the Sun
Jumong
King Guenchoggo

=====

Links za ku-download drama za Kikorea;
  • Watch Drama Online | Korean Drama | Japanese Drama | Taiwanese Drama | Hong Kong Drama | Chinese Drama
  • GoodDrama.Net

======

Updated: Kwa mjadala na kubadilishana uzoefu kuhusu series za jumla za movies mbalimbali, za zamani na mpya, Unaweza pia kufuatilia UZI HUU hapa Series (Special thread) ..

Kazi kwako.. Enjoy!
Thank you
 
Han Kyul hujaniambia endgame ya dongjin na hyewon kisa u team dahye

Imebid nikasome more spoilers
Ngoja nitazame sasaa
Nilikata nao tamaa that's why sikuwa na interest tena mimi sikuwa shipper wa Dongjin-Hyewon

Kikubwa favourite ship imesail Yujung katoa kinyongo moyonj akampa chance Changjin
 
  1. Queen Of Tears - 2024
  2. Nothing uncovered - 2024
  3. Blood Free - 2024
  4. Love ft Marriage and Divorce
  5. Taxi Driver 2
  6. the red sleeve
  7. my introverted boss
  8. parasyte the grey
  9. Missing Crown Prince
  10. Beauty and Mr romantic
Storage ipo Hot
 
  1. Queen Of Tears - 2024
  2. Nothing uncovered - 2024
  3. Blood Free - 2024
  4. Love ft Marriage and Divorce
  5. Taxi Driver 2
  6. the red sleeve
  7. my introverted boss
  8. parasyte the grey
  9. Missing Crown Prince
  10. Beauty and Mr romantic
Storage ipo Hot
Kwa watu wenye kujua vitu vikali bila kujali trend hapo drama top ni nothing uncovered story imesukwa na imesukikq
 
Back
Top Bottom