msikilize na abiud misholi......baadhi ya nyimbo zake nakutajia jaribu kuzisikiliza..... (1) Ninasema (2) isaya (3) Biblia yasema (4) Baba (5) Usirudi nyuma (6) Simama mwenyewe (7) Nimebaki peke yangu (8) Moyo wangu wazi (9) Siku moja (10) Uje unitoe.
Hizo ni baadhi tu.....
Mkuu we acha tu, huo wimbo mara ya kwanza kuusikia ilikuwa ni kupitia Redio Wapo Fm, mama mzazi alikuja kututembelea tupo sebuleni muda wa saa nane hivi ukaanza kupigwa.
Ulianza vizuri tu lakini alipofika kile kipande cha Kumamamammamamamamaaaaaa..eye yakhwe kumaaaa.....kuna kipande alisema....Kumamanayoo..nikatumia remoti kubadili nikatune PPR FM halafu nikamwambia mama naona wamekata matangazo ghafla. Hizi lugha zina mambo najua kwa lugha ya kwao hilo halina shida, shida huja pale unapoimbwa mbele ya waswahili.
Karibu tena mamitoo.....mi najiimbia kila siku nikiomba tuwapige Spurs siku ya fainali j2 lol.....!
Mkuu umeshapata fursa ya kuusikiliza?Hahahahahaaaaa lol ukajua matusi jamani
Hahahahahaaaaa lol ukajua matusi jamani
Ni suala la kuelewa lugha na kumtukuza Mungu nyimbo za kizungu ni nzuri sana nimeanza kuzipenda kabla sijajua lugha vizuri mpaka sasa wanajua sana kufanya diction kwenye nyimbo zao.sister we ndo umenena bhana....manyimbo ya kizungu aaah
Fanuel Sedekia toka Enzi za Nilikupanda Mzabibu mwema, Tokeni katikati yao...nk mwishoni mwa miaka ya 90 mpaka Manukato achana nayo hiyo namba nyingine mkuu, Abihudi Misholi atasubiri kwanza.Kuna fanuel sedekia tangu nimekupanda mzabibu mwema na mpaka manukato na nishike mkono nisizame nazo nazifananisha na za abiud mishol wanaimba vizuri sana.
Fanuel Sedekia toka Enzi za Nilikupanda Mzabibu mwema, Tokeni katikati yao...nk mwishoni mwa miaka ya 90 mpaka Manukato achana nayo hiyo namba nyingine mkuu, Abihudi Misholi atasubiri kwanza.
Fanuel Sedekia toka Enzi za Nilikupanda Mzabibu mwema, Tokeni katikati yao...nk mwishoni mwa miaka ya 90 mpaka Manukato achana nayo hiyo namba nyingine mkuu, Abihudi Misholi atasubiri kwanza.
Ni suala la kuelewa lugha na kumtukuza Mungu nyimbo za kizungu ni nzuri sana nimeanza kuzipenda kabla sijajua lugha vizuri mpaka sasa wanajua sana kufanya diction kwenye nyimbo zao.
hope mods wataitendea haki ha kupeleka jukwaa la dini.
Namkubali sana Sedekia hasa katika ile Album ya Nyimbo za kuabudu tu, pia naupenda sana wimbo wa Manukato najiskia nimeingia patakatifu pa pakatifu ila Abiudi Misholi zaidi naingia patakatifu pa patakatifu pa patakatifu mwa Bwana, nasahau kabisa yale yanayonikabili nakuwa nimetiwa nguvu za ajabu siwezi elezea iwe ni Nyumbani, kazini ,kwenye gari,simu n.k huwezi kukosa kutoka kwangu wimbo wa Abiudi,sijawahi acha kununua Album yake hata moja katika zote alizonazo, hakika Mungu ambariki sana huyu Mtumishi wake.
Nyimbo za injili ni nyimbo zinazoishi milele zote na zinabadilisha maisha ya wengi sn duniani na kufariji wengi nyakati za huzuni. Kweli Mungu anatawala kwa Busara na Upendo.
Nadhani hapo kunahitaji marekebisho kidogo kaka..............otherwise ubarikiwe
Mimi joyous celebration ndo nawapenda sana,.wananibarik na nyimbo zao