Tized, hope uko fine...!
Umenikumbusha mbali sana, those guys are my favourate all time gospel singers....
Mark Lowry ni kama comedian hivi....wakiungana GVB na Ernie Haase & Signature Sound unajisikia kupaa...
Au Gaither aki mobilize The Homecoming Friends, The Hoppers, Jessi Dickson(RIP), Jack Haase(RIP) na wale wazee wa Blackwood Brothers..
Mimi joyous celebration ndo nawapenda sana,.wananibarik na nyimbo zao
Hillsong wana kitu cha"still"na "ocean" nasikiliza wakati wote na Smith "broken heart do you want your healing siujui vizuri huo wimbo ila ni mzuri kinyama pia kuna yule dogo wa Brazil Jotta aliimba Sonda me Senyo au use me Lord na amazing grace nazo ni Kali sana#useful thread#
I am very fine my Brother Eli79 . Humbled to hear from you.
Aisee kweli unawajua hawa jamaa. Nawapenda sana. Kuna moja ya homecoming album waliimbia kule Israeli kwenye kabonde flani hivi, (kama uliwahi iona Jesse alikua kwenye peak yake na ule wimbo wa ''Gone'' akiwa amevaa suti kama ya blue hivi. utafute kama bado hujakutana nao, you will love him even more)
''LOVE CAN TURN THE WORLD'' by Gaithers
cc Ablessed, BAK, Mr Rocky, Ntuzu, KOKUTONA, Karucee, MTAZAMO, lara 1, 1st AID, EMT, everlenk
Wimbo wa sonda me senyo ukiupata na tafsiri nzuri ya English unasikia kumcha Mungu sana na hakuna ajabu alishinda ile shindano na alianza kumtumikia Yesu tangu akiwa mdogo.Mkuu Jotta namkubali sana.....ndio maana hizi kelele nyingine ni ngumu kusikiliza
Bawo wethu-kholeka
Ebenezer-Angela chibalonza
Ebenezer-sipho makabane
Ighesthmani-rehoboth ministries
Ni wema wake Yesu-Miriam Chirimwa
Living waters-Hlengiwe mhalaba
Never failed me-Hlengiwe Mhalaba
Jesus is coming,I think ni Kijitonyama.
Nawapenda sana hawa watu wananibariki mnoo
Wow thank you! Kuna watoto kama hawa waliimba na Michael w Smith wanatokea Uganda sijui ni wenyeweI am very fine my Brother Eli79 . Humbled to hear from you.
Aisee kweli unawajua hawa jamaa. Nawapenda sana. Kuna moja ya homecoming album waliimbia kule Israeli kwenye kabonde flani hivi, (kama uliwahi iona Jesse alikua kwenye peak yake na ule wimbo wa ''Gone'' akiwa amevaa suti kama ya blue hivi. utafute kama bado hujakutana nao, you will love him even more)
''LOVE CAN TURN THE WORLD'' by Gaithers
cc Ablessed, BAK, Mr Rocky, Ntuzu, KOKUTONA, Karucee, MTAZAMO, lara 1, 1st AID, EMT, everlenk
Huyu dogo yupo juu mno anaimba vizuri sanaMkuu Jotta namkubali sana.....ndio maana hizi kelele nyingine ni ngumu kusikiliza
Nimejikuta nimefurahi tu ...... kuna Uzi mmoja ukawa unasema huelewi mambo ya Mungu hasa habari za kuteswa Yesu msalabani.
nzuri sana!Ya nawapenda hawa jamaa ''Casting Crowns''. Kuna Wimbo wao waitwa ''WHO AM I'' na mwingine unaitwa ''DOES ANY BODY HEAR HER'' nazipenda sana kwa kweli.
Huo wa kwanza unanifanyaga nijiulize maswali mengi sana kujihusu, huo wa pili unaleta picha flani nione bado tuna wajibu wa kufanya kitu mahali kwa ajili ya mtu fulani. Pia unatuasa kuendelea kupiga vita haka katabia ka kuhukumu hukumu ovyo.
Zisikilize kwa makini utazifurahia zaidi.
Kama umemsikiliza nyimbo zake za siku hizi ana sauti nzito zaidi, ndio kukua kwenyeweHuyu dogo yupo juu mno anaimba vizuri sana
LOL..kafuatilie tena ule uzi,nilisema napenda Gospel ....
Nakumbuka sana ndiyo maana nimefurahi kuona jinsi gani unavyozijua nyimbo za Gospel. Barikiwa sana.....
Huyu mkaka aliondoka mapema sana lkn nae alikua anatisha anitwa vuyo yokoema wa south africaAkiimba pastor jabu,mthunz namba,xolan mkhululi jaman sichok kuwasikilza
Sikilkizeni hawa wanaitwa Casting crowns, nyimbooo zao zina ujumbe sana
nzuri sana!
tafuta "thrive", "all you ever wanted" na "courageous"