Kwa wapenzi wa Flight Simulation Games (Flight Gear)

Kwa wapenzi wa Flight Simulation Games (Flight Gear)

sijui nini

Hivi hii game itafanya kazi vizuri kwenye mashine yangu ya ram 1GB.
 
Last edited by a moderator:
Habari, Kwa wapenzi Microsoft Flight Simulator X naomba mjitokeze ili tupeane ujuzi hasa kuhusu masuala ya aviation. Karibuni.
 
Yap! mkuu naona ni wakati umefika sasa hata na sisi tukaanzisha group letu la 'FSX Enthusiasts' kubadilishana mawazo na ujuzi na ktk industry ya aviation kiujumla . Natumai tumo wengi humu...unaonaje?
 
Nimefurah sana leo kukuta hii mada week nzima nilikua natafuta flight games simulator hasa zile jet fighter ni kubwa sana kuanzia 10Gb nikaishia kuziangalia youtube nami nitajitahid nidownload microsoft flight simulator jaribuni hizo za kivita ni nzur sanaa
 
kati yenu kuna mtu huwa anafanya Online flight( Virtual Airline)?..mi huwa napiga sana hizi kwa Flightgear na Microsoft Flight Simulator ila wengi wa watu nnaowakuta huko ni wa nje tu..wabongo pakavu kabisa hata kwa zile flight fupi fupi...!!
 
Jamaan wakuu naomben hyo flight simulator ya ndege plz na mwenye call of duty au game za vitaa plz...
 
mm nimeshashusha ndege KIA Dar Mwanza Musoma nakadharika kuoandiaha ndege sio kazi issue inakuja kwenye kuitua sema sahiv nishakua expert
 
mwenye game za nzur za mission na za fighter jet naomba antajie
 
Nimecheza Microsoft Flight Simulator....yani inaridhisha my passion for flying. Nilikua nashinda learning center napata kozi kutoka kwa wale companion trainers na vyeti juu....

Ila naskia FSX is more like a gane rather than a simulator...
 
mkuu tupia link bas then nielekeze how to download plz
mkuu hii post wakati naitoa latest version ilikuwa ni kwenye V2 saiz imefika version 3.4 na ina kama 1GB+ ila bado unaweza kudownload version za nyuma zenye mb chache..
link ya kudownload:Download Central | FlightGear Flight Simulator (uki scroll kule chini kabisa utaona sehem ya ku download older versions)

au nenda hapa direct utachagua unayoitaka ..: http://download.flightgear.org/flightgear/Windows/
 
Yap! tumo mkuu,,,na unayoyasma nikweli wabongo hamna kabsaa. nina miaka 3 sasa tangu ni fly na virtual airlines ila saiv nipo Leave of absence 'LOA' ..c unajwa, real life imebana kdgo! Ni inbox tnaweza tkakutana kwnye skies:teeth:
 
same here buddy...ila FSX ni 'Simulator' na sio 'game' kma wengi wanavyofikiria.
 
Na yyte anayetaka 'FS9' AU 'FSX' full version(SP1 & SP2/acclrtn) ani PM tutatafutana bdae coz saiv life is tight smhow, harakati nyingi..for the sake of increasing this community.
 
Back
Top Bottom