Kwa wapenzi wa Flight Simulation Games (Flight Gear)

Kwa wapenzi wa Flight Simulation Games (Flight Gear)

da mi limenishinda kuwasha ndege tizi tutorials naona kama sizielewi naana niliwasha engene lakini sikujua hata kuliondoa lilipo simama
 
da mi limenishinda kuwasha ndege tizi tutorials naona kama sizielewi naana niliwasha engene lakini sikujua hata kuliondoa lilipo simama

Hahaha..pole sana..taratibu utajua tu..kunanjia fupi za kufanya..mfano kuwasha unaweza kwenda kwenye autostart inakuwa kwenye menu plae mwisha kabisa kwenye jina la ndege.. kisha unaset flaps (tumia } kuongeza na { kupunguza) mara nyingi saiz nzuri ni 10 au 15(kwa ndege kubwa) kulingana na ukubwa wa ndege kisha baada ya hapo unaongeza thrust(kama kukanyaga mafuta kwenye gari) unatumia button PAGE UP kuongeza na PAGE DOWN kupunguza...

Hapa weka atlist mpaka katikati hivi maana ukiweka maximum itapiga alarm..kisha toa parking brake kwa kutumia Capital B..utaona ndege inaanza taratibu kuondoka..kuiweka sawa kwenye runway kama inaanza kupinda tumia INSERT na ENTER keyshuku unatumia DOWN arrow key kuinyanyua taratibu..usibonyeze key yoyote kwa kuishikilia..

Bonyeza kidogo kidogo mpaka uanze kuona effect yake..ukishaiacha ardhi subiri inaynyuke kama ft500 hivi kisha tumia key small g kufunga tairi baada ya hapo controll ndege iendelee kwenda juu kwa kutumia arrows keys taratibu..na usiinyanyue sana kwa mbele..kisha ukifika kimo unachohitaji unaweza kuanza kushusha flaps({ ) taratibu huku ukiicontroll isishuke chini kwa arrow keys..mpaka itakaa sawa hapo utaanza kuzunguka utakavyo..

Njia nyingine rahisi ni kutumia mouse..ikianza kuondoka tu we right click maramoja kisha controll ya mouse itakuwa active...

ukifanikiwa hapo..then tutakuja kwenye kutua sasa..
 
sijui nini

Nimefanikiwa kuirusha lakini haifiki mbali inaanguka.
 
Last edited by a moderator:
fgfs-screen-007.png fgfs-screen-011.png fgfs-screen-006.png fgfs-screen-012.png
fgfs-screen-062.png fgfs-screen-065.png fgfs-screen-066.png
hapa nikiwa natoka dom kuelekea dar..

nimefanikiwa kuirusha lakini haifiki mbali inaanguka
unatumia ndege gani? jaribu kutumia cessina citation x au hata b0eing 777 200ER ziko stable sana hizi kwa kuanzia..
 
nimefanikiwa kuirusha lakini haifiki mbali inaanguka

Ndugu mi kuirusha sina tatizo, na huwa si set chochote, natoa parking breaks, napandisha throttle kitu kinaenda juu... Japo kiwa inanitesa kuieka katikati ya runway. Sasa mi nimeweka scenery ya Tz, nikajaribu kuset route manager na kuweka autopilot, sasa kila nkiweka autopilot baada ya sekunde chache indisconnect ina sema check pitch trim,

ata sielewi, nikiweka sawa Nose, nikibofya tena autopilot inakaa kdigo kisha inaleta tena error iyo. Halafu kitu chengine mi kimenishangaza, mi napenda nifanye pressing of buttons katika dash ya ndege kuliko kutumia keyboard. Sasa kwa kutumia dash, ukipress button basi hatari, huwezi tena irudisha katika position ya mwanzo. Nikapandisha pitch trim, kushuka haikubali ndo ishafika, sasa sijui tatizo nini!!
 
Ndugu mi kuirusha sina tatizo, na huwa si set chochote, natoa parking breaks, napandisha throttle kitu kinaenda juu... Japo kiwa inanitesa kuieka katikati ya runway. Sasa mi nimeweka scenery ya Tz, nikajaribu kuset route manager na kuweka autopilot, sasa kila nkiweka autopilot baada ya sekunde chache indisconnect ina sema check pitch trim, ata sielewi, nikiweka sawa Nose, nikibofya tena autopilot inakaa kdigo kisha inaleta tena error iyo. Halafu kitu chengine mi kimenishangaza, mi napenda nifanye pressing of buttons katika dash ya ndege kuliko kutumia keyboard. Sasa kwa kutumia dash, ukipress button basi hatari, huwezi tena irudisha katika position ya mwanzo. Nikapandisha pitch trim, kushuka haikubali ndo ishafika, sasa sijui tatizo nini!!
mkuu, kuweka sawa na runway kidogo ni ishu na ndo maana mi mwenyewe napenda kutumia sana manual kwenye kutua kuliko auto sababu auto kuna settings flani hivi ambazo ndo zinakuweka katikati ya runway but ni unreliable sana sometime zinakutoa nje kabisa na ku crash..ila kwa manual ukisha iona runway tu unaanza ku descend mwenyewe tartatibu huku unaiweka kati mpaka unatua..

kuhusu kudisconect autopilot ni kwamba lazima kuna error sehem..either flaps ({au}) haziendani na speed uliyonayo au trim ipo chini sana au juu sana au hujapandisha tairi au umebinuka sana kelekea juu/chini...hapo lazima AP ijidisconnect...mi pia mwanzo ilinitesa sana..ila jitahidi kucheza na flaps kwanza iweke ndege stable itulie then hakikisha hamna alarm yoyote ndo uweke Auto..ikiwa kuna alarm yoyote AP haitakubali! ukiona kna alarm jaribu kupandisha flaps au kushusha au kuzitoa kabisa yenyewe itakata..then tia AP ndege itafuata..

kuhusu kurudi nyuma inapochange settings kwnye dashboard tumia middle button(ile ya scroll) kwenye mouse unaibonyeza na si ku scroll ndo unaweza kurudisha settings..kuna baadhi ya settings kama IAS unaweza kutumia ku scroll na kuchange settings utakavyo..

fgfs-screen-024.png fgfs-screen-025.png fgfs-screen-033.png fgfs-screen-037.png fgfs-screen-042.png fgfs-screen-050.png fgfs-screen-058.png fgfs-screen-060.png

Hapo ni J.K.Nyerere kutua..
 
mkuu, kuweka sawa na runway kidogo ni ishu na ndo maana mi mwenyewe napenda kutumia sana manual kwenye kutua kuliko auto sababu auto kuna settings flani hivi ambazo ndo zinakuweka katikati ya runway but ni unreliable sana sometime zinakutoa nje kabisa na ku crash..ila kwa manual ukisha iona runway tu unaanza ku descend mwenyewe tartatibu huku unaiweka kati mpaka unatua..

kuhusu kudisconect autopilot ni kwamba lazima kuna error sehem..either flaps ({au}) haziendani na speed uliyonayo au trim ipo chini sana au juu sana au hujapandisha tairi au umebinuka sana kelekea juu/chini...hapo lazima AP ijidisconnect...mi pia mwanzo ilinitesa sana..ila jitahidi kucheza na flaps kwanza iweke ndege stable itulie then hakikisha hamna alarm yoyote ndo uweke Auto..ikiwa kuna alarm yoyote AP haitakubali! ukiona kna alarm jaribu kupandisha flaps au kushusha au kuzitoa kabisa yenyewe itakata..then tia AP ndege itafuata..

kuhusu kurudi nyuma inapochange settings kwnye dashboard tumia middle button(ile ya scroll) kwenye mouse unaibonyeza na si ku scroll ndo unaweza kurudisha settings..kuna baadhi ya settings kama IAS unaweza kutumia ku scroll na kuchange settings utakavyo..

View attachment 93831View attachment 93832View attachment 93833View attachment 93834View attachment 93836View attachment 93837View attachment 93840View attachment 93841

Hapo ni J.K.Nyerere kutua..

Sasa ndugu icho ki middle button cha mouse mi cna mana natumia laptop, sasa sijui itakuaje! Yani ungekuwa upo pande za dar ningekutafuta ukanipa lecture kidogo
 
Asanteni sana sijui nini na Tulizo. Nimepata hamu upya baada ya kunijibu maswali yangu. Nilikuwa nishachoka kuruka na kutua katika viwanja vya majuu kama San Francisco nk.

Na-upgrade rams zangu soon, narudi ktk game langu.
 
Last edited by a moderator:
Asanteni sana sijui nini na Tulizo. Nimepata hamu upya baada ya kunijibu maswali yangu. Nilikuwa nishachoka kuruka na kutua katika viwanja vya majuu kama San Francisco nk.

Na-upgrade rams zangu soon, narudi ktk game langu.

Inategemea na level of realism ambayo unataka. Kama unapenda ku-fly katika next level ya virtual aviation ukitumia complex systems na addons + live Air Traffic Controllers kama VATSIM au IVAO then hauna budi ku-fly ukitumia sceneries za Europe au USA kwani kutokana na matatizo yetu huku Africa hakuna watu wengi katika hiyo hobby... unaweza kujikuta peke yako muda wote...
 
Mimi napenda Missions sana kama kuna mtu anazo tunaweza anisaidie

Kaka tuko pamoja mi namalizia IGI 2 ila kama utataka mi mission Call of duty modern warfare, Far cry na Hitman zote...

Hizo simulation nazipenda ila napenda trucks simulation ndo naiweza sana.
 
unatumia ndege gani? jaribu kutumia cessina citation x au hata b0eing 777 200ER ziko stable sana hizi kwa kuanzia..

asante sana sijui nini maana sasa imeruka na hakuna aram yoyote japo mwanzo zilinitesa sana sasa map imenishinda na kuhusu kutua inakuwaje maana nimepaishaa mpaka nikachoka nikaamua ku escape
 
Last edited by a moderator:
Dah mmenipaje hamu ngoja niweke fifa 13 pending!!linahtaji comp lenye specs gani???
 
Inategemea na level of realism ambayo unataka. Kama unapenda ku-fly katika next level ya virtual aviation ukitumia complex systems na addons + live Air Traffic Controllers kama VATSIM au IVAO then hauna budi ku-fly ukitumia sceneries za Europe au USA kwani kutokana na matatizo yetu huku Africa hakuna watu wengi katika hiyo hobby... unaweza kujikuta peke yako muda wote...

Ni kweli unachosema mkuu na ndo maana ni bora na sisi kama tunajijua wapo tunaopenda hii kitu tuanze kuwa pamoja ili tuwe wengi tunaotumia hatimaye tuwe na traffic ya kutia moyo..na uzuri wa hii kwa ku play online ukishakuwa na scenery za eneo husika wala haitumii bandwidth sana kama game nyingine za online..

Asanteni sana sijui nini na Tulizo. Nimepata hamu upya baada ya kunijibu maswali yangu. Nilikuwa nishachoka kuruka na kutua katika viwanja vya majuu kama San Francisco nk.

Na-upgrade rams zangu soon, narudi ktk game langu.

HKJK - Jomo Kenyatta International Airport..
vipo vingi tu vya kibongo..dar, kia, arusha, iringa , dom, mwanza na vinginevyo maana ukiwa online na ukiset terrasync on wakati wakufungua game yenyewe inakuwa inadownload automatic taswira ya eneo husika wakati wewe unaendelea ku fly eneo hilo..

asante sana sijui nini maana sasa imeruka na hakuna aram yoyote japo mwanzo zilinitesa sana sasa map imenishinda na kuhusu kutua inakuwaje maana nimepaishaa mpaka nikachoka nikaamua ku escape

Mkuu kutua sasa ni stori ingine..kwanza ni lazima ujue ni wapi unataka kutua ili ufanye landind procedure kwa usahihi..ili kujua ramani ya eneo husika unapokuwa unaruka pale juu kwenye menu click instruments then map(unaweza ku pause kwanza game kwa ku click small p) itakuletea ramani ya mahali ulipo na utaona airport zilizopo karibu yako...

unaweza ku zoom in and out kupata view nzuri na kulinganisha na uelekeo wa ndege yako..then chagua aiport unayoitaka kisha angalia runways zake zimekaaje na linganisha na uelekeo wako then unaweza kufunga map na ku unpause game kisha kuizungusha ndege mpaka ielekee kule unapotaka (hapa itabidi uwe una pause na kuangalia map kila wakati ili uende sawa) na inabidi uanze kuilenga runway ukiwa mbali sana hata kabla hujaanza kuiona runway yenyewe..

Kumbuka hii ni njia manual ya kufly kuitafuta airport ilipo ila kadri unavyozoea zipo njia za kufanya automatic route tangu unatoka unapoanzia mpka unachagua unapotaka kwenda kabla hata huja ruka na ukifika juu ukishaweka sawa ndege we una allow auto pilot inakupeleka na kukulengesha mpka unapoiona runway then wewe unakuwa ni kubalance altitude na speed ya ndege huku uki controll na rate ya kushuka chini ndege ili ishuke pale inapotakiwa si kabla ya runway au nje ya runway au baada ya runway...

Kumbuka hata katika real life piloting kwenye kutua ni ishu sana marubani wenyewe wanasema hivyo so usiogope ,,mi pia mara ya kwanza nilikuwa najifunza kutua popote tu..mara nimetua kwenye majengo huko, au nimeshafika chini kabla sijaiifikia runway, ua unakuta nimeshaipita kabisa runway ndo tairi zinagusa chini na nimecrash mara nyiiiiingi sana, maana kumbuka ndege inatakiwa ianze kutua tairi za nyuma kugusa chini na sio za mbele..tutaendelea kujifunza kdri mda unavyozidi kwenda...mi mwenyewe mpaka sasa bdao kutua huwa inanipa challenge sana..

Dah mmenipaje hamu ngoja niweke fifa 13 pending!!linahtaji comp lenye specs gani???

PC ninayotumia mimi ni toshiba dual core @2.20 ghz na ram 4gb, 250 hdd na inaplay very smoothly..sina uhakika sana wa specifications za game ila ntazicheck na kuziweka hapa.
 
Sasa ndugu icho ki middle button cha mouse mi cna mana natumia laptop, sasa sijui itakuaje! Yani ungekuwa upo pande za dar ningekutafuta ukanipa lecture kidogo
mkuu ukipata external mouse ndo itakuwa rahisi sana ndugu yangu maana unaweza ku zoom na ku set vitu kwa dashboard upendevyo..
 
Kaka tuko pamoja mi namalizia IGI 2 ila kama utataka mi mission Call of duty modern warfare, Far cry na Hitman zote...

Hizo simulation nazipenda ila napenda trucks simulation ndo naiweza sana.

Mkuu Loy MX hizo Games ulizozitaja unazo?? maana kama IGI hapo umenikumbusha mbali kweli kama unaweza kushare na mimi asante??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom