Kwa wapenzi wa Flight Simulation Games (Flight Gear)

Kwa wapenzi wa Flight Simulation Games (Flight Gear)

Baada ya kufanya mazoezi sana nilifanikiwa kurusha na kutua salama ndege ndogo na kubwa. Lakini nimeshindwa kurusha helicopter licha ya kusoma manual kwa kina.

Kuna ye yote aliyefanikiwa kurusha helicopter kwa kutumia keyboard tu?
aisee kwa helicopter ni ngumu sana kutumia keyboard...mi mwenyewe nilishajaribu sana tu na hata nilijaribu kutafuta tutorials zake kwa keyboard sjapata ...forums nyingi ukienda wanasema kwa kutumia keyboard ni sawa na impossible kurusha helicopter, ni ngumu sana.. vipi katika kurusha ndege ulitumia manual au autopilot..maana mi autopilot kwenye kutua pale inanigomea kabisa..ila kwa manual bila shida haswa kwa 777 - 200 ER...

Wakat wa kucheza kabla hata haijaanza Computer yangu ni
Os Win 7 32 bits
processor 2.2 ghz dual core
ram ni 4gb
imeinstall vizuri mkuu..na unatumia version gani ya software uliyoinstall..? maana nahisi labda setup uliyotumia haiko poa..au jaribu kwa ku run as administrator unapoaanza..
 
wakuu napendaga sana kucheza games sana sana za missions lakini juzi kati kuna mtu aliniletea EURO TRUCK SIMULATOR kiukweli nimelipenda sana mimi nilikuwa nauliza hilo Flight simulator linachezwaje maana ninalo ila sijui kulicheza

mkuu unishindi mimi hii game naipenda kuliko hata fifa yani naipenda sana sema niliyonayo ni demo so barabara nyingi zimefungwa lakini naipenda sana hasa hasa usiku mvua ikinyesha
 
mkuu itabidi niitafute hii ila lately nimetokea kuzipenda sana simulation games
 
aisee kwa helicopter ni ngumu sana kutumia keyboard...mi mwenyewe nilishajaribu sana tu na hata nilijaribu kutafuta tutorials zake kwa keyboard sjapata ...forums nyingi ukienda wanasema kwa kutumia keyboard ni sawa na impossible kurusha helicopter, ni ngumu sana.. vipi katika kurusha ndege ulitumia manual au autopilot..maana mi autopilot kwenye kutua pale inanigomea kabisa..ila kwa manual bila shida haswa kwa 777 - 200 ER...

imeinstall vizuri mkuu..na unatumia version gani ya software uliyoinstall..? maana nahisi labda setup uliyotumia haiko poa..au jaribu kwa ku run as administrator unapoaanza..

Mkuu nimeona graphics memory ya computer yangu ndo ndogo so.nimeshndwa kucheza
 
Jamani hebu msaada kdg, inakuaje nkiturn left kidogo tu ndege yaenda yote, na kila nkijaribu kuieka katika straight line haikai inaturn evrytym.... Msaada jamani... Natumia keyboard no joystick
 
Habarini..
kama ilivyo ada, watu wanapendelea games mbalimbali..wengine soka, wengine magari, wengine pikipiki wengine missions..sijui kwa wale wa hizi flight games...mimi ni mpenzi sana wa flight simulator games haswa flightgear.. na ningepende kujua kama kuna wengine waliopo huko ili angalau tuwe pamoja na kuweza kubadilishana ujuzi maana hii kitu tatizo lake si kama soka au magari..so many battons and so carefully with anything you touch la sivyo unacrash..

So nakaribisha wadau kama wapo tupeane maujuzi kidogo juu ya game hili...

Niko addicted na Flight Simulator - FSX.. kwa realism natumia mashine yenye complex addons..kama PMDG NGX na sceneries kibao.. muda mwingi na-fly na VATSIM.. kama unataka kubadilisha mawazo nitafute..
 
Wakuu mnanitamanisha ka comp kangu kana intel graphics card kamenigomea kabisa
 
... vipi katika kurusha ndege ulitumia manual au autopilot..maana mi autopilot kwenye kutua pale inanigomea kabisa..ila kwa manual bila shida haswa kwa 777 - 200 ER...

Hata mimi huwa natumia manual, AP inahitaji setting kwanza, mimi bado sijaanza kuzifuatilia...vipi uruka na kutua viwanja vya ughaibuni tu au na vya nyumbani East Africa ( home scenario)?
 
Jamani hebu msaada kdg, inakuaje nkiturn left kidogo tu ndege yaenda yote, na kila nkijaribu kuieka katika straight line haikai inaturn evrytym.... Msaada jamani... Natumia keyboard no joystick
 
Niko addicted na Flight Simulator - FSX.. kwa realism natumia mashine yenye complex addons..kama PMDG NGX na sceneries kibao.. muda mwingi na-fly na VATSIM.. kama unataka kubadilisha mawazo nitafute..

'Sceneries kibao'... Vipi ya viwanja vya East Africa zimo?
 
mkuu unishindi mimi hii game naipenda kuliko hata fifa yani naipenda sana sema niliyonayo ni demo so barabara nyingi zimefungwa lakini naipenda sana hasa hasa usiku mvua ikinyesha
mkuu mi ninazo crack na key generator ya Uero Truck 2 version 1.2.5 kama unatumia hii naweza kukupatia ila pia zipo nyingi sana kwenye torrents kama unaweza na ni ndogo sana...
 
Mkuu nimeona graphics memory ya computer yangu ndo ndogo so.nimeshndwa kucheza
pole sana ndugu yangu...

Jamani hebu msaada kdg, inakuaje nkiturn left kidogo tu ndege yaenda yote, na kila nkijaribu kuieka katika straight line haikai inaturn evrytym.... Msaada jamani... Natumia keyboard no joystick

mkuu inabidi uwe makini sana na maranyingi usipende kuangalia movement ya plane kwa kulinganisha na unavyoona ground..nakushauri sana tumia HUD displays zinazoonekana kusoma bending angle, altitude na speed(ndo maana ni vizuri kuendesha kwa kutumia view ya pilot na sio ya kwa nje)..hivihivi itakupa shida..afu inabidiuwe mtulivu sana..dont press a key na kutaka papo hapo ndege igeuke...hii sio gari..so jifunze kubalance movements za ndege tangu inaponyanyuka...all in all..it takes time kidogo usikate tamaa na mimi mwanzo ilinipa shida kidogo ila kwa sasa mkuu nainjoy sana..

Niko addicted na Flight Simulator - FSX.. kwa realism natumia mashine yenye complex addons..kama PMDG NGX na sceneries kibao.. muda mwingi na-fly na VATSIM.. kama unataka kubadilisha mawazo nitafute..
mkuu mi natumia sana flightgear..na mda mwingi huwa hewani..uzuri wa flightgear inaruhusu multiplayer online..ungekuwa huko hope tungekutana..

Hata mimi huwa natumia manual, AP inahitaji setting kwanza, mimi bado sijaanza kuzifuatilia...vipi uruka na kutua viwanja vya ughaibuni tu au na vya nyumbani East Africa ( home scenario)?
ya auto mi huwa natumia nikiwa juu tu na nimejaribu mara chache kutua nayo but huwa inanipeleka chaka..ila inasaidia sana kwenye kuku weka sawa na runways kwa urahisi..so nikishakaa sawa tu naweka manual..afu kutua manual nimegundua ndo utamu sana maana sometimes unaona kabisa hapa nimeshabugi inabidi unanyuke upige round ndo urudi tena...so funny..

'Sceneries kibao'... Vipi ya viwanja vya East Africa zimo?
mkuu vipo vingi tu..mi nisharuka sana dar, dom, kia iringa na vya kenya huko..sema ukitaka kuvifaidi kwa mara ya kwanza inabidi uwe kwenye net ili iweze kufanya syncing na maeneo unayoyataka na kupata latest muonekano wa hilo eneo husika..ila zipo..
 
Mimi napenda Missions sana kama kuna mtu anazo tunaweza anisaidie
 
Back
Top Bottom