sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,292
Habarini..
Kama ilivyo ada, watu wanapendelea games mbalimbali..wengine soka, wengine magari, wengine pikipiki wengine missions.. sijui kwa wale wa hizi flight games... mimi ni mpenzi sana wa flight simulator games haswa flightgear..
Na ningepende kujua kama kuna wengine waliopo huko ili angalau tuwe pamoja na kuweza kubadilishana ujuzi maana hii kitu tatizo lake si kama soka au magari..so many battons and so carefully with anything you touch la sivyo unacrash..
So nakaribisha wadau kama wapo tupeane maujuzi kidogo juu ya game hili...