Kwa wapenzi wa documentaries

kuna nyingine inaitwa mugabe and the white african. ni story ya mzungu aliyetaka kuporwa shamba lake na akaamua kwenda mahakamani. nilijifunza kumbe mtu unaweza kuishtaki serikali!. ni documentary nzuri sana
Suit against Government, mbona kawaida mkuu.
 
Nahitaji kucheki za kisiasa na kiuchumi..kuna zile za men's who build America ziko poa sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Safi hii.

#MaendeleoHayanaChama
 
Surviving the cut (inaonesha vikundi mbalimbali vya kijeshi vya Marekani na Training zao hadi ku qualify kwao. Nimeicheki mara kadhaa sasa, iko safi.
Salaam toka nchi jirani ✌️
 
Cocaine Cowboys. inahusu jinsi biashara ya cocaine huko Miami na machafuko yake huko Miami, miaka ya 80. documentary ya 2014 ia nzuri sana.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…