Kwa wapenzi wa documentaries

where to invade next. ni documentary ya Michael Moore. inaongelea mambo ambayo USA inaweza jifunza kutoka mataifa mengine.

 
Mkuu huu ndo ugonjwa wangu mkuu,nitazipataje hizi...am getting excited!
 
Mimi huu ndo ugonjwa wangu mkuu.Ambazo ninazo mpaka sasa hivi hapa;
1) Extreme engineering-Dubai Palm Island(walikuwa wanaonyesha jinsi walitengeneza kisiwa cha kifahari dubai ambacho hakikuwepo)
2) Fabolous life of rich billionaires
3) Thriller in manila (muhammad ali)
4) The true story of killing Pablo Escobar
5) Tyson
6) Made in America (Jay Z)
7) Dr.Dre-Behind the music
8) J.Cole-Made in America
9) Kendrick Lamar-Theses walls
10) Aphrosidiac-The sexual secret of marijuana
11) Gun, Germs and steel-conquest,into the tropics,out of eden(factor zilizofanya wazungu walivyoweza kuwa mbele kimaendeleo kuliko race zingine)
12) Human Planet-Grassland,jungle,seas,arctic,mountains,rivers(maisha ya binadamu katika mazingira hayo tofauti)
13) King Leopard Ghost-unyama wa king leopord huko kongo
14) Last days in vietnam
15) The assasination of Patrick Lumumba
16) Marley(maisha ya Bob Marley)
17) When we were kings (muhammad ali -kinshasa)
18) Terror in the mall-tukio la kigaidi West gate nairobi
19)American Pimps-Wauza malaya wa marekani
20)Soul power

Na nyingine nyingi.Sasa hivi nataka niachane na movie niangalie documentries tu kama 100
 
Mi napenda story za crime n how they were solved. Forensic files or forensic detectives. Forensic technology imefika mbali. I wish i was a cop
 
sherpa. inahusu wapagazi na upandaji wa mlima everest.
 
the world biggest flower market. inazungumzia jinsi business ya maua ilivyo. cc miss chagga

 
Mi napenda story za crime n how they were solved. Forensic files or forensic detectives. Forensic technology imefika mbali. I wish i was a cop
Nitajie filamu moja uliyo angalia hivi karibuni ili niitafute na kuiangalia weekend hii.
 


πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€...sorry mkuu ila hiki kitu kimenichekesha sana!!!
 
Kuna 42 ,inaongelea ubaguzi wa rangi ulivyotamalaki kipindi hicho ncjini Marekani, Jack Robinson anavunja mwiko na kuwa mweusi wa kwanza kucheza major league baseball,Alibaba shida balaa,
Halafu kuna hii ya mwaka huu ya the Race" ikimuongelea mwanariadha mweusi wa Marekani ,Jesse Owen ambaye katika michezo ya olympics 1936 alishinda medali tatu za dhahabu lakini bado serikali ya Marekani ilikataa kumtambua na kumthamini
 
winter on fire: hii iinahusu maandamano ya miezi mitatu ya wananchi wa Ukraine kuiangusha serikali ya Yanukovichy. ni nzuri, ipo organized na inasisimua sana.


Hii documentary nimeingalia nikaipenda sana. Scene nyingi zilikuwa na matukio halisi ya kipindi cha kutaka mabadiliko..
 
Home.
Inaelezea jinsi gani mazingira yanachafuliwa kwa shughuli za binadam. Kikubwa kweny documentary hii imechukuliwa sehem nyingi za dunia hii. Hadi tz maeneo ya kanda ya ziwa kwenye shughuli za uvuvi imeonyesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…