Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 29,967
- 32,262
Jamani kuna gesti moja mitaa ya huku Kigogo,inaitwa L**O*WO GUEST HOUSE,chondechonde,ukiingia na mke wa mtu lazima wakati wa tendo azimie,nasisitiza akiwa MKE WA MTU TU! Haijalishi kama ana tatizo la kuzimia au la,ila ukienda na mwanamke ambae hayupo ndani ya ndoa,mambo shwari.
Meneja wake amekiri kuwa tangu mwaka uanze hawapati wateja cozes ikiwa hiyohiyo,ila hata yeye anashangaa kwanini au wamewatupia "Vi-Ndumba"?
Angalizo: "MTU MMBEA SI MUONGO,BALI ANAFIKISHA UJUMBE BILA KUAMBIWA NA MWENYEWE"
Mwisho wa kunukuu.