Kwa wapendanao

Madame B

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
29,854
31,874
Jamani kuna gesti moja mitaa ya Kigogo,inaitwa L**O*WO GUEST HOUSE,chondechonde,ukiingia na mke wa mtu lazima wakati wa tendo azimie,nasisitiza akiwa MKE WA MTU TU! Haijalishi kama ana tatizo la kuzimia au la,ila ukienda na mwanamke ambae hayupo ndani ya ndoa,mambo shwari.
Meneja wake amekiri kuwa tangu mwaka uanze hawapati wateja cozes ikiwa hiyohiyo,ila hata yeye anashangaa kwanini au wamewatupia "Vi-Ndumba"?
Angalizo: "MTU MMBEA SI MUONGO,BALI ANAFIKISHA UJUMBE BILA KUAMBIWA NA MWENYEWE"
Mwisho wa kunukuu.
 
duh, natamani nipate mtu nikatest kama atazimia.

Anayezimia ni mwanamke? Au mwanamme? Au wote?
 
Ila sio siri katika pitapita zangu kwenye posti zako mleta mada nimeprove kwamba we mbea balaaa! duh!
 
wameshazimia wangapi ?, unajua wabongo tunapenda kukimbilia imani za kichawi wakati huenda kuna a viable explanation..

huenda vyumba vyao vinamatatizo either ya hewa au jambo lolote ambalo linawa-affect watu, hio ya kwamba ni wake za watu ndio wanazimia nina uhakika waenda guest wengi ni wake za watu hivyo wakizimia kumi kwa mwaka probability itakuwa kwamba tisa ni wake za watu..

Waambie jamaa wachunguze vyumba vyao na waache fikra za karne ya juzi
 
Ila sio siri katika pitapita zangu kwenye posti zako mleta mada nimeprove kwamba we mbea balaaa! duh!

We PetCash unasemaje,me mmbea?
Ntakuwa sileti mada ohoo!
Lakini sishangai pengine wewe akina "MArioo" so unakwepa mada kiaina,
Na subiri mwenyewe akukute umevimba na mkewe,utafahamu kwa nini mtu akiwa anavaa C**PI lazima akate kiuno.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom