Kwa Wanawake wote wa JF

Kwa Wanawake wote wa JF

Kwani ukimiwishi utapungukiwa nini mjomba lakini 😛🤗!!
Shikamoo mjomba!!
Marahabaaa shangazi wangu 😘😘😘
Nakuja kukunywesha mathiwa ya mtindi kwanza aunt yangu alafu badae uchague wapi ukasherekea siku yako
Screenshot_20230308_134752_Gallery.jpg
 
Mkuu Glenn kwa niaba ya Wanaume wote Tanzania especially tuliomo humu kwenye familia ya JamiiForums nikupongeze kwa andiko lako kwenye siku hii maalum ya Wanawake/Wake/Dada zetu Duniani. Umeandika maneno mazuri yenye kugusa hisia kwa kila binadamu mwenye utimamu wa akili na hisia. Binafsi nawaheshimu, nawapenda na ninnawathamini sana Wanawake haijalishi Mwonekano, hali ya kimaisha na Upeo wa kufikiria pamoja na mapungufu waliyo nayo. Nimepitia malezi Wanawake zaidi ya Wanne. Bibi mzaa Baba alinilea na kunidekeza sana, Mama yangu alikuwa ni mwenye sheria na mkali sana, kuna Mama ambaye alinilea na kunitunza kama mwanae wa kumzaa japo tulikuwa tunafanya kazi nyingi lakini tulikuwa tuna enjoy sana maisha ikiwemo kuvaa vizuri na kwenda sana vacation sehemu mbalimbali na kuna royal family pale visiwani Zanzibar kuna Mama naye nilipitia mikononi mwake na nilikuwa najitegemea lakini alinifundisha vitu vingi sana ikiwemo hii modern life na alinisaidia sana ku control hisia na mihemko yangu. Yote kwa yote Mwanamke ni binadamu muhimu sana na ndiye aliyekuja kuikamilisha hii dunia.
Nawatakia heri nyingi sana Wanawake wote.
Ubarikiwe sana kwa kuwajali na kuwathamini wanawake mkuu
 
Back
Top Bottom