Kwa Wanawake wote wa JF

Shukrani sana na sisi tunawaombea muwe
Waume wema kwetu
Walezi wazuri wa familia
Mababawema wa watotowetu
Mtusamehe somtym tunawavutuga🙏
Mengi tutaongea kwenye sikuyenu tunawapenda
 
🥰🥰🙏

Asantee G, tubarikiwe sote
 
😂😂😂 unawajua mashangazi wa Jf?
Me na sophy27 ndio makatibu wao
 
Ubarikiwe mkuu[emoji120].....special is what I felt
 
Mkuu Shimba ya Buyenze asubuhi pakikucha usijisumbue kumtakia heri ya siku ya wanawake mpwa wako sophy27 maana Mimi tayari nimekuwakilisha. Mwache tu asherehekee.
Tumeshapeleka mahari.

Mshindi atajulikana muda si mrefu ujao.

Hiyo stethoscope mabegani mwako na hiyo kanzu nyeupe havitakusaidia safari hii.

Mpwa wetu mwema ni wetu hata iweje 💪💪💪
 
Shimba ya Buyenze Sasa hivi amezima simu amelala. Wasukuma Ni loyal Sana na ndoa zao,siyo Kama nyie watu wa daslamu mpo kitandani saa nane usiku saa hizi mnachati badala ya kukumbatia Bibi.
Ugali unalaza. Una sukari nyingi na ule mpambano wa Insulin na gulukozi kwenye damu aisee ni lazima tu mtu ulale...

Ila uko sahihi. Sisi tunaheshimu sana ndoa zetu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…