Kwa wanawake wenye ndoa please suggest its important

Kwa wanawake wenye ndoa please suggest its important

[ameuza kampuni yake anapesa bank kaamua kupumzika wifi anaona Hana ambition .Wifi yangu Yale Graduate ila alikuwa house wife]
nyie wadhungu mna tabu thana, wifi Yale Graduate, halafu housewife... mwambie kwetu bongo ni nadra kukuta graduate anayeridhika kuwa hauz wife na kutegemea pesa za mume tu. Huku kwetu pesa zako ni zako tu, za husband ni zake
Wewe in USA we pay a lot of Tax here.mki make too much money you pay a lot of Tax .Ndio maana wake wa matajiri Kama sisi hatufanyi kazi .sasa hivi nikifanya kazi mshahara wangu Woote utaenda Kwenye tax .My hubby makes a lot of money .bongo kwa vipesa gani ?
 
Hehehe, yaani a proffessional house wife anamuita mumewe ambitionless? Hebu dadavua. Sorry' majukumu ya kifamilia siunajua tena mamii
we binti Mtambuzi umeniita huku af mwenye umepotea au na weye ushakuwa Invisible au Paw ila kweli mwaya ukikaa na waridi wanukia ati!
turudi kwenye mada!
huyo mwanamke anataka nini kwani?
hivi huwa tunafanya kazi ili tupate nini?
kama yeye alipokuwa house wife mumewe ahkuwahi kumuuliza ana ambition ganimiweje leo aje na hayo maswali!
ah nilisahau bana tunaongelea wazungu hapa bana!ambao kwako kitu chochote kile kinaweza kuwa grounda za divorce so ngoja tu nikae kimya!
ila si King'asti uliniambia nicomment kama african woman?BTW kuanzia leo nakubatiza jina la shirley au coleens!sawa?
 
Back
Top Bottom