Kwa wanawake wenye ndoa please suggest its important

Kwa wanawake wenye ndoa please suggest its important

Ok Nina wifi yangu jamani.aliolewa na mtu wa Iran lakini huyu mume wake alizaliwa USA hata Huko Iran hakujui.Huyu wifi yangu amesoma Yale university na hakufanya kazi tangia aolewe na mumewe.mume wake anapesa haswa .Sasa mume wake akauza kampuni yake na alimake almost 50 million dollars wakahamia Sydney Australia .Sasa huyu mume wake baada ya kuuza kampuni akaamua kukaa tu nyumbani Mara beach Mara golf .sasa wifi yangu (mzungu) Amefile for divorce eti mume wake Hana ambition yoyote tena na hawezi kuwa na mume asiyekuwa na ambition (wana watoto wawili).sasa hapa mnaona tatizo ninini? Wifi yangu very hard looking sio mzuri kabisa .Nilimuuliza Jana mwanaume wake akimrudia atarudi akasema lazima awe na kazi .Nyinyi mnahisi tatizo hapa ninini ? Nipo nae hapa amechanganyikiwa huyo anamwelleza kila mtu tatizo lake anataka kusikia point view ya African women .Ahsanteni

Mimi ni mwanaume hivyo mwambie hii ninayokupa ni mtazami wa mwanaume mmoja wa kiafrika tena wa kijijini kabisa. Mimi naona hili ni suala la Mkuki kwa nguruwe. Wakati mume anahangaika kutafuta pesa yeye aliona raha kukaa tu nyumbani na kula pesa ya mume bila kazi pamoja na kuwa na elimu yake. Mume ameamua kupumzika a-enjoy pesa yake mke hataki anataka divorce. Labda aseme tu kuwa utendaje wa mume kwa yale maeneo yetu ya msingi ya ndoa umeshuka.

Kwa haraka haraka mimi naona huyu jamaa anajipanga kutoka upya kwa nguvu zaidi, ari zaidi na kasi zaidi. Kama aliweza kutengeneza pesa nyingi akiwa US hatashindwa kutengeneza pesa iwapo ataamua kufanya hivyo hapo baadaye. Ila kwa sasa amuache apumzike na kula matunda ya jasho lake kidogo.

Ushauri wangu ni kuwa yeye abaki kwenye ndoa yake ila atafute kazi za kufanya kulingana na elimu yake na awe na ambitions zake binafsi sio kutegemea za mme wake.
 
unakaa na wazungu, unadate wazungu and you start thinking kuwa wewe ni mzungu. Mbona kila saa na tikisa my hair, and i nod at every sentenso! Soon i am becoming russian (au warusi nao ni wazungu?)
umesahau kujichuna na mkorogo wa kikongo, unakua white zaid ya zeruzeru wa kidhungu
 
ungeanza kumuuliza wifi yako zaidi ya ugolikipa, ambition yake ni ipi?

Tax issues .mwanaume na mke wakiwa wanatengeza pesa sana mtaishia kulipa tax.Kusema ukweli wifi yangu babu Yao alivyokufa ali inherit a lot of money na nyumba so she have money .Yeye na hisi ni wale traditional marriage
 
King'asti unanifurahishaga sana when it comes to Natalia.
Natalia mwambie wifi yako kwanza she removes the log in her eyes. Awe ambitious atafute kazi ajenge maisha yake. Her husband is doing what he wants with his life. Ambitious my foot.
Wifi yangu ni trust fund baby.She Ali inherit a lot of money kutoka kwa babu Yao .na babu Yao ameacha clinic kibao Hana shida ya pesa.mume wake Kwenye ku file divorce anataka part of her inheritance .
 
Mie Mtasha na nimeolewa na mbongo 10 yrs ago na nimeanza kuwa kama African women can I advice??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mie Mtasha na nimeolewa na mbongo 10 yrs ago na nimeanza kuwa kama African women can I advice??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Duh kumbe neggirl we mtasha? Heheeee
 
Last edited by a moderator:
Tax issues .mwanaume na mke wakiwa wanatengeza pesa sana mtaishia kulipa tax.Kusema ukweli wifi yangu babu Yao alivyokufa ali inherit a lot of money na nyumba so she have money .Yeye na hisi ni wale traditional marriage
mmarekani huyo
 
Imeandikwa, 'nyumba na mali ni urithi apewao mtu na baba yake bali mke mwema na mwenye busara mtu hupewa na Bwana'
Pia 'Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake bali mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe'
Hutakuta sehemu katika maandiko ninayoyaamini mimi ikimtaja mwanaume kama mjenzi au mtunzaji wa nyumba. Kama anataka kuendelea na ndoa hiyo ni yeye wa kuijenga. Ana ile 'nguvu yetu ya ushawishi' iliyomfanya Samson akaingia mkenge, akiitumia vizuri mumewe anaweza fanya kazi. Inawezekana ana lengo zuri, ana 'secure' future ya wanae lakini alitumia 'wrong approach' kama mwanamke.
Kama mumewe hataki kujishughulisha yeye ajishughulishe zaidi, atengeneze hela kumzidi mumewe, mumewe atainuka tu najua wanaume wengi hawapendi kuzidiwa kipato na wake zao regadless ni mzungu au mweusi.
Ni hayo tu kwa sasa.
 
Biblia haipo Kwenye sheria ok .Divorce Za Huku sio Za bongo .Jesus came for poor people (mtu maskini akifa anaacha madeni)?
 
Mimi si mwanamuke ya Africa. Lakini kunako usawa ile ya jinsia. Unajua hiyo kaka yako inataka mutu aseme amwache huyo mmarekani. Yeye itaolewa naye na itatunza wale watoto bila shida.

Lakini hapa mjue kwamba mapenzi ni zaidi ya pesa. Hiyo mwanamke mzungu nataka mme active. Siyo kukaa tu nyumbani duani ajlli mutu anahela. Huo ni udumavu ya akili na kukosa ubunifu. Mutu kama nakosa mchangamfu ya akili iko nakuwa dhaifu hadi mwili na akili na hiyo inaboa sana ndiyo maan ile Mzungu nataka kuchapa mwendo.

Kazi si pesa tu na pia inafanya afya ya mwili na akili nakuwa timamu musuri.

Mwambie hiyo kaka afanye kazi hata kama hana shida hela. Hiyo ndiyo watu wengi wenye akili napenda. Tena hapan achana muke yake. Atatesa watoto.

Hiyo African women kama nataka kusikiaa kwao, atasikia wengi wakitaka waolewe wao. Lakini ajue atakuwa anaoa economic refugee!. Aende Kilimanjaro ama Mbeya. BUT IN NO TIME, ATAJUTA KWA NINI ALIKUWA MVIVU KUTAFUTA KAZI ILI ASIPOTEZE MUKE WAKE. ATAPATA ECONOMIC PARTNER LAKINI SIYO HEART MATE!.

SAURI YAKO WEWE MWENYE KAKA ENDEKEZA WANAWAKE WENZIO YA KIAFRICA!. UTAPOTEZA KAKA. ITAKUWA MORE FRUSTRATED NA HAITAKUWA MAISHA MENGI. ACHA RONGORONGO ZA WANAWAKE. MWAMBIE ATAFUTE KAZI ILI AWE BUSY KUSUDI BIBI YAKE ASIENDE!.
 
Mimi ni mwanaume hivyo mwambie hii ninayokupa ni mtazami wa mwanaume mmoja wa kiafrika tena wa kijijini kabisa. Mimi naona hili ni suala la Mkuki kwa nguruwe. Wakati mume anahangaika kutafuta pesa yeye aliona raha kukaa tu nyumbani na kula pesa ya mume bila kazi pamoja na kuwa na elimu yake. Mume ameamua kupumzika a-enjoy pesa yake mke hataki anataka divorce. Labda aseme tu kuwa utendaje wa mume kwa yale maeneo yetu ya msingi ya ndoa umeshuka.

Kwa haraka haraka mimi naona huyu jamaa anajipanga kutoka upya kwa nguvu zaidi, ari zaidi na kasi zaidi. Kama aliweza kutengeneza pesa nyingi akiwa US hatashindwa kutengeneza pesa iwapo ataamua kufanya hivyo hapo baadaye. Ila kwa sasa amuache apumzike na kula matunda ya jasho lake kidogo.

Ushauri wangu ni kuwa yeye abaki kwenye ndoa yake ila atafute kazi za kufanya kulingana na elimu yake na awe na ambitions zake binafsi sio kutegemea za mme wake.

Tatizo wewe kujaelewa. Jamaa anapesa wala si kwamba maisa nasumbua. Mke hataki mme idle!. Anapenda mme active!. Suala lakazi kwake si sababu hana pesa. Anataka active man bro!
 
Tatizo wewe kujaelewa. Jamaa anapesa wala si kwamba maisa nasumbua. Mke hataki mme idle!. Anapenda mme active!. Suala lakazi kwake si sababu hana pesa. Anataka active man bro!

Tabby wala sina tatizo la kuelewa. Kwa mujibu wa mleta mada huyu jamaa yuko anajishughulisha na golf na kwenda beach bila shaka kuogelea na kuota jua. Haya yote ni mazoezi yanayomfanya awe active na busy nje ya maeneo ya nyumbani kwake. Huyo mama akisema jamaa ame kuwa idle kwenye zile shughuli zetu za kiutu uzima ndani ya chumba cha kulala tutamuelewa. Vinginevyo huyo jamaa hana tatizo shida iko kwa mama ambaye inaonekana ndiye yuko idle.
 
Natalia bwana. Nimeipenda hiyo very hard looking. Yaani sura ngumu! Sasa view ya african woman si angeipata kwako, ama they dont consider you an african woman any more? Halafu mumewe hana ambition yoyote. Yeye ana ambition gani?
Kongosho na snowhite, hebu mje african women. Mie nshakuwa mzungu.

nani? Natalia awe african woman?
teh! unacheza wewe..........hapo hamna lolote huyo h/wife anaambition gani? huyo anataka tu wagawane hayo madolare ya mumewe, huyo mwanaume akili kumkichwa tu hapo.
 
Last edited by a moderator:
Mimi personal nahisi mume wake penzi limeisha .Kwa sababu mume wake Bado Tajiri halafu mume ana girlfriend tayari.Kusema ukweli havitii wifi huyu

Havutii kwako au kwake? ye alimpendaje tangu mwanzo? tehe tehe
 
50 MILLION DOLLARS!!!!NI KULA BATA HADI KUKU WAONE AIBU......!!HUYO MZUNGU ANGEOA JIMAMA SHANKUPE MOJA LA PALE MWANANYAMALA.....HILO NI FUUL BATA MPAKA LIUGUE PRESHA KWA AJILI YA POMBE NA MNYAMA!!!AMBITION MY FOOT....:majani7:
 
Ameasahau maneno aliyotamka mbele ya watu kipindi cha ndoa yao
"Nimemkubali X.Awe mume wangu, katika shida na raha, tabu na magonjwa mpaka kifo kitutenganishe.Eee Mwenyezi Mungu nisaidie."
Arudi kumuomba mwenyezi Mungu amsaidie kuinusuru ndoa yake kipindi hiki cha majaribu.Kama anashindwa kumvumilia mwenzake na kumwambia hana Ambition, yeye atueleze,ambition yake imekuja baada ya mmewe kuacha kufanya kazi.Maisha kuchukuliana bhana.
Siongei mengi lakini kweli tujifunze kauli tunapojaribu ku reconcile jambo fulani na mpenzio au mwenzi wa ndoa.
 
Tabby wala sina tatizo la kuelewa. Kwa mujibu wa mleta mada huyu jamaa yuko anajishughulisha na golf na kwenda beach bila shaka kuogelea na kuota jua. Haya yote ni mazoezi yanayomfanya awe active na busy nje ya maeneo ya nyumbani kwake. Huyo mama akisema jamaa ame kuwa idle kwenye zile shughuli zetu za kiutu uzima ndani ya chumba cha kulala tutamuelewa. Vinginevyo huyo jamaa hana tatizo shida iko kwa mama ambaye inaonekana ndiye yuko idle.

Pengine bibi inapenda maneno ile inahusiana na socio-economic agendas kuliko ile namuna mtu naweza kujenga misuri.
 
[ameuza kampuni yake anapesa bank kaamua kupumzika wifi anaona Hana ambition .Wifi yangu Yale Graduate ila alikuwa house wife]
nyie wadhungu mna tabu thana, wifi Yale Graduate, halafu housewife... mwambie kwetu bongo ni nadra kukuta graduate anayeridhika kuwa hauz wife na kutegemea pesa za mume tu. Huku kwetu pesa zako ni zako tu, za husband ni zake
 
Back
Top Bottom