Kwa wanawake wa siku hiz hili limekaaje

Kwa wanawake wa siku hiz hili limekaaje

minze manonu

Member
Joined
Nov 27, 2013
Posts
50
Reaction score
16
Kwa nin wake zetu wanaagiza kila kitu kifanywe na house girl, utakuta dada wa kaz anamlea mtoto, anapika, anafua, anafanya usafi mpaka chumban, anaandaa chakula cha baba mezana an anamfungulia baba mlango, hv hii imekaaje wana janvi
 
wamama wazamani hawakuwa na ajira rasmi huko kuofisi ndio maana haya hayakuwepo,sasa leo hii mnarudi wote saa tatu mmechoka mnaingiza kipato karibu sawa kabisa pengine kakuzidi mambo yake na pengine ya nyumbani ana finance mwenyeewe,obviously uanaume utapungua thamani.ANATAFUTWA mchawi ila kipato ni chanzo kikubwa cha mambo haya HASAHASA kama mke mwenyewe hana hekima ya kuzaliwa nayo mwenyewe,upo hapo!!
 
Hyo inaitwa Digital life!!but mkuu haijakaa vzur hyo cz itafkia kipnd housegal anaisaidia mpaka yale mambo cha sita kwa sita!!
 
Kwa nin wake zetu wanaagiza kila kitu kifanywe na house girl, utakuta dada wa kaz anamlea mtoto, anapika, anafua, anafanya usafi mpaka chumban, anaandaa chakula cha baba mezana an anamfungulia baba mlango, hv hii imekaaje wana janvi

Kwanini waume zetu wanaagiza house boy kufanya kazi za kukatia fence, kuprun miti, kuosha Magari, kufungua geti, kufanya maintenance ndogondogo mfano kubadili taa , kuwasha generator umeme ukikatika, kufungulia mbwa usiku, kurekebisha bomba linalovuja, kutengeneza wash lines, na kuweka driver akuhudumie?
 
Hayo mambo yote yalikuwa yafanywe na mwanamme, bahati yenu tunakubali muweke ma housigeli. Halafu ei mnalalamika.

Kazi yetu ni kujipamba na kuwabebea makinda yenu miezi 9 tumboni, zilizobaki zote zenu, tukifanya tunawasaidia tu.
 
Ha ha ha haaaaaaaa FaizaFox umeua lol! Eti bana kazi yetu ni kujipamba, kujisexisha, siyo kutafuta kwa jasho au kutumia misuli!
Twatakiwa tuwe walaiiiiini na flexible kwa shughuli ya kitandani pamoja na kuifanya adhabu yetu ya kuzaa kwa uchungu tukiifurahia kama tufanyavyo lol!
 
ni upuuzi pia ukiwa baba mume kisha ufanyiwe kila kitu na dada msaidizi wa kazi au mwanamke Ndio kama hawa wa digitali , balaa ....
 
haijakaa pouwa kabisa.......... kutokujielewa ndo maana wababa wanaamia kwa housegirl hata awe na chongo unaona mzee anapiga tu..............
 
yaani hapo kwa sisi wanaume huwa tunawazidishia mishahara hao mahouse girl ili wamsaidie wife hata katika 6*6.....
House-s-Girl-Do-not-touch-huddy-7698783-800-900.jpg
 
Hili suala la house girl ni changamoto sana, kwenye haya maisha ya kizazi kipya, ukikuta Mama anajishughulisha na baba naye hivyohivyo, lazima kuwa na wasaidizi wa nyumbani. Kama ikitokea nikioa golikipa sitakubali kuwa na house girl nyumbani kwangu, nawashangaa sana hawa akina mama/dada walioolewa ambao hawajishughulishi na kazi yoyote ya kuingiza kipato, eti nao wanakuwa na mahouse girl nyumbani kwao kuwaingiza gharama za bure tu waume zao.
 
Kwanini waume zetu wanaagiza house boy kufanya kazi za kukatia fence, kuprun miti, kuosha Magari, kufungua geti, kufanya maintenance ndogondogo mfano kubadili taa , kuwasha generator umeme ukikatika, kufungulia mbwa usiku, kurekebisha bomba linalovuja, kutengeneza wash lines, na kuweka driver akuhudumie?

Zinahusina vipi Na mapenzi hizo, kaongelea kupikiwa, kutengewa, kufuliwa Na hatimae kutandikiwa kitanda, Tn Vzr kuliko my wife wangu
 
Hili suala la house girl ni changamoto sana, kwenye haya maisha ya kizazi kipya, ukikuta Mama anajishughulisha na baba naye hivyohivyo, lazima kuwa na wasaidizi wa nyumbani. Kama ikitokea nikioa golikipa sitakubali kuwa na house girl nyumbani kwangu, nawashangaa sana hawa akina mama/dada walioolewa ambao hawajishughulishi na kazi yoyote ya kuingiza kipato, eti nao wanakuwa na mahouse girl nyumbani kwao kuwaingiza gharama za bure tu waume zao.

Hivi jamani bado kuna wanawake wa dunia ya leo ambao hawajishughulishi na chochote wapo nyumbani tuu? Kama wapo wana wajibu kwa shughuli tajwa ila bado wana hitaji wasaidizi, kutegemeana na ukubwa wa familia au idadi ya watu waliopo kwenye Nyumba husika.
Kazi za nyumbani zinachosha kama kazi nyingine!
 
Zinahusina vipi Na mapenzi hizo, kaongelea kupikiwa, kutengewa, kufuliwa Na hatimae kutandikiwa kitanda, Tn Vzr kuliko my wife wangu

Hata sisi hizo zinaongeza mapenzi kwetu Ke kama ninyi kupikiwa na kuogeshwa zinavowashika lol!
 
Kwa nin wake zetu wanaagiza kila kitu kifanywe na house girl, utakuta dada wa kaz anamlea mtoto, anapika, anafua, anafanya usafi mpaka chumban, anaandaa chakula cha baba mezana an anamfungulia baba mlango, hv hii imekaaje wana janvi

Ndio maana manaume mengine yanawamalizia na kazi ya mwisho kabisa ile ya kupinduana
 
Back
Top Bottom