Kwa wanawake wa Bongo hiki kitu hakiwezekani

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
57,913
Reaction score
133,926
Mwaka 2014, rapa Gucci Mane alimkabidhi mpenzi wake, Keyshia Ka’oir, dola milioni 2 ambazo ni sawa na (Tsh. Bilioni 5) za mwisho kabla ya kuelekea gerezani.

Badala ya kutumia fedha hizo, Keyshia alizigeuza kuwa mtaji, akizalisha biashara na uwekezaji uliomrudishia dola milioni 6 ambazo ni sawa na ( Tsh. Bilioni 15)

Miaka kadhaa baadaye Gucci alipoachiwa huru, alikuta kila kitu kikiwa kimeongezeka, na Keyshia akamrudishia kiasi cha pesa alichompatia.

Kwa sasa wawili hao ni Wanandoa na wanaendelea kujenga utajiri kwa pamoja.

My Take

Kinawezekana!
 
Bongo Hata K unaikuta umeongeza ukubwa sembuse pesa?
 
Huyo bidada alimpenda mchizi ile kinoumaa!!
Ali fall in love kwa mwambaa.
 
Back
Top Bottom