u ar my blessing wifi,lol
nausubiria mzigo wangu, na ww kwa vi-surprise kama kakako! thanks in advance
Nimesikia kaka yake amepewa offer ya kazi kwenye wizara ya Jairo. LOL
aaisee... labda mwenye ali chose wrong...lol... My mine does all the heavy lifting...
tena kwa kupenda kabisa.. maana hataki nihangaike pande hizo...lol
Inabidi afanyiwe mpango ahamishiwe wizara ya Jairo. Kutakuwa na kusukuma magari sana pale. Tena haya ya VX, nk need people who do heavy lifting. LOL.
Wee ndo unanirahisishia... you goodness makes me want to be good to you....lol
C bora kakangu ni wizara moja ofisi mbali mbali... baada ya uchunguzi wa kina nasikia
wee ndo huyo the forth toka kushoto... hivo uko katika black list ya all the ladies wameona hio picha...lol
Nimesikia kaka yake amepewa offer ya kazi kwenye wizara ya Jairo. LOL
Itabidi tumuulize King anasemaje kuhusu hilo... maana mie hua siwaingiliii saana... ila sababu i want my man to get leaner (as per your article..) ngoja nikamuingie wangu aende apate kazi pale... good for the health you know.. with all this cardio and stuff...lol
Itabidi tumuulize King anasemaje kuhusu hilo... maana mie hua siwaingiliii saana... ila sababu i want my man to get leaner (as per your article..) ngoja nikamuingie wangu aende apate kazi pale... good for the health you know.. with all this cardio and stuff...lol
He he hee. Mie dakitari alinishauri since last month nisibebe au kusukuma vitu vizito. Kama vile alijua, maana naona naanza kusingiziwa. LOL. Dah! Baba anarudi home, mara mtoto anamwambia? "Daddy, I saw you on the telly pushing a car. Was that our car? Did it broke down? " Na kama han gari: "whose was that car you were pushing on the telly for?" Mama watoto yuko pembeni anasubiri details answers.
Yea atasaidia kuzungusha na zile umeme tupate umeme. LOL
carrying me around the house is enough to tone his good muscles. he doesnt need kibarua cha kusukuma magari,lol!
emt, kakae ashadii is too much a man for jairo and their like! hajui kulamba viatu, a truly african man! if it was nt for him, i would have crossed over,lol
:embarrassed:
Ni sendozi zile, lazima atakuwa na fungas miguuniSio sendosi zile? Hayo umeniacha kwenye kona. Fafanua kidogo.
Umeme uletweee??? na zile container zao za majenereta nani atanunua??Yea atasaidia kuzungusha na zile umeme tupate umeme. LOL
King'asti unafikiri watu wananzaje kulamba viatu? Kila kitu kina mwanzo even to the truth African men. Lakini hii picha inaweza ku substantiate claims zenu kuwa wanaume wa siku hizi wamepungua ule u true man.
On the other hands, imagine kama waliambiwa wasukume gari halafu wakatae na kufukuzwa kazi. Arudi home jobless. Hakuna wanawake ambao wangesema ni heri ungesukuma tuu hiyo gari kuliko kupoteza kazi? Utasikia mwanaume gani hawezi hata kusukuma gari?
Wifi yako naona ha-mind mtu wake kusukuma gari. Itabidi nitangaze kazi ya Car Pusher. LOL
ha ha ha... What do you answer to such questions... You pretend like you don't perceive of what the kid is inquiring about... and you go like... hey, did mom do anything in particular today?? lol... as if you are interested in the feed back....