for life
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 3,397
- 4,440
kwa kusema ukweli nlo mtoa mimi bado napiga kuna siku nilikuta ananiongelea mimi vbaya eti hawezi tena na mimi nkasema ngoja njaribu nkarudi kumuulza mbna unaniongea vbaya kakataa kata kata eti si yeye alonambia anamsingizia while nmemsikia kwa sikio langu nkapiga tena ndo nkaja kuamin huwa n maneno ya kwenye vibao kata tuu hyo ukitaka mbona unaenda kupopoa kama hautaki vle