walikuwa wengi
Hivi ikatokea mtu ambae alikutoa bikira anarudi anakuomba mechi na unakuta umeolewa au una mpenzi wako.
Je, utampa mechi au utamtolea nje?
Zamani nlikua napata tetesi kua mwanamke ukimtoa bikira hata akaolewa ukimuomba mechi za ugenini anakupa.
Je, kuna ka ukweli wadau?
Akina nani?
walioandamana
Kwenda wapi?
Yeah nina list ndefu mnoooo, hata wa last year tu simkumbuki huyo wa kwanza ndio tamkumbuka kweli???
Bebi...mzima?Hata hivyo msafiri hawezi kusahau alikoanzia safari na anakomalizia safari. Vituo vingine vya njiani si rahisi kuvikumbuka sababu wakati mwingine, huvipita akiwa amesinzia.
Bebi...mzima?
Aiii simpi, kwani kunitoa bikra ndio kawa owner wa my papuchino?? Tena namtoa baru hathubutu tena kujileta nyambaafu!! Ukiondoka umeondoka na nakusahau hakuna kurudi.
Kwanza hata aliyenibikiri simkumbuki sijui ni nani vile!!!
Nipo vizuri mama, sijui wewe huko uliko.
Hata hivyo msafiri hawezi kusahau alikoanzia safari na anakomalizia safari. Vituo vingine vya njiani si rahisi kuvikumbuka sababu wakati mwingine, huvipita akiwa amesinzia.
Nimeota utakuwa ulianzaga kwenye kombolela na wakakupiga mtungo ndiyo maana haukumbuki ni nani mhusika hasa
Sio kweli! mwanamke bikra ni yule ambaye hajawahi kufanya mapenzi full stop...virginity is a condition not an objectUbikira unavunjwa na mambo mengi. Unaweza kuvunjwa kwa kukimbia, kuride baiskeli, kufanya mazoezi, hata kufanya mapenzi.
Kwa hivyo usijishaue, uringe eti ulimbikiri, kumbe uli,,,,,.
NB. It has been scientifically proven that mtu anaweza kulala na mwanamke lakini asimbikiri.
Hapa mnaongelea nini?
Et ikatokea mtu ambae alikutoa bikira anarudi
anakuomba mechi na unakuta umeolewa au una
mpenzi wako.
Je, utampa mechi au utamtolea nje?