hapa kazitu
Member
- Aug 29, 2015
- 19
- 2
Inategemea alikutoa kwa njia ipi kama alufuata procedure na mliachana labda utoto tu kwanin .......
Na Ni Kweli Hata Ukimuuliza Babu Sea Atakupa Stori
Umesema Mapenzi Yanarun Dunia.Nakukubalia Na Ndo Mana Nasema Kamuulize Babu Sea Atakupa Stori Za Mapenzi Na Namna Yalivompeleka Kuule Segera
Aiii simpi, kwani kunitoa bikra ndio kawa owner wa my papuchino?? Tena namtoa baru hathubutu tena kujileta nyambaafu!! Ukiondoka umeondoka na nakusahau hakuna kurudi.
Kwanza hata aliyenibikiri simkumbuki sijui ni nani vile!!!
Jamani Ukikutana Na Aliokutoa Bikira Mwambie Mumeo Unamuona Huyo?Ndo Kasafisha Shamba Ndo Mana Unalima Na Kuvuna Kwa Raha
Hivi ikatokea mtu ambae alikutoa bikira anarudi anakuomba mechi na unakuta umeolewa au una mpenzi wako.
Je, utampa mechi au utamtolea nje?
Zamani nlikua napata tetesi kua mwanamke ukimtoa bikira hata akaolewa ukimuomba mechi za ugenini anakupa.
Je, kuna ka ukweli wadau?
Hela apeleke kanisani/msikitini au kwa wenye mahitajiImagine Aliekutoa Bikra Ulimpenda Na Mnaonana Na Anahela Sana Afu Anakuambia Nataki Kimoja Tu Tukumbukie Enzi Zetu
Uongo wa hal ya juu hamkumbuk...bas umezionja nyng ww? mpaka unasahau nan wa kwanza
Hahahaaaa! Kwenye hayo mambo tunawadanganyaga na mengi hata usijiaminishe, nakumbuka nishawahi kumdanganya mmoja kuwa yeye boonge la master kitandani kumbe hamna kitu kabisaaaa, akajiona boonge la mtu kumbe hovyo kabisa. Huyo anakufarijigi tu.
Nuh! Wala sijaumia. Sijasema na huwa sisemi chochote offensive/dis-respectful against any woman. If it helps, Mama yangu, shangazi, na wanawake wote naowapenda pia ni ma-dame ndio. I just learned another important lesson. It was a nice discussion.