Cheating ni stage katika ndoa...what matters ni aftermath...
Ukisusa wenzio wala...
Kwanza kuwa na msimamo; na usipanic...mwanaume ku sex nje ya ndoa inaweza isimaanishe kuwa hampendi mkewe...ni udadisi tu...wakisikia wanawake wa Tanga sijuhi nini wanataka wajaribu...wakisikia wa bara sijuhi nini wanataka wajaribu...wakisikia wenye wowowo sijuhi wakoje wanajaribu...
Na in all these experiments wanakuta hakuna jipya...lakini usipotumia busara wanaondoka kimoja japo aendako anajua fika hakuna la ziada...
Ila ukigundua unachitiwa na ukatumia busara kumrudisha mumeo kwenye mstari...itakuwa historia...
Siri kubwa ni kutotoa nafasi...kaba mpaka penati...jumamosi ni mtoko wa familia (na watoto) jumapili ni wa baba na mama...huyo wa pembeni ata enjoy mda gani?
Ukiona mabadiliko jigeuze FBI...si kumlilia Mungu wakati katupa mbinu za kuwalinda waume zetu...
Kingine jipende ili aogope kuwa akikuacha asubuhi jioni umeshapata mume mwingine...
Hahaaaahahaaaaa! MARRIAGE IS A HYPOCRITICAL INSTITUTION INDEED! Basi yeyeakiwa ana dadisi K na wewe una dadisi. Sampuli za midushelele tu, akirudiunarudi ngoma droooo! Mwaga mboga nimwage ugali, Hii mambo unakaa kimya unaletewa watoto wa 3wa nje, mchezo sasa!
Shosti yangu Amber rose kimenuka tayari anamuacha Wiz khalifa! Hahaaa!

Hahaaaaa! Mchango wangu nimetoa very postive namba 3 pale juu! Mimi (nyumba ndogo) na ndugu yangu. nyumba kubwa ni wapinzani wa jadi! Nikitetea nyumba ndogo lazima anichallange na yeye nyumba kubwa kukifuka moshi lazima nije nivae kibwebwe! Hahahaaaa! Sisi ni kama Simba na Yanga, atarudi mwenyewe hapo mda si mda kunipa MAKAVU LIVE yangu utamuona!lara 1 ushauri gani huo mamy?...au kwa kuwa ww bado hujajaliwa mume?UTAPATA tu toa mchango positive kidogo.
kweli kuna point hapo kwamba kumbana na je kwenye masemina anaposafirisafiri? mana hapo ndo majanga yanapoanziaga.
and one should know the time to stay, walk away and to run...
Ingawa hawa ma star wana run hata pale walipotakiwa ku stay...sijui jeuri ya feza au umaarufu? ndio maana ndoa zao hazidumu kabisa...
Mfano Gabrielle alichitiwa na jamaa yake...japo hawakuwa kwenye ndoa...the girl is humble ndio maana leo ameolewa...
Jamaa inawezekana alikuwa trapped mpaka kuzaa lakini his love for Gabby bado iko pale pale....kwa wanaume sex should not be equated with love... a man can have sex with one lady while his heart is with someone else...
Ndio maana kuna wengine wanakuja wanalia humu nimempa mimba binti nisiyempenda nifanyeje...watu mnashangaa...kumbe yeye alikuwa after sex service....
Hahaaaaaa! Gaby mnafiki tu! Ulimsikia reasons for his first divorse? SILLY N STUPID! Sasa alishi dwa kumvumilia mumewe wa kwanza akaja kumvumilia huyu serengeti boy? Hahahaaaaa! Mapenzi kweli hayana kanuni!
Sawa nakubali wanaume hawawezi kukaa na mwanamke mmoja as a stage! IS IT FAIRKWA MWANAMKE.?
Hizo seminar ziko ngapi kwa mwaka? Wakati mwingine unatakiwa uwe na amani tu...you are the one!
Na nikisema kukaba mpaka penati sina maana ya kumyima uhuru...ni kumpumbaza na malovedove ili a enjoy comapny yako...
Nasema hivyo kwa kuwa ukianza kuweka masharti kama unayomwekea mtoto na yenyewe majanga...
Make him enjoy being around you...
Mfano kama anapenda kuangalia mpira Bar...jitahidi uwe unampa company mara kwa mara...hata siku haupo usitarajie kuna demu atachukua siti yako...
Mimi mume wangu naenda nae Bar japo sinywi zaidi ya glas ya wine...na unaona wasichana wanavyokodoa kwa wizi...naona wananiona nuksi...
Cheating ni stage katika ndoa...what matters ni aftermath...
Ukisusa wenzio wala...
Kwanza kuwa na msimamo; na usipanic...mwanaume ku sex nje ya ndoa inaweza isimaanishe kuwa hampendi mkewe...ni udadisi tu...wakisikia wanawake wa Tanga sijuhi nini wanataka wajaribu...wakisikia wa bara sijuhi nini wanataka wajaribu...wakisikia wenye wowowo sijuhi wakoje wanajaribu...
Na in all these experiments wanakuta hakuna jipya...lakini usipotumia busara wanaondoka kimoja japo aendako anajua fika hakuna la ziada...
Ila ukigundua unachitiwa na ukatumia busara kumrudisha mumeo kwenye mstari...itakuwa historia...
Siri kubwa ni kutotoa nafasi...kaba mpaka penati...jumamosi ni mtoko wa familia (na watoto) jumapili ni wa baba na mama...huyo wa pembeni ata enjoy mda gani?
Ukiona mabadiliko jigeuze FBI...si kumlilia Mungu wakati katupa mbinu za kuwalinda waume zetu...
Kingine jipende ili aogope kuwa akikuacha asubuhi jioni umeshapata mume mwingine...
Lazima ujiweke in such a way mumeo anakuwa na wasiwasi wa kukupoteza...ukiona wivu mumeo hana jiulize...labda umejiachia umechuja...