Kwa wanawake tu: Let's face it!

Hapa nimetia maguu kwa mapana, mbali na mkwara wa mtoa mada kua for ladies only.

Mwanaume tutakua ni waangalizi/watunzaji/waleaji/viongozi wa wanawake mpaka mwisho wa dunia.
Hivyo msituwekee mipaka katika yanayowahusu.

Tunalazimika kuingia ktk faragha zenu zozote zile.
Hapa nawaachieni wosia mmoja tu, kwamba mjaribu kureduce artificial materials.
Mfano Sidiria mnazovaa faida yake nini ?
Sanasana ni kuunyanyua Mtindi uliokwisha kua more advance!
Kama Tindi limeshadondo ndiyo limedondoka tu!
Unapolinyanyua huoni ni kujidanganya mwenyewe? Na kuwadanganya wanaume?
Toshekeni na matokeo ya wakati .
 
Judgement, mwanamke havai sidiria ili ampendezeshe mwanaume, bali ayahifadhi kwa uzuri matiti yake, na avae nguo yake nzuri impendeze.

Unataka wasivae sidiria watembee titi lipo kiunoni????????
 
Last edited by a moderator:
ukiona hutumii v2 vng kama ulivyovtaja hapo na bado unaonekana umependeza na unavutia! bt ukiwa wew huwez kutoka bila kufanya yote hayo ujue hapo huna natural beauty! Huwez kuish without using those artificial thngs bt the less you use them is the more you are natural!

Kumbe mie mrembo Na natural. Natoka bila hayo madude, hafu nakuwa mwaaa.
 
ukiona hutumii v2 vng kama ulivyovtaja hapo na bado unaonekana umependeza na unavutia! bt ukiwa wew huwez kutoka bila kufanya yote hayo ujue hapo huna natural beauty! Huwez kuish without using those artificial thngs bt the less you use them is the more you are natural!

Kuna dada mmoja wakati tukiwa chuo, hatoki bila mapoda, hata Kama boyfriend wake ameenda Kumtembelea room atasubirishwa mlangoni mpaka ajipakae. People are not natural.
 
Hapa nimetia maguu kwa mapana, mbali na mkwara wa mtoa mada kua for ladies only.

Mwanaume tutakua ni waangalizi/watunzaji/waleaji/viongozi wa wanawake mpaka mwisho wa dunia.
Hivyo msituwekee mipaka katika yanayowahusu.

Tunalazimika kuingia ktk faragha zenu zozote zile.
Hapa nawaachieni wosia mmoja tu, kwamba mjaribu kureduce artificial materials.
Mfano Sidiria mnazovaa faida yake nini ?
Sanasana ni kuunyanyua Mtindi uliokwisha kua more advance!
Kama Tindi limeshadondo ndiyo limedondoka tu!
Unapolinyanyua huoni ni kujidanganya mwenyewe? Na kuwadanganya wanaume?
Toshekeni na matokeo ya wakati .

Judgement hivi pata picha kwa mdada huyo unayesema tindi limedondoka hafu hajavaa sidiria, kavaa blauzi yake nyeupe au laini amekuja ofisini. Sikubaliani Na wewe kwa hili, sidiria ya muhimu no matter tindi limedondoka au bado saa Sita.
 
Samahani, nimekosea njia.

tuzo-5.jpg
30.jpg
 
Hapa nimetia maguu kwa mapana, mbali na mkwara wa mtoa mada kua for ladies only.

Mwanaume tutakua ni waangalizi/watunzaji/waleaji/viongozi wa wanawake mpaka mwisho wa dunia.
Hivyo msituwekee mipaka katika yanayowahusu.

Tunalazimika kuingia ktk faragha zenu zozote zile.
Hapa nawaachieni wosia mmoja tu, kwamba mjaribu kureduce artificial materials.
Mfano Sidiria mnazovaa faida yake nini ?
Sanasana ni kuunyanyua Mtindi uliokwisha kua more advance!
Kama Tindi limeshadondo ndiyo limedondoka tu!
Unapolinyanyua huoni ni kujidanganya mwenyewe? Na kuwadanganya wanaume?
Toshekeni na matokeo ya wakati .

Sawa kabisa mkuu. Waambie mwanamke kuupuna bana!!

attachment.php
 
Kuna dada mmoja wakati tukiwa chuo, hatoki bila mapoda, hata Kama boyfriend wake ameenda Kumtembelea room atasubirishwa mlangoni mpaka ajipakae. People are not natural.
ueona sasa mtu kama huyo akiolewa atakuwa akiamka tu anakimbiliadressng table kabla mme wake hajaamka!! ili aji podo kwanza!! kaz kwelkwel
 
sidhani kama Mwali alimaanisha ivo naona kama mumemuelewa tofauti sana ......kiukweli hata alivovitaja hapo ni vidogo sana mbona ...sasa kataja vichache imekua balaa angetaja vyote je si ingekua tafrani kabisa
 
Last edited by a moderator:
sidhani kama Mwali alimaanisha ivo naona kama mumemuelewa tofauti sana ......kiukweli hata alivovitaja hapo ni vidogo sana mbona ...sasa kataja vichache imekua balaa angetaja vyote je si ingekua tafrani kabisa
jamani cute mbona si mwali tumemuelewa!! si tunamuongelea huyo hata boyfriend wako akimfata humgandisha mlangoni kwanza ili ajipodo!! tupo pamoja mumy!!??
 
sidhani kama Mwali alimaanisha ivo naona kama mumemuelewa tofauti sana ......kiukweli hata alivovitaja hapo ni vidogo sana mbona ...sasa kataja vichache imekua balaa angetaja vyote je si ingekua tafrani kabisa

Mwali tulimwelewa sana. Ila tumeenda ndani zaidi. Kuwa kuna wadada hawawezi kutoka bila mapoda.
 
Last edited by a moderator:
me naweza sema am natural kwa 95% make natumia lotion ya kawaida mwilin, deodorant na lipbam. uson cpaki chochote make uso wangu una mafuta. ni nywele tu ndo huniondolea unatural. namuunga mkono mdau m1 hapo juu kwamba u-fake ni pale unapojîpodoa mpaka ukapoteza naturality yako. mf. plastic surgery, kujichubua ngoz,kubandika kope,kutinda nyusi,kuongeza makalio na hipsi,kuboost matiti na mambo yote yanayoweza kubadili maumbile yako.bt suala mafuta,deodrnt na perfum cjui kama yanaweza kuondoa naturality
 
Back
Top Bottom