Kwa wanawake tu: Let's face it!

Kwa wanawake tu: Let's face it!

eeeeehhh, Nitonye! Upo? siku nyingi sana dear
hivi wewe ulikua ni shem, uncle au mchumba?
Umepotea sana hadi nimesahau uhusiano wetu
hahahahah

Nilikuwa shemeji yako kwa sweetylady lakini bahati mbaya nimekuta ameshanisaliti yuko na mwanaume mwingine, sio siri ninalia sana mwali
 
duh, hakuna hata ka deodorant?
Hata lipgloss?

Yeboyebo je?

Mie niko partial fake, napaka vaseline, yeboyebo, na simla.

Naona mwali anataka tutoke ndani kama zamadamu.

Mwali, I'm natural and carefree. I'm extremely comfortable in my own skin. Trust me!

But seriously, urembo ni fake! Na wanasema there is only two kinds of women, the beautiful and the lazy ones.
 
Sasa bibie unataka hata pubic hair tuache? Si zitakuwa vichaka? Hata wanaume wasafi wapo, lakini kama ni nywele (I keep a natural hairstyle, shampooing weekly) na wanaume nao wananyoa ndevu daily sometimes na kuosha nywele daily. Sasa tutawaita fake? They also wear perfumes and deodorants.

Mama, unataka tuwe kama wamasai sasa, tukipishana tunanuka ng'ombe?
 
mh! mnashughuli, natumia mbuni yangu kila kuogea, nywele zangu za kawaida hazina dawa tena nimekata mafuta yangu ni baby Johnson mgando na ya maji, sifugi kucha sana sana napaka heena na maisha yanaenda.
ukija kwenye deo most of the time uwa situmii maana sina jasho kali
 
hivi kumbe mnafanyaga mambo yote hayo???
mie ukiniona in real life kama bibi tarabushi,lol

inabidi nianzekujisop sop nisije kosa wachumba buree.....:redface::redface:
 
kunukia kwa mwanamke na kutonuka ni tofauti.

Hata kama huna kwapa, lol unanukia binadamu?

Afu mafuta ya mgando kiukweli yanaacha thin layer kwenye ngozi, wakati wa kuoga lazima uiondoe kwa kusugua na kitu.

Bora bio oil lol

basi tumia hata ka ndimu

hata wamasai ni fake, wananukia harufu ya mafuta ya ng'ombe na zile shanga shingoni.

He he he, ntafungua bishara ya kusuka P-hair yeboyebo style.

Sasa bibie unataka hata pubic hair tuache? Si zitakuwa vichaka? Hata wanaume wasafi wapo, lakini kama ni nywele (I keep a natural hairstyle, shampooing weekly) na wanaume nao wananyoa ndevu daily sometimes na kuosha nywele daily. Sasa tutawaita fake? They also wear perfumes and deodorants.

Mama, unataka tuwe kama wamasai sasa, tukipishana tunanuka ng'ombe?
 
kunukia kwa mwanamke na kutonuka ni tofauti.

Hata kama huna kwapa, lol unanukia binadamu?

Afu mafuta ya mgando kiukweli yanaacha thin layer kwenye ngozi, wakati wa kuoga lazima uiondoe kwa kusugua na kitu.

Bora bio oil lol

basi tumia hata ka ndimu

natumia asali
 
Hapa kwa wanawake sitaki uchokozi

hivi umefuata nini huku? toka haraka waache....si unaona ma-misamiati yao scrubu, clay au peel-off mask, soothing mask
Nashave kwa kushave, na-tweeze kwa kutweeze
Nawax kwa ku-wax and I apply a soothing cream......Unaweza kudhani anaongelea viumbe wa baharini kumbe vikorombwezo vya kujipiga chuping...........khaaaaaaaaaaaa Mwali
 
Last edited by a moderator:
You are not natural aisee. Madude yote haya?
Mie ni sabuni ya mche nyeupe
Lotion, deodorant, perfume
Mtaani.
 
hivi kumbe mnafanyaga mambo yote hayo???
mie ukiniona in real life kama bibi tarabushi,lol

inabidi nianzekujisop sop nisije kosa wachumba buree.....:redface::redface:
umenichekesha sana ujue
 
kwa kweli ndo mmenifumbua masikio leo kumbe kuna kushave hata miguu?Mwali vikorombwezo vyako vinaniacha hoi napenda sana urembo lakini urembo wangu ni natural.ni miaka mingi tangu niache kupaka powder na make up huwa napaka kwenye matukio maalumu yangu mimi mafuta mgando,lotion na perfume na mafuta ya nywele lip glos niliacha kupaka muda mrefu ilinifanya lips kukauka nikaacha kutumia.wkend huwa napenda kuloweka miguu kwenye maji ya uvuguvugu na sabuni naosha na brush laini shughuli inaisha
 
ukiona hutumii v2 vng kama ulivyovtaja hapo na bado unaonekana umependeza na unavutia! bt ukiwa wew huwez kutoka bila kufanya yote hayo ujue hapo huna natural beauty! Huwez kuish without using those artificial thngs bt the less you use them is the more you are natural!
 
Back
Top Bottom